Makomandoo wa Bongo

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?
 
ndo wenyewe lakini bado sana hawafikii wale wa marekani wenye uwezo wa kupigana sehemu yeyote iwe baharini ,chi kavu au angani
 
Mara nyingi they hide themselves as MPs. Ila kitu cha kuangalia sana ni zile kofia wanazovaa. Nyekundu ni redi beret ambao wanatofautiana na wale wenye nyeusi, amphibians. Wote ni makomandoo. Ubora wao unategemea mambo mengi ikiwemo msosi na vinywaji wanavyokunywa. Ukinywa gongo ukaruka na parachute, si utajitapikia mpaka uchanganyikiwe.
 
kaka jamba zile muvi za kina komandoo john zisikutishe ukafikiri kuwa makomandoo wana ujasiri ule.Rambo mwenyewe alishakiri kuwa yeye ni mwoga wa kufa vibaya sana.
Naamini kabisa kuwa na makomandoo wetu wapo fiti kabisa ila tatizo ni vitendea kazi kama vya wenzetu.
 
Mara nyingi they hide themselves as MPs. Ila kitu cha kuangalia sana ni zile kofia wanazovaa. Nyekundu ni redi beret ambao wanatofautiana na wale wenye nyeusi, amphibians. Wote ni makomandoo. Ubora wao unategemea mambo mengi ikiwemo msosi na vinywaji wanavyokunywa. Ukinywa gongo ukaruka na parachute, si utajitapikia mpaka uchanganyikiwe.
acha uongo,wenye kofia nyekundu na MP,wenye kofia ya zambarau ni makomando,wenye kofia nyeusi ni kikosi cha mzinga,mabomu,vifaru,wenye kofia za kijani ni askali wa miguu,wenye kofia za brue bahari ni askari wa anga nk.
Hata hivyo makomando utofautia kwa alama ya bawa kifuani kuna wenye nusu bawa na kuna wenye full bawa na kuna wengine ni mabawa ya kuonesha urubani,hapo upo?
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.
 
Wengine hatujui zambarau na nyekundu....na nyeusi wapo amphibians hilo sio uongo. Kwani uongo unaupima kwa mizani gani? Maana usiseme tu bila kuwa na facts.
 
KKJ
Hawa Jamaa wako fit sana, niliwahi kuona Coverage ya mazoezi yao mwaka jana kwenye Maadhimisho ya JWTZ Kupitia Kituo cha TBC, Ilikuwa nzuri na baadhi yao walihojiwa pia.
 
umechelewa sana ungekichafua ili uone mziki wake ungepata majibu mazuri, mambo ya kina commando kipensi ni sinema tu!
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.

Hatujawahi pata inshu hapa bongo ya kuwatumia tuone kama kweli wako fii kama wenzao huko nje. But I know watakuwa fit coz kama ni training wanatapa kama hiyo ya kwa Obama. So let be assured wako fit.
 
Wengine hatujui zambarau na nyekundu....na nyeusi wapo amphibians hilo sio uongo. Kwani uongo unaupima kwa mizani gani? Maana usiseme tu bila kuwa na facts.
Mkuu Ruhazwe JR hajakosea,ila mwenye full bawa ni rubani.
 
Mara nyingi they hide themselves as MPs. Ila kitu cha kuangalia sana ni zile kofia wanazovaa. Nyekundu ni redi beret ambao wanatofautiana na wale wenye nyeusi, amphibians. Wote ni makomandoo. Ubora wao unategemea mambo mengi ikiwemo msosi na vinywaji wanavyokunywa. Ukinywa gongo ukaruka na parachute, si utajitapikia mpaka uchanganyikiwe.

Teh teh teh:) Ebwana asante sana kwa kuniafurahisha katika siku ya leo yenye mvua hapa Dar es Salaam!! Maana nikijaribu kumfikiria askari wa miavuli akuwa anaruka toka angani (parachuting) akiwa kanywa gongo...KIBOKO!!!!!

Sasa hawa wa kwetu hii ration wanayopata ya DONA KWA KAUZU wataweza kweli kutwangana kungfu na AL SHABAB waliokula mirungi na handasi iko juu???
 
KKJ
Hawa Jamaa wako fit sana, niliwahi kuona Coverage ya mazoezi yao mwaka jana kwenye Maadhimisho ya JWTZ Kupitia Kituo cha TBC, Ilikuwa nzuri na baadhi yao walihojiwa pia.

Mkuu isije ikawa uliyoyaona ni kwa ajili ya TV show!

Mbona akina kanumba wanaweza kuigiza kwenye majumba na magari ya kifahari?
 
Hilo nalo neno,naona kijana ana amini kwamba wanaweza kuvunja tofali kwa mkono haaaa wapi ni for TV only,yale matofali ni mchanga mtupu ule,kekundu kekundu
 
  • Thanks
Reactions: y-n
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,

Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china

Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa

Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....

Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,

Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,

Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!

Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti
 
Back
Top Bottom