mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Leo habari kutoka mahakamani zimeeleza kuwa mbunge wa segerea mh makongoro mahanga aliyekuwa akilalamikiwa na mgombea ubunge wa chadema ndugu f. Mpendazoe ameshinda kesi na kwa hiyo ni mbunge halali wa segerea. Baada ya kusikia uamuzi huu wa mahakama imebidi nijiulize hivi tanzania sheria ipo? Na kama ipo je inafanya kazi? Napenda kuamini kuwa sheria tanzania haifanyi kazi bali kinachofanya kazi ni utashi wa mtu. Iweje pamoja na uthibitisho wote na ushahidi wote kuhusu ukiukaji wa taratibu za uchaguzi bado mahakama imeamua kuwa ni mshindi. Hii ni hatari ! Sipendi kuhukumu lakini kutokana na mwenendo wa kesi na mashahidi ni dhahiri shahri kwamba makongoro mhanga hakustahili