Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Ivi wakuu kwanii nchi hii kama imetushinda tusiiuze halafu kila mtu alambe mgao wake ajikatae akaishi anapojua?
Tutauza sh'ngapi nchi iliyokwisha chakachuliwa kiasi hiki
Ivi wakuu kwanii nchi hii kama imetushinda tusiiuze halafu kila mtu alambe mgao wake ajikatae akaishi anapojua?
nyie wanafunzi tulieni kwanza tunakabiliwa na deni la kimataifa, Dowans. tukimaliza tutawafikiria. hamuoni jinsi nchi yetu ilivyo masikini? nyie ni watoto wa wakulima maskini, mkifukuzwa wazazi wenu watakasirika sana.
au mmetumwa na chadema?
tafadhali rudini madarasani, msiwasikilize hao wapinzani tunashuhulikia tatizo. watawasababisha mtakosa masomo wakati wao walikwishasoma ndiyo maana wanataka madaraka ya kisiasa.
mmh, Zimekuruka lini mwenzetu, maana haya si maneno
Hela inaenda kulipa Dowan. Fungeni mikanda
Things are falling apart . . .
Lile jinamizi la migomo vyuo vikuu limetua kwa kasi ya ajabu pale Makumira university. Ni pale wanachuo wa mwaka wa kwanza walipozira kuzama class kutokana na ugumu wa maisha wanaokumbana nao uliosababishwa na kutokupewa hela na bodi ya mkopo. Wadau nauliza hivi kweli kila kitu cku hizi kinakwenda kimigomo? Serikali yetu iko wapi iliyounda bodi ya mikopo inayoshindwa kutekeleza majukumu yake ipaswavyo? Wanachuo pale wanashindia maji na maembe ili wanatakiwa pia kuhudhuria lecture dararan kama kawaida.. Kweli elimu na njaa vanaenda pamoja? Mwenzao jana kazimia kwa mshtuko alioupata baada ya kudhibitisha kuwa jina lake halipo kwenye batch ya mwisho ya majina, amelazwa pale selian hospital na wenzake wako katika harakati za kuchanga hela kwa ajili ya kumpatia matibabu. God help then
Hela inaenda kulipa Dowan. Fungeni mikanda
Hela inaenda kulipa Dowan. Fungeni mikanda
Gurudumu, nilisema nini kuhusu kugomea ukosefu wa fedha na kutokugomea sababu za ukosefu huo? Mara nyingi humu jamvini watu wamekuwa wakijiuliza nini cha kufanya kuzuia Dowans wasilipwe, nilijibu kwamba pressure groups such as vyuo ni wabinafsi sana! Watagomea kukosa mikopo lakini hawatagoma kupinga malipo ya Dowans! Maamuzi ya kipuuzi yanayosababisha kukosekana kwa mikono!