Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,287
- 9,923
Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi.
Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital.
Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo leo.
Mwekezaji huyo ambaye inasemekana alinunua dhamana hilo toka kwa Azania aliamua kuzungusha eneo hilo fence hali iliyopelekea baadhi ya wananchi walivamia kujikuta wapo ndani ya shamba hilo ndipo vurugu zilipoanza kwa wananchi kuanza kukata fence hiyo.
Hali hiyo iliendelea kwa tete hasa jana baada ya mwekezaji kuamua kuja na mabaunsa na askari kuweka Doria eneo hilo hata hivyo wananchi hao walikusanya na toka sehemu mbalimbali na kuja kupambana na mabaunsa hao hali iliyoplemapigano kwa kutumia silaha za mapaka kusababisha baadhi ya wananchi kuumizwa vibaya usiku wa kuamkia leo na baadhi yao kukimbizwa hospitali.
Hata hivyo hali bado sio shwari kwani hata watu wasiohusika wanashindwa kwenda maeneo hayo kuhofia usalama wao na wengine wenye maeneo hayo wanashindwa kufanya shughuli zao.