Makonda analeta mashaka

Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?
Nilipoanza kusoma nilidhani ninasoma uzi wa mtu mwenye akili timamu kumbe ushuzi mtupu..... barabara ikiwa mbovu wagonjwa wanaweza kuwahishwa hospitalini?
 
Sasa kwanini unalia boss, nyamaza futa machozi endelea na mapigano. Makonda amekuja kusafisha kabisa masalia yote
 
Back
Top Bottom