Makomandoo wa Bongo

Makomandoo wetu bado sana! Jana niliwaona wanavyotumia visu nikawaonea huruma sana, wanavyo expose baahi ya sehemu hatari za miili yao. Pili speed yao ya ku react hairidhishi hata kidogo.
Wakipambana na mtu kama mimi ndani ya sekunde kadhaa nakuwa nimemlambisha mtu sakafu!
Washukuru Mungu raia wa nchi yetu ni watiifu na bado wanaogopa jezi za mabakamabaka wanazovaa, na sio utaalamu alionao mwanajeshi au askari.
 
Teh teh teh:) Ebwana asante sana kwa kuniafurahisha katika siku ya leo yenye mvua hapa Dar es Salaam!! Maana nikijaribu kumfikiria askari wa miavuli akuwa anaruka toka angani (parachuting) akiwa kanywa gongo...KIBOKO!!!!!

Sasa hawa wa kwetu hii ration wanayopata ya DONA KWA KAUZU wataweza kweli kutwangana kungfu na AL SHABAB waliokula mirungi na handasi iko juu???

Dona na kauzu!!? Katika vikosi vya jeshi vinavyokula vzr ni hawa 92 na kule tma na watu wa mizinga..,

Jamaa kila asbh lazma wazichape kareti kwanza ndo ratiba ya siku inafata.., ndo kama warm up ya siku
 
Makomandoo wetu bado sana! Jana niliwaona wanavyotumia visu nikawaonea huruma sana, wanavyo expose baahi ya sehemu hatari za miili yao. Pili speed yao ya ku react hairidhishi hata kidogo.
Wakipambana na mtu kama mimi ndani ya sekunde kadhaa nakuwa nimemlambisha mtu sakafu!
Washukuru Mungu raia wa nchi yetu ni watiifu na bado wanaogopa jezi za mabakamabaka wanazovaa, na sio utaalamu alionao mwanajeshi au askari.
Sjajua ujuzi wako kimapigano but i advice u..., usijaribu kupigana na commando hata kama ni mzee kama mzee balati..., wale ni exceptional.., hv, unajua limit ya entry age ya commando? Na kwnn unafkiri wamefanya hvo??
 
ndo utujuze hayo sasa.
 
Mjomba wapo fiti ile mbayaaaa.kuna siku basi ilitekwa na majambazi.Kuna soja 1 akamcheki jambazi jinsi alivyoshika silaha kizembe........akamwambia aliye jirani nae(wakiwa juu ya kelia ya basi ambapo ulikuwa unapanda baada ya kusachiwa.)Ukiona nimemrukia basi ushuke haraka ili tumbane.Kweli jamaa akajitoa mhanga.Akamrukia jambazi mwenye silaha,jamaa akashuka na abiria wote wakashiriki kuliua jambaz palepale.SOJA akabeba umaarufu
HIi ilitokea URAMBO-TBR
 
Ila kaka hapa tunaongelea akikutana na wataalamu wenzake wa mfano Cuba.
 
kumbe nawe ulikuwepo tena njemba uchi wa mnyama
 
Kaka bana!! yaani pamoja na ushahidi wote huu uliopewa bado inaonekana huwaamini kabisa makomando wetu!! mi naona wewe unamwamini James Bond tu, 007. Au Komando Machozi!
bado mbishi..., ila nimjuze tu ndio wakufunzi wa UPDF na jeshi la congo...., kama yy hawaamini, nchi jirani zinawatumia
 
afu kwa mambo kama haya sio rahisi kujua ufanisi wao hadi ufahamu wanatumikaje na wapi., na walitumikaje huko nyuma.., kuna thread hapa nimesahau heading nilichangia kuhusu co-ops(covert operations) ambazo tanzania imewahi kuzifanya bila wananchi wengi kufahamu...,

sasa kwny hz co-ops makomando ndo their specialty.., we have done a lot of co-ops kukomboa nchi za kusini mwa afrika including kufundisha sabotage(kuharibu miundo mbinu kwa milipuko).., assasinations of key members of the colonial powers, organizing movements covertly, etc

hyo field ni ya makomandoo chini ya makamanda
 
Ila kaka hapa tunaongelea akikutana na wataalamu wenzake wa mfano Cuba.

UNAJUA KUNA BAADHI YA MAMBO YA HAWA MAKOMANDO NI MAGUMU KUJULIKANA KILA MTU...Ila amini kazi wanaiweza.Unamkumbuka yule komando wa jwtz aliyepigwa RISASI kifuani ikatokezea mgongoni?asingekuwa komando angekufa.....huwa anaonekana sana TBC1.Mungu akijaalia angalia vipindi vya kesho utajifunza kitu.Usiwaone et ni wa tz ukajua poyoyo...utakufa ndugu.
 
Hivi utaratibu ukoje ili kujiunga kwenye mafunzo ya ukomandoo?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom