Makonda analeta mashaka

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.

Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu, ambao umeona wengine wanalalamoka, kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.

Kama watu wamestaafu ni lazima waachwe wastaafu kwa amani. No nakosa imani kabisa na huyu Makonda. Mi nimepata matatizo na DC Butiama sikupata msaada wowote kutoka kwenye Chama.

Mimi sina imani na Makonda.

Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?

Mimi sihusiki na mambo yoyote ya Chama na serikali.

Hakuna kiongozi ambaye anspokuwa na hofu kuhusu kazi take,anahofu kwamba mimi ndio tishio. Waziri most probably atahofu Naibu Waziri anataka kazi yake.

Kwa hiyo mimi naomba niachiwe niishi kwa amani.
Imeandikwa katika Biblia,nabii wa uongo utamjua tu,akitabiri kitu,hakitokei.
Na hata kama akitabiri kitu kikatokea,hana ruhusa ya kukuambia ufanye kitu ambacho kimekatazwa na Mungu.
 
Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.
Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu...
Sio mashaka,

Bali ni mpambano kati ya chama Tawala na serikali yake. Sijui wapinzani wafanye kazi gani
 
kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.

Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?
Eti nami nimsifie mtu "anaupiga mwingi" ilhali Si mshabiki wa mpira!!!

Mizengo Pinda anamlalamikia Mwenezi kuhusu nini?

Mwisho, Familia ya mwasisi wetu wa Taifa, waache waishi Kwa Amani.

Amen
 
Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.
Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu,ambao umeona wengine wanalalamoka,kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.

Kama watu wamestaafu ni lazima waachwe wastaafu kwa amani. No nakosa imani kabisa na huyu Makonda. Mi nimepata matatizo na DC Butiama sikupata msaada wowote kutoka kwenye Chama.
Mimi sina imani na Makonda.

Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?

Mimi sihusiki na mambo yoyote ya Chama na serikali.

Hakuna kiongozi ambaye anspokuwa na hofu kuhusu kazi take,anahofu kwamba mimi ndio tishio. Waziri most probably atahofu Naibu Waziri anataka kazi yake.

Kwa hiyo mimi naomba niachiwe niishi kwa amani.
CCM ni panya
 
Wamepishana nini na huyo mzee
 
Umeshavuta shisha halafu unakuja kuanzisha Uzi. Kwanini usisubiri steam ikate?
 
Back
Top Bottom