Makomandoo wa Bongo

ngoja nipige tizi..

cmd.jpg
 
Komandoo ni komandoo tu

Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?

Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.

Ache Hashish nyie.
Hizo Movie za kubumba Zisiwaharibu vichwa.
Hao Wanaoitwa Makomandoo mbona hawapelekwi Iraq au Syria Kumaliza Hizo Vita?
Leo mwaka Wa 13 Vita ndio kwanza zinapamba moto.
Wanajeshi wa Kimarekani Zaidi ya 20,000 wamerudishwa kwao kwenye mifuko ya Rambo.

Wapeleke basi kina Rambo km hawajamba bila break!
 
Back
Top Bottom