AVANTES
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 353
- 307
Jua kutofautisha siasa na mahafa ndugu yangu we watu wamekufa unaanza tena habari za CDM usikute huu msiba haujakugusa moja kwa moja ungekua umekugusa sidhaniii kama ungelipata uo wasaaa wakuanza kuwashangaaa CDM kwenye msibaa........be serious kwenye serious issuesLeo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,
Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,
Nawashangaa sana CHADEMA