Elections 2010 Malaria Sugu Hatimaye Amkubali Dr. Slaa!

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,396
12,979
Nimejaribu kumfuatilia MS na nimegundua kuwa ni mpenzi sana wa Dr. Slaa may be posho anayopata upande wa pili ndiyo inamfanya asitoe msimamo wake hadharani. Ukiangalia kwa undani thread zake nyingi anazoleta ni za kusaidia kupandisha chart ya Dr. Slaa zaidi ya kumbomoa na hana thread yeyote ya kumsaidia JK na CCM kwa ujumla.

MS na wezako karibuni kwenye mapambano. Dr. Slaa for Prez!!!!
 
.....that's right!! sio MS peke yake tu...wapo wengi sana ambao wanaendekeza matumbo...wanahofu ya kufa njaa wakitoka CCM ila ukweli ni kwamba mioyo yao haipo CCM ila matumbo yao ndio yapo CCM. Likely MS akaikomboa nchi yake toka kwa kibaraka wa ukoloni mamboleo (Neo-colonialism) JK (BA) kwa kumpigia Slaa (PhD).
 
JK (BA)

ha! ha! ha! haaaaaaaaaaaaa!

Unasema kweli? Hana PhD???

Sasa inakuwaje anaitwa 'Dakta'?

Yelewi!!
 
Malaria Sugu mpambanaji kwelikweli; hebu fikiria, hiki ni kijiwe cha Chadema n amekuwa akipigana peke yake bila kuchoka. Nafikiri baada ya uchaguzi; awe majeruhi au mshindi, atabakia kama shahidi wa kampeni ya mwaka huu!
 
hahahaaahahahahahaa kumbe mmegundua wengi...!! mi nlimshtukia mapema sana !!
 
Naona anaogopa kunusha hii thread kwa kuwa atakosa posho kwa kinana lol
mbona hachangii humu? hehehe
 
umepatia mwana, na mimi nilikua nahisi kama vile kakaa kimrema mrema hivi???
 
Nimejaribu kumfuatilia MS na nimegundua kuwa ni mpenzi sana wa Dr. Slaa may be posho anayopata upande wa pili ndiyo inamfanya asitoe msimamo wake hadharani. Ukiangalia kwa undani thread zake nyingi anazoleta ni za kusaidia kupandisha chart ya Dr. Slaa zaidi ya kumbomoa na hana thread yeyote ya kumsaidia JK na CCM kwa ujumla.

MS na wezako karibuni kwenye mapambano. Dr. Slaa for Prez!!!!

Malaria sugu ni kama kinyonga anabadilika umbo lake kila wakati. Hawezi kumpigia debe Dr Slaa.
 
hahahahaha. naogopa amani iliopo kupotea, naogopa kumpa kura yangu dk slaa kwani amani na utulivu bado naupenda isonge mbele.
namuheshimu sana dk slaa kama mtanzania mwenzangu. lkn siamini kama anaweza angalau kpata 13% ya kuraza watz.
natamani rais wangu Jk AZidi kungara, ashinde kwa kishindo.
dk slaa endapo atapata 20% ya kura basi watz tutakuwa mandondocha

umenena sugu, bado ni zamu ya CCM kutawala.
 
Malaria Sugu mpambanaji kwelikweli; hebu fikiria, hiki ni kijiwe cha Chadema n amekuwa akipigana peke yake bila kuchoka. Nafikiri baada ya uchaguzi; awe majeruhi au mshindi, atabakia kama shahidi wa kampeni ya mwaka huu!

Malaria sugu nakutabilia ushindi wa CCM, wewe ni mpambanaji namba moja hapa jamvini. Kikwete atakaposhinda wewe utakuwa shahidi wa haki katika kupambana na watu wengi kisha ukashinda. Nakupongeza sana kwa kusimamia jambo unaloliamini.
 
labda niwe nimelala ndio nimpigie kura dK SLAA, tena usingizi wa pono
Malaria Sugu kwakweli huwa unaleta burudani sana humu JF, ndio maana ukikosekana kidogo tu members wanaanza kuulizana ulipo. Umekaa kisanii (burudani) zaidi.
 
Dk slaa hawezi kuongoza tz, kwanza anahasira sana, pili sio mvumilivu, tatu ahaddi anazotoa ni kiini macho, nne chadema haina sera, haina muono, haina mkakati wa maendeleoi
juu ya yote hayo. tumpe kura Jk october 2010

Uzuri wako MS ni mmoja tu. U like to keep keep JF hot ndo maana unarusha madongo ambayo ww mwenyewe unapingana nayo ilimradi tu unafurahi kuona how people do react! Kuna falsafa inasema ukitaka ujue watu wanawaza nini basi wabishie hata kwa jambo wanaloungana na wewe kuliamini kwa 99.99%. Well and good
 
Malaria Sugu ni mfurukutwa wa CCM lakini ni Mkereketwa wa Dr Slaa kwa sababu kutokana na ustaarabu wake hawezi kukubali kuongozwa na mtu ambaye anajipachika U-Docto ki holela bila hata aibu wakati anajua kwamba ana Bachelor!! Baba wa Taifa alimkataa Idd Amini kwa kuwa naye alionyesha u hooligan na kujipachika msururu wa titles: Field Marshal, Doctor, Conqueror of the British Emperor, DSO nk. Hii ni tabia ya viongozi hohe hahe!!!
Malaria Sugu pona kwa kunywa ALoevera kama mseto haikuponyeshi
 
Dk slaa hawezi kuongoza tz, kwanza anahasira sana, pili sio mvumilivu, tatu ahaddi anazotoa ni kiini macho, nne chadema haina sera, haina muono, haina mkakati wa maendeleoi
juu ya yote hayo. tumpe kura Jk october 2010

Siasa siyo mpira wa Simba na Yanga mkuu...................!!!!

Tatizo lako huna hoja za kumteea mkuu wako. Kosa mnalolifanya CCM ni kutafuta hoja za kubomoa upinzani kwa wananchi badala ya kutafuta hoja za kuwajenga kwa wananchi. Anyway, afanyabiashara walishawateka, sasa hamuwezi kujikwamua tena...Uhuru wenu ni tarehe 31 October.

Chagua Slaa, Chagua Upinzani!!!
 
nyie wote hapo juu nani ana malaria sugu, kulikuwa na maana ya kuanzisha hii? coz hamtafika mwisho.
 
Back
Top Bottom