Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

umesahau kunas wanawake wezi hata wakiwa kwenye ndoa mpwa =sasa wa aina hii ni wengi sana walio nje awajaolewa embu tupe uzoefu wa kuwuasadia
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.

  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.

  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

wanawatamani hao wazuri wakati wao wenyewe sura zao kama wanapuliza moto....
 
Kuna wengine ukishapeleka hata hiyo barua immediately wananegotiate mahari..unaambiwa mahari millioni moja and u a like 'hivi naenda kununua mtu'? Unachapa lapa tu

Kuna jamaa aliambiwa mahari 3 milion, na ataoa hadi amalize mahari yote kwa mujibu wa baba wa mke na mke mwenyewe anaona ni dili kuolewa kwa mahari hiyo. Rafiki zaa mume wakawa na hamu kumuona mke wa milion tatu wamthamanishe, ha ha ha, shikaji alitoka nduki, hadi dakika hii hajulikani alipo. Wazazi pia wanachangia sometimes kwa kutaka kuumaliza umasikini wao kwa kuwaoza watoto matokeo yake ndo hayo.
 
Wananichagua na mimi pia nawachagua bana....simple naishi once, sitaki kufa na simanzi moyoni
 
Umesahau,
wengine wanajishughulisha sana na shule, kujitafutia maendeleo katika maisha yao binafsi na kusahau kuyapa mahusiano kipaumbele, wakija kushtuka muda umepita, wana miradi/kazi nzuri, pesa nyingi na wanaume wa umri unaofaa wanawaogopa.
Siyo wanawaogopa..mwanamke ktk 40 anatazamia aolewe na men on 45 and above...sasa hivi kukuta me single ktk age hiyo ni ufanye kazi...
 
Kuna jamaa aliambiwa mahari 3 milion, na ataoa hadi amalize mahari yote kwa mujibu wa baba wa mke na mke mwenyewe anaona ni dili kuolewa kwa mahari hiyo. Rafiki zaa mume wakawa na hamu kumuona mke wa milion tatu wamthamanishe, ha ha ha, shikaji alitoka nduki, hadi dakika hii hajulikani alipo. Wazazi pia wanachangia sometimes kwa kutaka kuumaliza umasikini wao kwa kuwaoza watoto matokeo yake ndo hayo.

Hizo tatu nikiongezea nne zingine si nanunua gx 100???....hata miye ningesepa
 
Kuna ukweli mazee na siye huku kitaa tunashuhudia sakata hili...sasa sijuhi wafanyeje na siye tunawapenda make anayeumwa hajitambui katu
 
Kwa kuongezea tu, ...kuna baadhi ya wasichana wako so desperate kuolewa in such a way akienda first date na mtu anaanza kuuliza honemoon yetu itakuwa wapi kiasi kwamba wanaume wanakuwa scared na kuishia, just keep it slow ladies, good things come to those who are patients.

First date ukianza kuuliza maswali ya ndoa offcoz hata kama demu mzuri vipi au umeshamkubali lazima utoke mita coz inaonesha kabisa huyo binti hayupo sawa ana matatizo, hajiamini na amekata tamaa ya maisha
 
kwa kuwa sio kila msichana anafanya makosa yote, nadhani ni kawaida mtu/binadamu kufanya kosa moja au jingine katika maisha.
Makosa haya yapo sana, na pia kuna mengine mengi tu ambayo hukuyataja,
Ndio wanaita ujana maji ya moto.
yataendelea kuwepo, hata ukiimba katika tv na redio zote, makosa haya yataendelea, kila mmoja na kosa lake, sio mmoja makosa yote. inasikitisha.
Lakini ni kawaida na inaruhusiwa kila mtu kufanya makosa yake na kujifunza. kama yataacha makovu maishani, then very unaishi na kovu lako na majuto yako at leisure.
Lakini in the same spirit, wavulana nao hufanya makosa makubwa wakati wa kutafuta wenzi, hatuwezi kuwalaumu kwani ni binadamu pia
- kudhani wasichana wote huangalia pesa iliopo, na sio potential ya kufanikia, wanahangaika kupata pesa mara moja na sio kujiweka katika mazingira ya kupata pesa kwa muda mrefu, mfano kuacha masomo.
- kuangalia urembo wa wasichana na kujisahau kuangalia pia malezi na mtazamo
- kusikiliza maneno ya marafiki zaidi na kuchanganya stori nyingi kuhusu mahusiano hadi kushindwa kufanya maamuzi binafsi
- kudhani kuwa wao wana muda mrefu zaidi wa kufanya window shopping ya mke, wakishindwa kujua kuwa kulea mtoto uzeeni si dili.
 
Back
Top Bottom