Neto Ndelito: Mtu aliyeiua Mount Meru University

AcinonyxJubatus

Senior Member
Nov 3, 2010
125
20
n.jpg

Ni kwa masikitiko makubwa naamua kuandika waraka huu kama kumbukumbu itakayobaki katika vina vya historia juu ya chuo changu nilichosoma miaka ya nyuma, na sasa kikielekea kusikojulikana. Ila yote namesababishwa na kiumbe huyu mwenye mikosi aitwaye Neto Ndelito.
Neto Ndelito alisoma chuoni hapo miaka ya nyuma pia, akichukua Bachelor Degree, ila alikuwa dhaifu sana darasani, alimaliza bachelor yake akiwa na matokeo hafifu.
n3.jpg

Alijiunga na masters chuoni hapo hapo Mount Meru university na kutokana na kutojiweza upstairs alifeli masomo yake na kudisco (akawa discontinued ) na hivyo kupoteza fursa ya kumaliza masters yake hapo Chuoni Mount Meru University.

Neto Ndelito mwenye kasumba ya kujikweza na mwenye tambo zisizo na mantiki alitumia mbinu za kichakachuaji na kufaulu kupata cheti na transcript ya mastesr ya Arusha University, ambapo kwa njia za kijanja janja aliweza kununua cheti hicho baada ya kutengeneza matokeo feki akijidai anatransfer grades toka chuo cha makumira, na akajitengenezea cheti na transcript feki.

Ninatoa utangulizi huu ili uone mtu huyu alivyokuwa wa hatari mpaka alivyoweza kuiuwa Mount Meru University kwa vitendo vyake vichafu ili hali wenye chuo na viongozi wa Kanisa wakiwa hawajitambui wakiendelea kumkumbatia

Hata matokeo yake ya bachelor aliyosoma Mount Meru University nayo ameyachakachua na kujiwekea yenye ufaulu mkubwa ilihali watu tunaye mjua alikuwa hajiwezi kabisa darasani. (kuna ushahidi wa hili kwenye record za walimu waliomfundisha darasani hapo Mount Meru University) ambapo record za masomo husika (aliyosoma bachelor) zinaonyesha max hafifu ilihali zile za kwenye transcript aliyonayo sasa zikiwa zinaonyesha amefaulu kwa kiwango cha juu.

Neto Ndelito kabla ya kuja Mount Meru University alishawahi kufanya kazi JR Institute of Technology (iliyoko Arusha) na baada ya hapo akafanya kazi chuo cha SAUT tawi la Arusha Mjini. HUKO KOTE ALIISHIA KUFUKUZWA KWA AJILI YA VITENDO VYAKE VYA KIFISADI AMBAVYO NI PAMOJA NA KUUZA MITIHANI, KUBADILISHIA WANAFUNZI GRADES AKIWATAKA KIMAPENZI AU AKIWATAKA HELA NA MENGI MACHAFU. Fuatilieni nini kilimfukuzisha kazi kwenye taasisi hizo alizotangulia kufanya kazi. Hicho ndicho kilimfukuzisha kazi huko. Na wakuu wa Mount Meru University waliwahi kutahadharishwa mapema sana alipokuwa anajinasibu kama mtu mwema sana akiomba kazi pale Mount Meru University. Walitahadharishwa kwamba ni heri kabla ya kumuajiri wakachunguze nini kilimfukuzisha kazi kwenye taasisi mbili alizokuwa akifanya. HAWAKUFANYA HIVYO. Zaidi mmoja wa viongozi wa wakati huo alidiriki kusema “Neto Ndelito ameshuka toka juu kuja kuokoa Mount Meru University”

Sasa kabla sijaleta hoja yangu kwamba ameiuwaje Mount Meru University, nimalizie utangulizi huu kwa kusema haya kumhusi mtu huyu mwenye mikosi mingi popote alipowahi kufanya chochote. Alipofukuzwa SAUT alianzisha biashara ya magari, akijinadi mitandaoni kwamba ana yadi yenye magari ya nguvu, biashara hii ilikuwa ni utapeli mtupu kuwalaghai wenye magari wanaouza na pia kuwatapeli wateja waliokuwa wakitaka kununua magari. Zipo shahidi nyingi kwa watu waliotapeliwa na bwana huyu hadi kufikia kunyang’anywa gari lake n ahata kupelekwa polisi ili alipe hela ya mteja ambaye alishindwa kumpatia gari lake ilihali mteja alikuwa amelipa.

Biashara hii ya kitapeli ilibidi aiache, katika kipindi hicho hicho alikuwa pia kwenye siasa akiwa mfuasi wa CHADEMA, na kwa kuwa yeye ni opotunist wa nguvu alikuwa kwenye kundi la team Lowasa. Alivyokuja kuswitch kuja chama cha kijani huwezi amini, alijiaminisha kuwa mwaminifu, mchapakazi na kujipendekeza kwingi kwa viongozi. Amekuwa mtu wa kujigamba mitandaoni akijiegesha kupiga picha na viongozi wa chama na serikali picha ambazo amekuwa akizitumia vibaya kujiaminisha kwa yeyote kwamba ana connections na watu wazito. Pia ameshajigamba mara nyingi kwamba yeye ni usalama (kitu ambacho sio kweli) kwani siamini kama idara yetu nyeti hivyo inaweza kutumia watu wenye vyery poor reasoning capacity ya nfano wa Neto Ndelito, sidhani. Kuna wakati mtu mmoja pale chuoni alimwonyesha kwamba ana pisto, na pisto hiyo ni toy analowadanyanya nalo watu kwamba ana silaha (nawatonya wanausalama pia kumfuatilia sana bwana huyu) kwa vitu kama hivi, na anavitumia kutapeli watu sana. Hata kwenye simu zake amesevu majina ya viongozi wakubwa wakubwa na awapo na watu hujidai anaongea na mtu mzito. Vyombo husika mfuatilieni sana huyu.
Neto Ndelito alikujaje Mount Meru University?

Wakati wa Prof. Harrison akiwa mkuu wa chuo Neto Ndelito alijaribu mara kadhaa kuomba kazi pale MMU bila mafanikio, alishawahi kuja kwenye interview kadhaa na zote alifeli vibaya. (ni mtu dhaifu sana kichwani na interview pamoja na max za darasani zimedhihirisha hilo) kwa hiyo alitamani sana kuja Mount Meru Univessity siku nyingi bila mafanikio. Na Prof Harrison alipostaafu waliingia wakuu wengine, hapo ndipo Neto Ndelito alipojaribu kwa mara nyingine kuingia Mount Meru University. Kwanza aliingia kama mwalimu part time (nasikitikia hata hawa wanafunzi waliofundishwa na kilaza) na wakati huo alipoingia kama part time lecturer ndio wakati ambapo chuo kile kilianza kuwa na wakati mgumu kifedha. Kwa hiyo walimu wengi na wafanyakazi wengine walikuwa wakiacha kazi na kwenda kwingine. Mmoja wao alieacha kazi wakati huo ni Registrar (jina ninalo) na kwakuwa nafasi hiyo ilikuwa wazi ilitangazwa na hakuna aliyejitokeza kujaza nafasi hiyo. Ndipo kijana anayejinadi kwa moto ya “ Hard working & God Fearing Servant” Neto Ndelito alipoingia na kuajiriwa rasmi Mount Meru University.

Hii ni historia ambayo naamua kuiweka mtandaoni ili vizazi na vizazi vijue nani alikuja na kuuwa chuo hiki kilichokuwa kikikua kwa speed na ubora wa hali ya juu, ni chuo hiki kilichokuwa kikiwika sana enzi za uongozi wa Prof Harrison, enzi za Dr. Waichungo, Dr. Obwa, Mwl. Mugenyi, Mwl Mbenna, enzi za kina Kapaya, Mwl. Malima, Mwl. Kipunde na wengine wengi. Kilikuwa ni chuo haswa.

Ilikuwa saa kipindi kimeisha barabara nzima ya kuelekea Ngaramtoni na kuelekea Habari maalum zilikuwa zinajaa wanafunzi wakitembea kwenda majumbani kwao.

Kuingia kwa Neto Ndelito Mount Meru University kumekuwa mkosi badala ya Baraka. Ni mtu aliyekataliwa hata kwenye ulimwengu wa roho. Mtu mwenye kisirani popote na chochote alichokifanya, KWA SABABU VITU VYAKE VYOTE ALIVIFANYA KWA HILA.

Hata hii moto yake anayoiweka kwenye maandiko yake ni kumdhihaki muumba, na Huyo hadhihakiwi. Ataendelea kumtandika viboko sana tuu.

Mission ya kuiuwa Mount Meru University inaanzia hapa, alipoingia na kuajiriwa kama Registrar wa Mount Meru University ndipo alipo anza uchakachuaji wa matokeo ya wanafunzi, UCHAKACHUAJI WA KUTISHA. Upo ushahidi mwingi sana juu ya waliochakachuliwa matokeo wakitoa rushwa ya ngono (kwa wa kike) au fedha kwa wale wa kiume. Mmojawapo ni mwanafunzi anaeitwa Simon, huyu nae uwezo wake wa darasani ulikuwa wa kawaida sana ila walikuwa marafiki sana na registrar huhu na alimbadilishia na A zikawa nyingi. Iligundulika na likapigiwa kelele sana.

Wapo wanafunzi wa kike ambao aliwataka kingono na kwa kuwa wanafunzi wale hawatakagi ujinga aliwatishia kwamba atawafutia matokeo yao. Na serikali ya wanafunzi kwa mwaka 2017/2018 ni mashahidi, wamekuwa wakipokea malalamiko ya wanafunzi hao na wao serikali ya wanafunzi waliyapeleka kwenye ofisi husika za chuo na kushinikiza registrar huyo aondolewe. HAWAKUWAHI KUSIKILIZWA.

Uchakachuaji wa matokeo unifikia kiwangocha kutisha pale Neto Ndelito alipofikia hatua ya kuwatengenezea vyeti na transcript wanafunzi walio-disco, yeye akawatengenezea transcript zilizo kamilika zikiwa na GPA ya 4.0 na kuendelea. Labda utashangaa kwanini aliweza kuwa na uwezo wa kuchakachua matokeo. Ikumbukwe kwamba kipindi hicho ndio MMU ilikuwa imeanza kuwa na misuko suko ya kifedha, na wafanyakazi wake muhimu walikuwa wakiacha kazi kila kukicha, katika eneo hili la system ya matokeo pia mhusika alikuwa ameacha kazi, na kijana muopotunist akakabidhiwa system ya matokeo. Ndio akaanza Uchakachuaji wake wa kutisha. Kwa upande wa waliotengenezewa vyeti na transcript ZILIZO KAMILIKA ni Zaidi ya wanafunzi watatu ilihali ni wanafunzi walioshindwa kimasomo na ku disco(wengine walisoma town campus)

Uchakachuaji huu uliibuliwa na mwalimu mmoja ambaye kwa wakat huo aliwekwa kuwa system admin wa hiyo system ya matokeo na ndipo Neto Ndelito aliposimamishwa kazi kwa ushahidi uliotolewa wa uchakachuaji wa matokeo(nimefanikiwa kupata barua ambayo iliandikwa kumsimamisha kazi Neto Ndelito kwa vitendo alivyovifanya na pia ninavyo vyeti na transcript za hao wanafunzi aliowatengenezea document hizo feki). Ilikuwa mbaya sana, kitendo hicho kilichostahili afukuzwe na kutoonekana campus,

Kipindi hiki ni kipindi ambacho utawala wa MMU ulikuwa mbovu sana kuliko wakati mwingine wowote kwenye historia ya chuo hiki. Ulikuwa niwakati wa utawala wa Dr. Kizuka, ni mtawala mbovu kuwahi kutokea chini ya mbingu, yeye alishikana na Neto Ndelito pamoja na mtu mwingine niliyepata jina moja la Alex (hawa watatu, Dr. Kizuka, Neto Ndelito na Alex) ndio waliokuwa decision makers, ila kiuhalisia hao wawili (Dr. Kizuka na Alex) WALIKUWA WAMESHIKIWA AKILI NA NETO NDELITO. Yeye ndie aliyekuwa akiwaendesha kama magari mabovu, akiwaambia anafahamiana na soo and see. Maamuzi mengi mabaya yalifanywa na watu hawa watatu. Ikiwemo kuwafukuza kazi wafanyakazi wote waliokuwa wanawachukia. Na ikatengeneza mgogoro mkubwa sana hadi hii leo kuna kesi Zaidi ya tisa mahakamani kupinga kufukuzwa au madai ya fedha.
Ni wakati huu pia ambapo mahusiano na TCU pamoja na taasisi nyingine za uma yalipoharibika kabisa. Kuna kipindi ambapo kwa ushauri wa Neto Ndelito waliwashitaki TCU kwamba wamechukua rushwa MMU, na jambo hili lilileta utata sana na kuharibu mahusiano kati ya MMU na TCU. Yote haya master mind wake alikuwa Neto Ndelito,

Hata list ya kufukuza wafanyakazi Zaidi ya ishirini (ambao walikuwa wakiwapinga) Neto Ndelito ndie alieiandaa list ile na kuwapa wale wawili aliokuwa amewashikia akili. Na wao kwa ujuha wakatimua timua watu wakisingizia ni agizo la TCU. Hata wakati Fulani huyu master mind alipiga simu mbele yao akijidai anapigia waziri husika, na kuwaaminisha wenzake wawili kwamba waziri anataka watu hao waondolewe mara moja. Huyo ndio Neto Ndelito (the “God fearing sevant”) jamani muumba hadhihakiwi!!

Neto Ndelito amekuwa mtu wa kutapeli tapeli, na yupo kimasilahi, amewahi kutengeneza safari nyingi za uongo akijidai anafuatilia issues za chuo Daresalam, ili tuu apewe hela na huishia kujidae amesafiri kumbe hajasafiri. Sasa sikia hii hapa ambayo labda hujawahi kuisikia,

Kuna wakati alimfix Dr. Kizuka (VC wa wakati huo) kwamba anaitwa kitengo cha kuzuia rush makao makuu Dar, wakati huo ndio kashifa za uchakachuaji matokeo zilikuwa zimelipuka na serikali ilikuwa inafuatilia sana, na management members wengi walikuwa wakihitajika kuripoti polisi marakwa mara. Sasa Neto Ndelito akamfix mkuu ambaye alikuwa amemshikia akili, akapigiwa simu na kuambiwa anahitajika makao makuu haraka sana, mzee wa watu akakurupuka na kuomba hela chap chap, hela za tiketi ya ndege ya siku hiyo jioni ili aende makao makuu ya kitengo hicho huko dar, na hela zile za tiketi ya ndege pamoja na matumizi zote alipewa mkononi, mzee huyooo akapelekwa airpot, baada ya kufikishwa airpot hakucheck in, dereva alirudi, na Dr. Kizuka akapotea hewani kuanzia hapo. Siku iliyofuata hakupatikana hewani, wala Dar hakwenda, na alipokuwa hapajulikani na yeyote Zaidi yake mwenyewe na Neto. Baada ya siku moja akaibukia chuoni Mount Meru University, kitu kilichokuwa cha kushangaza sana, dereva hakuhusika kwenda kumchukua Airport, na simu zake zilikuwa hazipatikani. Kilichitokea ni kwamba Neto Ndelito na genge lake walimfix na kupiga zile hela Zaidi ya milioni tatu.

Kuna wakati pia matatizo ya MMU yalipokuwa mengi, chuo kikiwa kinakaguliwa kila uchao na TCU, Neto Ndelito aliwashauri maswahiba wake wawili kwamba waende kuwaona wakubwa huko serikalini na kwenye tume ya vyuo vikuu, kwahiyo wakaomba kuandaliwa nauli na marupurupu mengine, na watu walipohoji wanaenda kufanya nini, waliwajibu tunaenda kunusuru chuo. Haoooo wakaenda, vichwa vitatu. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba pia kuna kigogo mwingine aliingizwa mkenge na Neto Ndelito akatoa mamilioni ili wakubwa huko juu wakahongwe na kukinusuru chuo ambacho kwa wakati huo kilikuwa kimeshaandikiwa barua kadhaa kukionya kukifungia. Kwa hiyo walifika Dar, na kwa kuwa Neto yupo kimasilahi, akawaambia aliowashikia akili, namba make hapa mgahawani mimi niingie mwenyewe nikawaone wakuu. Akaingia, akazurura kwenye makorido, akaficha kibunda chake na baada ya masaa kadhaa akarudi na kuwaaminisha maswahiba kwamba mambo tayari, mambo yako sawa. Haooo, wakarudi.

Cha kushangaza mambo yakaendelea kuwa mabaya Zaidi na Zaidi. Chuo kikawa kwenye hatari ya kufungiwa. VC huyo Dr. Kizuka akalazimika kuachia ngazi. Ila aliachia ngazi akiwa amemsimamisha kazi Neto Ndelito
Baada ya kusimamishwa kazi, aliwaendea wakuu wa Kanisa ambao ndio wamiliki na kujiaminisha kwamba anaonewa, na wao wakaamuru VC mpya amrudishe kazini Mara Moja (yaani Neto Ndelito arudishwe kazini mara moja) hata kiongozi mmoja wapo wa moja ya mabaraza ya chuo akadiriki kusema kuwa makossa aliyoyafanya Neto Ndelito ya kuchakachua matookeo na kutengeneza vyeti feki ni makossa madogo sanaaaaa. Hayahitaji mtu huyo afukuzwe kazi.

Neto Ndelito akarudishwa kazini na this time sio kama registrar tena, akapewa cheo kikubwa Zaidi, akawa MSAIDIZI WA VC. Just imagine!! Hila za Neto Ndelito zikawa zile zile, this time zikawa Zaidi. Kuwavuruga wafanyakazi na watawala, kuvuruga watawala na wamiliki, kuvuruga chuo na mamlaka za kiserikali, ikawa ni vurugu vurugu kia uchao, amekuwa kila wakati ni umbea kuwapelekea viongozi wa mabaraza yayayosimamia chuo, na wao wanamuamini hata kwa taarifa za uongo na fitina NA WANATOA MAAMUZI MABOVU KUWAVURUGA WAFANYAKAZI, MENEJIMENT NA CHUO KWA UJUMLA. Wakuu hao wa mabaraza mawili yanayosimamia chuo wameshaambiwa mara nyingi anaekivuruga chuo ni Neto Ndelito, ila wao wanaona kwamba ni mteulo wao, wameacha kusikiliza wengi wakiwemo wanafunzi na wafanyakazi juu ya hila za Neto Ndelito, wameacha kuwasikiliza na kuchunguza, wanaamini kile yeye anachowaambia.

Neto Ndelito yupo kwenye mission ya kuuwa Mount Meru University, na sijui ni nani aliyemtuma, kwani hata wenye chuo wameonekana kutojali haya yote yakifanywa na mtu mmoja ambaye kama angeondolewa, ingekuwa nafuu san asana sana kwa chuo.

Zipo shahidi nyingi kwamba yupo kwenye mission ya kuuwa chuo zikiwemo hizo hapo nilizoongelea hapo juu. Na pia hajawahi kujitambulisha kwamba yeye ni mfanyakazi wa MMU, popote alipoenda amekuwa akijitambulisha kwamba ni usalama, au ni mfanyakazi wa sehemu nyingine,

Hata account zake mbili za facebook anajitambulisha kama mfanyakazi wa Jomokenyeta University na Nyingine akijitambulisha kwamba ni mfanyakazi wa UNICTR (sijui hata ndio shirika hani hilo) tena akijitambulisha kuwa anaishi Nairobi (ambapo hata hajawahi kuishi) HUYU NI TAPELI WA HALI YA JUU

n1.jpg

n2.jpg

Ameshawahi kufukuzwa mara mbili kwenye makao makuu ya tume ya vyuo alipokwenda kufuatilia mambo ya chuo, akafukuzwa mara mbili na kuambiwa asionekane hapo, hii yote ni kutekana na figisu figisu zake za kuchonganisha watenda kazi wa tume hiyo na idara zingine za serikali akienda kwenye ofisi zao anajinadi yeye ni usalama, yeye ni wa chama tawala, na wakamfukuza MARA MBILI. Na kuamriwa asikanyage tena pale. Huyo ndie alieaminiwa na kupewa dhamana na sasa anavuruga KILA KITU
Sasa hivi ameanza visa wakishirikiana na wakuu wa baraza mojawapo la chuo wasiojifahamu, wakishirikiana na Neto Ndelito kumfukuza VC huyo mpya ili Neto aachiwe chuo akimalizie kukiuwa.
Neto Ndelito yupo kwenye Mission ya kuiuwa Mount Meru University na wanaomkumbatia hawalioni hili au wapo pamoja.
Neto Ndelito amekuwa tapeli sana na kuna wanafunzi wengi wamekuwa wahanga sana wa tapeli huyu, mmoja wapo ni mwanafunzi wa diploma ambaye alikosa mhula mzima wa masomo, Neto akapiga Zaidi ya laki mbili za huyu mwanafunzi akimuahidi atamwekea matokeo yake yote, mwanafunzi alihangaika sana na mwishowe ilibidi aseme kwa ofisi husika ili asaidike, n ahata polisi mwanafunzi huyu alienda.

Kwa utapeli huo huo sasa hivi anawasiliana na wanafunzi wanaotakiwa kuhamishwa kwenda vyuo vingine baada ya chuo kuzuiwa udahili, wanafunzi wale wanatakiwa wamalize ada zao za nyuma wanazodaiwa na MMU ndipo wahamishwe (ndipo chuo kitapeleka taarifa zao kule wanapohamia) ila sasa Neto ameona fursa nyinine hapo na anawasiliana na hawa wanafunzi wamtumie yeye salio hilo la ada wanayodaiwa halafu yeye atamaliza mchezo juu kwa juu. Ushahidi upo na ushahidi mwindi nitauweka hapa chini kwenye comments kama nitakavyokuwa ninaupokea kwa waathirika wa tapeli huyu Neto Ndelito anayeiuwa Mount Meru Uiversity
Nafahamu wengi hawatakuwa huru kupost shahidi zo hapa ila naweka mawasiliano ya email, ukiwa na ushahidi wowote wa kumhusu Neto Ndelito na hila zake za kukivuruga chuo, tafadhali tuma hapa na mimi nitautupia kwenye coments hapo chini, unapotuma email, usijitambulishe wewe tuma taarifa yako ambayo umeifaafanua vizuri itume kwenye email hii ajubatus4@gmail.com

Tuma taarifa zako zitabaki kumbukumbu ya kudumu juu ya mtu huyu mwenye nia mbaya na Mount Meru University.
 
Mkuu we unasema ni mtu mwenye mikosi mingi, lakini maelezo yako inaonyesha ni mtu mwenye bahati sana maana kila analolifanya kwa maslahi yake yeye linafanikiwa..utaitaje mikosi? Halafu maelezo yako yanaonyesha hicho chuo kabla hata ya kuja huyu unayemtuhumu kilishakuwa kinaenda shimoni sasa kwanini alaumiwe yeye badala ya waliokuwepo kabla ya yeye kuja? Kaona lichuo wenye nalo mambumbumbu afanyaje sasa zaidi ya kutumia fulsa tu.....wajinga na wapumbavu ni wanaokisiamia chuo huyo Neto ni unamuonea tu
 
Nina maswali kadhaa kwako;
Je, wewe ni private investigating company uliyetumwa kuchunguza nyendo za huyo jamaa? Kama sivyo imekuwaje uwepo kila mahali alipopita huyo jamaa na kushuhudia kila kitu alichokifanya kila alipoenda?
Ni mpelelezi au mwandishi wa hadithi tu anayeweza kuyaandika hayo katika mtiririko ulioweka lakini mtoa shutuma wa kawaida kamwe hawezi, yeye angejikita eneo fulani tu either pale MMU au SAUT au kwenye magari. Lakini si mpaka airport au ofisi za TCU dar na kuwaacha wenzake kwenye mgahawa na yeye kwenda kuzurura kwenye korido za TCU
 
Kama nimeelewa vizuri hii coverage, basi huyu Mkuu Neto Ndelito sio kilaza! Mkituambia dab kilaza sawa! Inaonekana!
 
Kama aliweza kuvuruga namna hiyo wasomi wa wasomi,basi jamaa kichwa. Hahaha kama Bill Gates,hawezi kukariri,ila mbunifu
 
H
View attachment 932964
Ni kwa masikitiko makubwa naamua kuandika waraka huu kama kumbukumbu itakayobaki katika vina vya historia juu ya chuo changu nilichosoma miaka ya nyuma, na sasa kikielekea kusikojulikana. Ila yote namesababishwa na kiumbe huyu mwenye mikosi aitwaye Neto Ndelito.
Neto Ndelito alisoma chuoni hapo miaka ya nyuma pia, akichukua Bachelor Degree, ila alikuwa dhaifu sana darasani, alimaliza bachelor yake akiwa na matokeo hafifu.
View attachment 932965
Alijiunga na masters chuoni hapo hapo Mount Meru university na kutokana na kutojiweza upstairs alifeli masomo yake na kudisco (akawa discontinued ) na hivyo kupoteza fursa ya kumaliza masters yake hapo Chuoni Mount Meru University.
Neto Ndelito mwenye kasumba ya kujikweza na mwenye tambo zisizo na mantiki alitumia mbinu za kichakachuaji na kufaulu kupata cheti na transcript ya mastesr ya Arusha University, ambapo kwa njia za kijanja janja aliweza kununua cheti hicho baada ya kutengeneza matokeo feki akijidai anatransfer grades toka chuo cha makumira, na akajitengenezea cheti na transcript feki.
Ninatoa utangulizi huu ili uone mtu huyu alivyokuwa wa hatari mpaka alivyoweza kuiuwa Mount Meru University kwa vitendo vyake vichafu ili hali wenye chuo na viongozi wa Kanisa wakiwa hawajitambui wakiendelea kumkumbatia
Hata matokeo yake ya bachelor aliyosoma Mount Meru University nayo ameyachakachua na kujiwekea yenye ufaulu mkubwa ilihali watu tunaye mjua alikuwa hajiwezi kabisa darasani. (kuna ushahidi wa hili kwenye record za walimu waliomfundisha darasani hapo Mount Meru University) ambapo record za masomo husika (aliyosoma bachelor) zinaonyesha max hafifu ilihali zile za kwenye transcript aliyonayo sasa zikiwa zinaonyesha amefaulu kwa kiwango cha juu.
Neto Ndelito kabla ya kuja Mount Meru University alishawahi kufanya kazi JR Institute of Technology (iliyoko Arusha) na baada ya hapo akafanya kazi chuo cha SAUT tawi la Arusha Mjini. HUKO KOTE ALIISHIA KUFUKUZWA KWA AJILI YA VITENDO VYAKE VYA KIFISADI AMBAVYO NI PAMOJA NA KUUZA MITIHANI, KUBADILISHIA WANAFUNZI GRADES AKIWATAKA KIMAPENZI AU AKIWATAKA HELA NA MENGI MACHAFU. Fuatilieni nini kilimfukuzisha kazi kwenye taasisi hizo alizotangulia kufanya kazi. Hicho ndicho kilimfukuzisha kazi huko. Na wakuu wa Mount Meru University waliwahi kutahadharishwa mapema sana alipokuwa anajinasibu kama mtu mwema sana akiomba kazi pale Mount Meru University. Walitahadharishwa kwamba ni heri kabla ya kumuajiri wakachunguze nini kilimfukuzisha kazi kwenye taasisi mbili alizokuwa akifanya. HAWAKUFANYA HIVYO. Zaidi mmoja wa viongozi wa wakati huo alidiriki kusema “Neto Ndelito ameshuka toka juu kuja kuokoa Mount Meru University”
Sasa kabla sijaleta hoja yangu kwamba ameiuwaje Mount Meru University, nimalizie utangulizi huu kwa kusema haya kumhusi mtu huyu mwenye mikosi mingi popote alipowahi kufanya chochote. Alipofukuzwa SAUT alianzisha biashara ya magari, akijinadi mitandaoni kwamba ana yadi yenye magari ya nguvu, biashara hii ilikuwa ni utapeli mtupu kuwalaghai wenye magari wanaouza na pia kuwatapeli wateja waliokuwa wakitaka kununua magari. Zipo shahidi nyingi kwa watu waliotapeliwa na bwana huyu hadi kufikia kunyang’anywa gari lake n ahata kupelekwa polisi ili alipe hela ya mteja ambaye alishindwa kumpatia gari lake ilihali mteja alikuwa amelipa.
Biashara hii ya kitapeli ilibidi aiache, katika kipindi hicho hicho alikuwa pia kwenye siasa akiwa mfuasi wa CHADEMA, na kwa kuwa yeye ni opotunist wa nguvu alikuwa kwenye kundi la team Lowasa. Alivyokuja kuswitch kuja chama cha kijani huwezi amini, alijiaminisha kuwa mwaminifu, mchapakazi na kujipendekeza kwingi kwa viongozi. Amekuwa mtu wa kujigamba mitandaoni akijiegesha kupiga picha na viongozi wa chama na serikali picha ambazo amekuwa akizitumia vibaya kujiaminisha kwa yeyote kwamba ana connections na watu wazito. Pia ameshajigamba mara nyingi kwamba yeye ni usalama (kitu ambacho sio kweli) kwani siamini kama idara yetu nyeti hivyo inaweza kutumia watu wenye vyery poor reasoning capacity ya nfano wa Neto Ndelito, sidhani. Kuna wakati mtu mmoja pale chuoni alimwonyesha kwamba ana pisto, na pisto hiyo ni toy analowadanyanya nalo watu kwamba ana silaha (nawatonya wanausalama pia kumfuatilia sana bwana huyu) kwa vitu kama hivi, na anavitumia kutapeli watu sana. Hata kwenye simu zake amesevu majina ya viongozi wakubwa wakubwa na awapo na watu hujidai anaongea na mtu mzito. Vyombo husika mfuatilieni sana huyu.
Neto Ndelito alikujaje Mount Meru University?
Wakati wa Prof. Harrison akiwa mkuu wa chuo Neto Ndelito alijaribu mara kadhaa kuomba kazi pale MMU bila mafanikio, alishawahi kuja kwenye interview kadhaa na zote alifeli vibaya. (ni mtu dhaifu sana kichwani na interview pamoja na max za darasani zimedhihirisha hilo) kwa hiyo alitamani sana kuja Mount Meru Univessity siku nyingi bila mafanikio. Na Prof Harrison alipostaafu waliingia wakuu wengine, hapo ndipo Neto Ndelito alipojaribu kwa mara nyingine kuingia Mount Meru University. Kwanza aliingia kama mwalimu part time (nasikitikia hata hawa wanafunzi waliofundishwa na kilaza) na wakati huo alipoingia kama part time lecturer ndio wakati ambapo chuo kile kilianza kuwa na wakati mgumu kifedha. Kwa hiyo walimu wengi na wafanyakazi wengine walikuwa wakiacha kazi na kwenda kwingine. Mmoja wao alieacha kazi wakati huo ni Registrar (jina ninalo) na kwakuwa nafasi hiyo ilikuwa wazi ilitangazwa na hakuna aliyejitokeza kujaza nafasi hiyo. Ndipo kijana anayejinadi kwa moto ya “ Hard working & God Fearing Servant” Neto Ndelito alipoingia na kuajiriwa rasmi Mount Meru University.
Hii ni historia ambayo naamua kuiweka mtandaoni ili vizazi na vizazi vijue nani alikuja na kuuwa chuo hiki kilichokuwa kikikua kwa speed na ubora wa hali ya juu, ni chuo hiki kilichokuwa kikiwika sana enzi za uongozi wa Prof Harrison, enzi za Dr. Waichungo, Dr. Obwa, Mwl. Mugenyi, Mwl Mbenna, enzi za kina Kapaya, Mwl. Malima, Mwl. Kipunde na wengine wengi. Kilikuwa ni chuo haswa.
Ilikuwa saa kipindi kimeisha barabara nzima ya kuelekea Ngaramtoni na kuelekea Habari maalum zilikuwa zinajaa wanafunzi wakitembea kwenda majumbani kwao.
Kuingia kwa Neto Ndelito Mount Meru University kumekuwa mkosi badala ya Baraka. Ni mtu aliyekataliwa hata kwenye ulimwengu wa roho. Mtu mwenye kisirani popote na chochote alichokifanya, KWA SABABU VITU VYAKE VYOTE ALIVIFANYA KWA HILA.
Hata hii moto yake anayoiweka kwenye maandiko yake ni kumdhihaki muumba, na Huyo hadhihakiwi. Ataendelea kumtandika viboko sana tuu.
Mission ya kuiuwa Mount Meru University inaanzia hapa, alipoingia na kuajiriwa kama Registrar wa Mount Meru University ndipo alipo anza uchakachuaji wa matokeo ya wanafunzi, UCHAKACHUAJI WA KUTISHA. Upo ushahidi mwingi sana juu ya waliochakachuliwa matokeo wakitoa rushwa ya ngono (kwa wa kike) au fedha kwa wale wa kiume. Mmojawapo ni mwanafunzi anaeitwa Simon, huyu nae uwezo wake wa darasani ulikuwa wa kawaida sana ila walikuwa marafiki sana na registrar huhu na alimbadilishia na A zikawa nyingi. Iligundulika na likapigiwa kelele sana.
Wapo wanafunzi wa kike ambao aliwataka kingono na kwa kuwa wanafunzi wale hawatakagi ujinga aliwatishia kwamba atawafutia matokeo yao. Na serikali ya wanafunzi kwa mwaka 2017/2018 ni mashahidi, wamekuwa wakipokea malalamiko ya wanafunzi hao na wao serikali ya wanafunzi waliyapeleka kwenye ofisi husika za chuo na kushinikiza registrar huyo aondolewe. HAWAKUWAHI KUSIKILIZWA.
Uchakachuaji wa matokeo unifikia kiwangocha kutisha pale Neto Ndelito alipofikia hatua ya kuwatengenezea vyeti na transcript wanafunzi walio-disco, yeye akawatengenezea transcript zilizo kamilika zikiwa na GPA ya 4.0 na kuendelea. Labda utashangaa kwanini aliweza kuwa na uwezo wa kuchakachua matokeo. Ikumbukwe kwamba kipindi hicho ndio MMU ilikuwa imeanza kuwa na misuko suko ya kifedha, na wafanyakazi wake muhimu walikuwa wakiacha kazi kila kukicha, katika eneo hili la system ya matokeo pia mhusika alikuwa ameacha kazi, na kijana muopotunist akakabidhiwa system ya matokeo. Ndio akaanza Uchakachuaji wake wa kutisha. Kwa upande wa waliotengenezewa vyeti na transcript ZILIZO KAMILIKA ni Zaidi ya wanafunzi watatu ilihali ni wanafunzi walioshindwa kimasomo na ku disco(wengine walisoma town campus)
Uchakachuaji huu uliibuliwa na mwalimu mmoja ambaye kwa wakat huo aliwekwa kuwa system admin wa hiyo system ya matokeo na ndipo Neto Ndelito aliposimamishwa kazi kwa ushahidi uliotolewa wa uchakachuaji wa matokeo(nimefanikiwa kupata barua ambayo iliandikwa kumsimamisha kazi Neto Ndelito kwa vitendo alivyovifanya na pia ninavyo vyeti na transcript za hao wanafunzi aliowatengenezea document hizo feki). Ilikuwa mbaya sana, kitendo hicho kilichostahili afukuzwe na kutoonekana campus,
Kipindi hiki ni kipindi ambacho utawala wa MMU ulikuwa mbovu sana kuliko wakati mwingine wowote kwenye historia ya chuo hiki. Ulikuwa niwakati wa utawala wa Dr. Kizuka, ni mtawala mbovu kuwahi kutokea chini ya mbingu, yeye alishikana na Neto Ndelito pamoja na mtu mwingine niliyepata jina moja la Alex (hawa watatu, Dr. Kizuka, Neto Ndelito na Alex) ndio waliokuwa decision makers, ila kiuhalisia hao wawili (Dr. Kizuka na Alex) WALIKUWA WAMESHIKIWA AKILI NA NETO NDELITO. Yeye ndie aliyekuwa akiwaendesha kama magari mabovu, akiwaambia anafahamiana na soo and see. Maamuzi mengi mabaya yalifanywa na watu hawa watatu. Ikiwemo kuwafukuza kazi wafanyakazi wote waliokuwa wanawachukia. Na ikatengeneza mgogoro mkubwa sana hadi hii leo kuna kesi Zaidi ya tisa mahakamani kupinga kufukuzwa au madai ya fedha.
Ni wakati huu pia ambapo mahusiano na TCU pamoja na taasisi nyingine za uma yalipoharibika kabisa. Kuna kipindi ambapo kwa ushauri wa Neto Ndelito waliwashitaki TCU kwamba wamechukua rushwa MMU, na jambo hili lilileta utata sana na kuharibu mahusiano kati ya MMU na TCU. Yote haya master mind wake alikuwa Neto Ndelito,
Hata list ya kufukuza wafanyakazi Zaidi ya ishirini (ambao walikuwa wakiwapinga) Neto Ndelito ndie alieiandaa list ile na kuwapa wale wawili aliokuwa amewashikia akili. Na wao kwa ujuha wakatimua timua watu wakisingizia ni agizo la TCU. Hata wakati Fulani huyu master mind alipiga simu mbele yao akijidai anapigia waziri husika, na kuwaaminisha wenzake wawili kwamba waziri anataka watu hao waondolewe mara moja. Huyo ndio Neto Ndelito (the “God fearing sevant”) jamani muumba hadhihakiwi!!
Neto Ndelito amekuwa mtu wa kutapeli tapeli, na yupo kimasilahi, amewahi kutengeneza safari nyingi za uongo akijidai anafuatilia issues za chuo Daresalam, ili tuu apewe hela na huishia kujidae amesafiri kumbe hajasafiri. Sasa sikia hii hapa ambayo labda hujawahi kuisikia,
Kuna wakati alimfix Dr. Kizuka (VC wa wakati huo) kwamba anaitwa kitengo cha kuzuia rush makao makuu Dar, wakati huo ndio kashifa za uchakachuaji matokeo zilikuwa zimelipuka na serikali ilikuwa inafuatilia sana, na management members wengi walikuwa wakihitajika kuripoti polisi marakwa mara. Sasa Neto Ndelito akamfix mkuu ambaye alikuwa amemshikia akili, akapigiwa simu na kuambiwa anahitajika makao makuu haraka sana, mzee wa watu akakurupuka na kuomba hela chap chap, hela za tiketi ya ndege ya siku hiyo jioni ili aende makao makuu ya kitengo hicho huko dar, na hela zile za tiketi ya ndege pamoja na matumizi zote alipewa mkononi, mzee huyooo akapelekwa airpot, baada ya kufikishwa airpot hakucheck in, dereva alirudi, na Dr. Kizuka akapotea hewani kuanzia hapo. Siku iliyofuata hakupatikana hewani, wala Dar hakwenda, na alipokuwa hapajulikani na yeyote Zaidi yake mwenyewe na Neto. Baada ya siku moja akaibukia chuoni Mount Meru University, kitu kilichokuwa cha kushangaza sana, dereva hakuhusika kwenda kumchukua Airport, na simu zake zilikuwa hazipatikani. Kilichitokea ni kwamba Neto Ndelito na genge lake walimfix na kupiga zile hela Zaidi ya milioni tatu.
Kuna wakati pia matatizo ya MMU yalipokuwa mengi, chuo kikiwa kinakaguliwa kila uchao na TCU, Neto Ndelito aliwashauri maswahiba wake wawili kwamba waende kuwaona wakubwa huko serikalini na kwenye tume ya vyuo vikuu, kwahiyo wakaomba kuandaliwa nauli na marupurupu mengine, na watu walipohoji wanaenda kufanya nini, waliwajibu tunaenda kunusuru chuo. Haoooo wakaenda, vichwa vitatu. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba pia kuna kigogo mwingine aliingizwa mkenge na Neto Ndelito akatoa mamilioni ili wakubwa huko juu wakahongwe na kukinusuru chuo ambacho kwa wakati huo kilikuwa kimeshaandikiwa barua kadhaa kukionya kukifungia. Kwa hiyo walifika Dar, na kwa kuwa Neto yupo kimasilahi, akawaambia aliowashikia akili, namba make hapa mgahawani mimi niingie mwenyewe nikawaone wakuu. Akaingia, akazurura kwenye makorido, akaficha kibunda chake na baada ya masaa kadhaa akarudi na kuwaaminisha maswahiba kwamba mambo tayari, mambo yako sawa. Haooo, wakarudi.
Cha kushangaza mambo yakaendelea kuwa mabaya Zaidi na Zaidi. Chuo kikawa kwenye hatari ya kufungiwa. VC huyo Dr. Kizuka akalazimika kuachia ngazi. Ila aliachia ngazi akiwa amemsimamisha kazi Neto Ndelito
Baada ya kusimamishwa kazi, aliwaendea wakuu wa Kanisa ambao ndio wamiliki na kujiaminisha kwamba anaonewa, na wao wakaamuru VC mpya amrudishe kazini Mara Moja (yaani Neto Ndelito arudishwe kazini mara moja) hata kiongozi mmoja wapo wa moja ya mabaraza ya chuo akadiriki kusema kuwa makossa aliyoyafanya Neto Ndelito ya kuchakachua matookeo na kutengeneza vyeti feki ni makossa madogo sanaaaaa. Hayahitaji mtu huyo afukuzwe kazi.
Neto Ndelito akarudishwa kazini na this time sio kama registrar tena, akapewa cheo kikubwa Zaidi, akawa MSAIDIZI WA VC. Just imagine!! Hila za Neto Ndelito zikawa zile zile, this time zikawa Zaidi. Kuwavuruga wafanyakazi na watawala, kuvuruga watawala na wamiliki, kuvuruga chuo na mamlaka za kiserikali, ikawa ni vurugu vurugu kia uchao, amekuwa kila wakati ni umbea kuwapelekea viongozi wa mabaraza yayayosimamia chuo, na wao wanamuamini hata kwa taarifa za uongo na fitina NA WANATOA MAAMUZI MABOVU KUWAVURUGA WAFANYAKAZI, MENEJIMENT NA CHUO KWA UJUMLA. Wakuu hao wa mabaraza mawili yanayosimamia chuo wameshaambiwa mara nyingi anaekivuruga chuo ni Neto Ndelito, ila wao wanaona kwamba ni mteulo wao, wameacha kusikiliza wengi wakiwemo wanafunzi na wafanyakazi juu ya hila za Neto Ndelito, wameacha kuwasikiliza na kuchunguza, wanaamini kile yeye anachowaambia.
Neto Ndelito yupo kwenye mission ya kuuwa Mount Meru University, na sijui ni nani aliyemtuma, kwani hata wenye chuo wameonekana kutojali haya yote yakifanywa na mtu mmoja ambaye kama angeondolewa, ingekuwa nafuu san asana sana kwa chuo.
Zipo shahidi nyingi kwamba yupo kwenye mission ya kuuwa chuo zikiwemo hizo hapo nilizoongelea hapo juu. Na pia hajawahi kujitambulisha kwamba yeye ni mfanyakazi wa MMU, popote alipoenda amekuwa akijitambulisha kwamba ni usalama, au ni mfanyakazi wa sehemu nyingine,
Hata account zake mbili za facebook anajitambulisha kama mfanyakazi wa Jomokenyeta University na Nyingine akijitambulisha kwamba ni mfanyakazi wa UNICTR (sijui hata ndio shirika hani hilo) tena akijitambulisha kuwa anaishi Nairobi (ambapo hata hajawahi kuishi) HUYU NI TAPELI WA HALI YA JUU

View attachment 932960

View attachment 932963
Ameshawahi kufukuzwa mara mbili kwenye makao makuu ya tume ya vyuo alipokwenda kufuatilia mambo ya chuo, akafukuzwa mara mbili na kuambiwa asionekane hapo, hii yote ni kutekana na figisu figisu zake za kuchonganisha watenda kazi wa tume hiyo na idara zingine za serikali akienda kwenye ofisi zao anajinadi yeye ni usalama, yeye ni wa chama tawala, na wakamfukuza MARA MBILI. Na kuamriwa asikanyage tena pale. Huyo ndie alieaminiwa na kupewa dhamana na sasa anavuruga KILA KITU
Sasa hivi ameanza visa wakishirikiana na wakuu wa baraza mojawapo la chuo wasiojifahamu, wakishirikiana na Neto Ndelito kumfukuza VC huyo mpya ili Neto aachiwe chuo akimalizie kukiuwa.
Neto Ndelito yupo kwenye Mission ya kuiuwa Mount Meru University na wanaomkumbatia hawalioni hili au wapo pamoja.
Neto Ndelito amekuwa tapeli sana na kuna wanafunzi wengi wamekuwa wahanga sana wa tapeli huyu, mmoja wapo ni mwanafunzi wa diploma ambaye alikosa mhula mzima wa masomo, Neto akapiga Zaidi ya laki mbili za huyu mwanafunzi akimuahidi atamwekea matokeo yake yote, mwanafunzi alihangaika sana na mwishowe ilibidi aseme kwa ofisi husika ili asaidike, n ahata polisi mwanafunzi huyu alienda.
Kwa utapeli huo huo sasa hivi anawasiliana na wanafunzi wanaotakiwa kuhamishwa kwenda vyuo vingine baada ya chuo kuzuiwa udahili, wanafunzi wale wanatakiwa wamalize ada zao za nyuma wanazodaiwa na MMU ndipo wahamishwe (ndipo chuo kitapeleka taarifa zao kule wanapohamia) ila sasa Neto ameona fursa nyinine hapo na anawasiliana na hawa wanafunzi wamtumie yeye salio hilo la ada wanayodaiwa halafu yeye atamaliza mchezo juu kwa juu. Ushahidi upo na ushahidi mwindi nitauweka hapa chini kwenye comments kama nitakavyokuwa ninaupokea kwa waathirika wa tapeli huyu Neto Ndelito anayeiuwa Mount Meru Uiversity
Nafahamu wengi hawatakuwa huru kupost shahidi zo hapa ila naweka mawasiliano ya email, ukiwa na ushahidi wowote wa kumhusu Neto Ndelito na hila zake za kukivuruga chuo, tafadhali tuma hapa na mimi nitautupia kwenye coments hapo chini, unapotuma email, usijitambulishe wewe tuma taarifa yako ambayo umeifaafanua vizuri itume kwenye email hii ajubatus4@gmail.com
Tuma taarifa zako zitabaki kumbukumbu ya kudumu juu ya mtu huyu mwenye nia mbaya na Mount Meru University.
Hiki Chuo tangu aondoke Olang kimekuwa kapuku sana.Nilimuondoa mwanangu hapo second year akaenda kuanza chuo upya baada yaa kuona ubabaishaji mwingi
 
Siku zote vilaza hufanya mbinu mbalimbali ili waonekane wapo juu. Kujipendekeza ni mojawapo ya njia za kufika kule watakapo, refer, DAB.
 
Nina swali maswali kwako;
Je, wewe ni private investigate company uliyetumwa kuchunguza nyendo za huyo jamaa? Kama sivyo imekuwaje uwepo kila mahali alipopita huyo jamaa na kushuhudia kila kitu alichokifanya kila alipoenda?
Ni mpelelezi au mwandishi wa hadithi tu anayeweza kuyaandika hayo katika mtiririko ulioweka lakini mtoa shutuma wa kawaida kamwe hawezi, yete angejikita eneo fulani tu either pale MMU au SAUT au kwenye magari. Lakini si mpaka airport au ofisi za TCU dar na kuwaacha wenzake kwenye mgahawa na yete kwenda kuzurura kwenye korido za TCU
Kama ni kweli basi wamiliki wa shule wachukue hatua mapema. Hiki chuo kilikuwa kizuri sana hapo nyuma.
 
Daaah, ni Hatarii isiyo na mfano, Nakifahamu chuo nami nlikuwa najiuliza hiki chuo mbona sioni kama kina popularity yeyote, daaah kumbe yanayokisibu ni makubwa hivo, jamaa alitumia mbinu ya " ukishindwa kupambana kwa nje, jiunge naye umuharibu kwa ndani"
 
Kusema kweli nilikua sijawahi kukisikia chuo hicho na pia nilijua chuo kipo Kenya baada ya kusoma jina lake
 
Hii ndio Tanzania ya viwanda ambayo itajengwa na wasomi kama hawa ...
 
Back
Top Bottom