THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,727
- 3,286
Yani ujue Hizi Team hususani SIMBA Na YANGA zimejitengenezea Ufalme wa kujipa tu ambao umewatia Ujinga.
Mashabiki zao wamekua Wajinga.
Wachambuzi wamekua Wajinga.
Hata Watangazaji wa Michezo wamekua wajinga sana.
Yani ukianzia kwa Mashabiki wao wanaona kabisa Team yao inacheza vibaya dakika 80/90 za mchezo then zile 10 tu linatokea tukio moja ambalo kibinadamu tu linampitia Refa wanao wanaamini eti lingewapa Ushindi? Kitu ambacho bado ni probability inaweza tokea foul mkapewa mkakosa au ikawa blocked..ila ukiwasikiliza sasa as if lilikua goli tayar.
Imagine Mtu alietazama Match ya Leo simba na Azam hivi zile Beki za simba zilivyokua uchochoro zinapwaya Plus Kiungo hakieleweki kwa dakika kama 80+ hivi unamlaumu Refa kwa Lipi?
Yani Leo ilikua tu kukosa umakini kwa Foward za Azam lasivo wangekula 5 zingine.
Mnavyolalamika KAYOKO kawabeba Azam hivi hamjaona ule Mpira wenu mbovu hadi kocha wenu anasikitika?
Kingine kwa MASHABIKI haohao yani wao Kila game hua wamejipa Asilimia 100 kua wanashinda ikitokea wamefanyiwa Ugumu flani hivi wamepata matokeo ya 1-0 wanaanza kelele Mara tunataka Rotation,Mara tunataka Kocha atoke yani wao wanaamini kila game kwao ni Nyepesi na ushindi lazima uwe 5G hapa ni wale ndugu zangu YANGA.
Wajinga Wengine ni WATANGAZAJI,yani hawa watu ukiwasikiliza utajiuliza huyu Mtangazaji anatangaza Pambio La Yanga au Simba yani utakua unasikia Mwanzo Mwisho hizi Team zinasifiwa as If zile Team zinacheza nao ni Mbovu sana na hazistahili kupata Points..huu ni Ujinga sana.
Wachambuzi nao the same wanakasumba ya kuanzisha Maada ambazo zinaenda kuathiri Mashabiki maana mashabiki bongo hawatakagi kuumiza Akili wao wanaamini tu Maneno ya wachambuzi wanayosikia..bila hata kuyafanyia kazi.
Tuacheni Sababu ya kulaumu laumu kila mda ukweli ni kua kuna siku Team zetu zinacheza vibaya na Wapinzani wanakua Bora tuwe tunawaheshimu wapinzani pia.
Tukitaka tubadilike tukubali Makosa sio kila siku tutafte Sababu sisi tu kua tumeonewa na Refa mara Kocha Mbovu.