Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Jua kutofautisha siasa na mahafa ndugu yangu we watu wamekufa unaanza tena habari za CDM usikute huu msiba haujakugusa moja kwa moja ungekua umekugusa sidhaniii kama ungelipata uo wasaaa wakuanza kuwashangaaa CDM kwenye msibaa........be serious kwenye serious issues
 
Ewe Mtanzania mpumbavu, ni nani aliyekupumbaza kiasi kwamba kila kitu unakichukulia kisiasa? Kwani kunaulazima wa kuhusisha kila jambo na uCCM na uCHADEMA? Waliokufa ni ndugu zetu Watanzania hapo, wapo waliokuwa CHADEMA na vilevile wapo waliokuwa CCM.
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Kaokoe watu wamezama toka Jana, na wewe baada ya kuwaokoa umemfuata malaya wako mkalale
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa mwanza ni mwanachama wa CUF.
 
Kama wameshindwa kuokoa usiku wavuvi wa dagaa pamoja na kutumia crude technology wanawezaje kuvua usiku!!!! serikali lenye makamanda wanaonengua wakishinda uchaguzi inakuwaje wanashindwa kufanya kazi 24/7 katika ulimwengu huu wa leo.
 
Bado namtafakari huyu Mkuu wa Mkoa aisee..
Mkuu wa Mkoa angefanyaje kama serikali toka ajali ya MV BUKOBA haikuimarisha kitengo cha uokoaji majini na Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa bajeti yake haieleweki, Nadhani wangekuwa na boti zenye taa za mwanga mkali uokoaji ungeendelea hata usiku na meli yenye uwezo kuivuta(crane)hiyo kivuko watu wengi wangeokolewa.
Nikon wazo tu.
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Mr tako kwa kujipromo hujambo
 
unaijua kamati ya maafa ya wilaya na mkoa ? unajua maana ya emergency preparedness. ndicho kilichotokea huko mwanza. badala ya kuniandaa na dharura nyie mnanunua mindegeee.
 
Yaani nikiwafikiria wahanga wa hili janga, mawazo mengi sana yanapita akilini mwangu. Hii ni mara nyingine tena tunawapotezwa wapendwa wetu ktk ziwa hilo la Victoria na bado uwezo wetu wa kukabiliana na maafa kwa usafiri wa majini ni wa kiwango hicho. Kuna watu yaani wamekufa kabla ya wakati wao kama tungekuwa tumejifunza kutokana na ile ajali ya MV Bukoba.
Mungu uwarehemu na uwajaliye faraja ya milele wale wote waliopoteza maisha yao ktk ajali hii.
Na sisi tuliosalia tupe moyo mwepesi wa kujiandaa kukabiliana na ajali za namna hii. Tuwekeze kwenye vyombo vya kisasa vya kuwasafirisha raia wenzetu wanaoishi huko visiwani
 
Mkuu umeongea ukweli
Mkuu wa mkoa wa mwanza hayuko compitent na atafukuzwa ngoja staring aje
Kivuko kilikuwa karibu sana na nchi kavu...yaani imeshindikana kuleta jenerators za kuwasha taa...basi hata magari wangeyapanga kwa namna ya kuahakikisha yote yanaelekeza mwanga wake eneo moja hilo giza jeuri lingetoa wapi? Huyo Mkuu wa mkoa kwanza alikuwa kwenye eneo la tukio kweli? hivi huyo ndiye Mwenyekiti wa usalama wa mkoa huo...! Yaani, huyu kweli ndiye anasimamia ulinzi na usalama wa wananchi waishio mkoa wa mwanza!!!? Kama hajanukuliwa vibaya...basi aseme hasa alikusudia nini ?
 
Hakuna ushuzi unanuka vibaya kama huu, Serikali inasitisha uokoaji/uopoaji wa miili ya Watanzania kisa giza/usiku umeingia!! Haya nayo ni maajabu kama yale ya pesa za misaada ya tetemeko Kagera. Humo chomboni angekuwepo Bashite au Polyepolye shughuli ya uopoaji ingesitishwa au ni vile maiti zilizomo ni za walalahoi?
Ni maiti za wapiga kura sio za watawala!
 
Binafsi nilishangazwa sana na Hili Swala tunajeshi la majini nilitegemea uokozi ufanyike mpaka asubuhi, Huyo mkuu wa mkoa alipataje usingizi? Mtu ana direct line na C in C ameshindwa nini ku request wana Maji kufika apo na akakesha nao Usiku wote
Nchi haiko organized kwenye maswala ya muhimu,ila kwenye maswala ya kununua wapinzani na kuchukua ushindi kibabe ndio kazi pekee inayowezekana
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Hakika kwa hilo wote kwa umoja wetu nina uhakika angeungwa mkono wazi wazi.
 
Kipindi unasema makonda angeweza pengine kweli kabisa.
Ila ujue mkuu wa mkoa mwanza ndio unamzikia ajira yake.
Na hatufai
 
Wala tatizo sio mkuu wa mkoa!!! Tatizo hatuko tayari kukabiliana na majanga!! Kwanza vifaa hakuna hata angekuwa ni bashite usiku huu angetumia nini?? Kama vingekuwepo mzee wa sifa asingeweza kukubali!!! Ila amekuwa mpole kwani hana jinsi!!!
Kweli.. kukosekana vifaa linaweza lisiwe kosa la mkuu wa mkoa.. Je kuna haja ya kusema NCHI YETU ina Jeshi la UOKOAJI MAJINI? kama halina vifaa?
Mbona bajeti ya uchaguzi huwa inatosha... WHY kwa hili?
Serikali inapaswa kujibu wala sio NAHODHA tu.
 
Back
Top Bottom