Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
wewe nani aolewe na mtu ya huko bahili hela ya saluni lazima uattach na profoma invoice then upeleke na receipt? Na chenji duuuh weweeeeduh! Kumbe ni mmachame, basi nimeghairi hata sitaki kumdanganya tena
mi natoka mwanga sehemu moja inaitwa kihurio!