Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi
Ni kweli. Mahakama imeamua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Segerea in favour of Makongoro Mahanga.
 
Wakuu,

Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi

Heee mbona yamekuwa hayo?
 
"""LAZIMA MAHANGA ASHINDE KWA VYOVYOTE ,HATUWEZI KUPOTEZA JIMBO DSM HII ITAKUWA AIBU KUBWA TUNAJUA CHAMA KIMEYUMBA LAKINI CHAMA KITAANZA SAFARI YA KUFA KAMA TUTAPOTEZA JIMBO LINGINE DAR KABLA YA 2015''

ujumbe huo nimefowadiwa sasa hivi na mtu wangu wa karibu ambaye ameupata kutoka kwa MKUU WA KAYA,niko mahakamani dalili za kushindwa ni kubwa kwani Jaji anapangua hoja zetu kama maji bila kutuangalia usoni
 
Una uhakika mkuu? Tunajaribu kufuatilia mpaka thread nyingine zinafungwa huku!
 
Ujinga mtupu, watu Wa Dar ni waoga sana.. Mie nahama Dar.. Aibu.. Mtu mkatazwe kusikiliza hukumu Na mkae kimya???!!!
 
haya tena ..... ukombozi utaendelea tuu ... it is not the end of the world
 
Chadema waipitie hiyo hukumu kama wanaona hawakutendewa haki basi wakate rufaa ili kutafuta haki zaidi hayo ndo maamuzi ya mahakama
 
Kama vipi CDM wapotezee na wajipange kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao najua makongoro hatagombea.
 
Back
Top Bottom