Namuomba Malaria Sugu asome hii kabla ya kupost thread

Status
Not open for further replies.

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wanajamvi: Baada ya kufikiri sana thread anazotoa Malaria Sugu na aliases zingine za ID zake humu JF, nimegundua kwamba thread hizo zina mwelekeo mmoja tu – ati-Chadema, anti-Slaa, anti-Christian etc.

Sijamsoma ndugu yetu huyu kuandika thread kuhusu habari nyingine. Hivyo basi namuomba asihangaike sana kufikiria thread zijazo – kwani anaweza kuwa anachukuwa moja katika hizi nilizoweka hapa chini kila mara anapotaka kuweka thread.

Mie nadhani nimemtendea haki katika vichwa vya habari vya thread hizo maana ndivyo haswa anavyovipenda:

1. Ninavyoamini, Dr Slaa bado ni padri kisirisiri

2. Kwa nini Chadema bado wana ndoto ya kushika nchi?

3. Udini uliwaangamiza Chadema uchaguzi 2010

4. Jamani Lissu siyo mtoto wa padri?

5. Makanisa na Chadema ndiyo watasababisha janga nchini

6. Rasimu ya MoU ya 1992 iliandaliwa na Dr Slaa akiwa bado padri

7. Zitto akipona ataachana kabisa na Chadema

8. Ukiingia mwaka 2012 wimbi la wafuasi wa Chadema watakikimbia chama

9. Sioni namna Dr Slaa atakwepa kumfika yaliyomfika Mrema

10. Viashirio vyaonyesha asilimia 80 ya Wabunge wa chadema watapoteza ubunge kabla ya 2015

11…….

12…..

Mnaweza kusaidia kuongeza hiyo orodha.
 
13. Chadema wakishika madaraka watachoma misikiti yote na kufuta Uislamu
14. Slaa alazimisha CHADEMA kuchangia mamilini kila mwezi kujenga shule za kikatoliki
15. Katiba ya CHADEMA ilitengenezwa na Kanisa Katoliki kwa Ushawishi wa Dr. Slaa
 
Wakuu naomba mnitoe ushamba,humu jls(jukwaa la siasa) mara nyingi naingia kwa kuperuss tu na kudadiss nini kinajiri anga za siasa bongoland (nchi ya kusadikika iliyojaa asali,maziwa,zaabu,mito,niko,almas,uranium,kopa......)maana viwanja vyangu vya kujidai ni mmu. Embu nijuzeni who is malaria sugu,mara ya mwisho kapima kaambiwa ana malaria ngapi?
Malaria sugu eh kama unavinjari ubaazi huu endelea midhali ni jukwaa lako la hiyari,ukimaliza karibu mmu,huko ni bariiiiiidi,burudani kwa kwenda mbele,nyegera waitu.
 
Hovyoooo.....!
 
Wanajamvi: Baada ya kufikiri sana thread anazotoa Malaria Sugu na aliases zingine za ID zake humu JF, nimegundua kwamba thread hizo zina mwelekeo mmoja tu – ati-Chadema, anti-Slaa, anti-Christian etc.

Sijamsoma ndugu yetu huyu kuandika thread kuhusu habari nyingine. Hivyo basi namuomba asihangaike sana kufikiria thread zijazo – kwani anaweza kuwa anachukuwa moja katika hizi nilizoweka hapa chini kila mara anapotaka kuweka thread.

Mie nadhani nimemtendea haki katika vichwa vya habari vya thread hizo maana ndivyo haswa anavyovipenda:

1. Ninavyoamini, Dr Slaa bado ni padri kisirisiri

2. Kwa nini Chadema bado wana ndoto ya kushika nchi?

3. Udini uliwaangamiza Chadema uchaguzi 2010

4. Jamani Lissu siyo mtoto wa padri?

5. Makanisa na Chadema ndiyo watasababisha janga nchini

6. Rasimu ya MoU ya 1992 iliandaliwa na Dr Slaa akiwa bado padri

7. Zitto akipona ataachana kabisa na Chadema

8. Ukiingia mwaka 2012 wimbi la wafuasi wa Chadema watakikimbia chama

9. Sioni namna Dr Slaa atakwepa kumfika yaliyomfika Mrema

10. Viashirio vyaonyesha asilimia 80 ya Wabunge wa chadema watapoteza ubunge kabla ya 2015

11…….

12…..

Mnaweza kusaidia kuongeza hiyo orodha.

Ndevu si mzigo=Malaria Sugu

My Take:
Malaria Sugu aka Ndevu si mzigo katika Promo tu hapo!!
 
Hapana. Hii inaweza kum-put off huyo mjamaa maana yeye alidhani anajua huu tu, kumbe kuna wengine zaidi yake. naomba wanaJF mzidi kutoa michango mingine ya headlines mpaka akome kabisa huyu mbu.
 
Wakuu naomba mnitoe ushamba,humu jls(jukwaa la siasa) mara nyingi naingia kwa kuperuss tu na kudadiss nini kinajiri anga za siasa bongoland (nchi ya kusadikika iliyojaa asali,maziwa,zaabu,mito,niko,almas,uranium,kopa......)maana viwanja vyangu vya kujidai ni mmu. Embu nijuzeni who is malaria sugu,mara ya mwisho kapima kaambiwa ana malaria ngapi?
Malaria sugu eh kama unavinjari ubaazi huu endelea midhali ni jukwaa lako la hiyari,ukimaliza karibu mmu,huko ni bariiiiiidi,burudani kwa kwenda mbele,nyegera waitu.

haya ya huku tuwaachie wenyewe, twenzetu kuleeee kwenye jukwaa letu
 
Natabiri: MS atatokomea kwa muda flani hivi halafu atarudi kivingine. Msisahau kuwa wakati hapa kati kati alibadilika kidogo. Hata hivyo nakiri hii ni kiboko kwake!
 
Wakuu,

Malaria Sugu kafufuka. Lakini amejibatia jina jipya mlanguzi japo mtu hafichi asili. Topiki yake ya leo hii hapa:

Waislam wanategemea kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. ni mwezi uliokatazwa kula na kunywa kwa waislam wakati wa Mchana.

DK SLAA NI MGOMBEA WA CHAMA CHADEMA AMBACHO KINADAI NI CHAMA KISICHOKUWA NA DINI. DK SLAA NI MOJA YA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA WA CHADEMA

Jee hii si kejeli kwa jamii ya kiislam yeye akiwa kiongozi wa juu wa Chama ambapo anaamini hata waislam watahudhuria harusi yake kutaka kuwalisha Mchana?
au ndio anakimbia waislam wasihudhurie harusi hiyo

JEE WAISLAM WATEGEMEE NINI CHINI YA CHADEMA IKIONGOZA NCHI?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom