Makinda vs Sitta

Makinda 5% (for being fisrt female Speaker)
Sitta 75% (for improving the Bunge image - his ethical qualities are poor)
 
makinda: 15%
sitta:85%

makinda 0, sita 100

makinda ni zero kabisa-siyo spika ni kada kongwe la ccm linaongoza bunge, kajawa na jazba, hajali maslahi ya taifa, do not think outside the box. Aibu kubwa huyu mama abadilishwe.
 
hivi kumbe hisabati ni janga la taifa hadi humu jf??? 89+3 sawa sawa na 92, hiyo 8 iliyobaki ikowapi???
Grade hizo siyo za Pie-Chart kuwa lazima jumla yake iwe ni 100%. Ni grade za kuonyesha uwezo wa mtun mmoja mmoja kwa scale ya Perfect=100% na horrible=0%.
 
Makinda -100%Sita +200 Sasa tunaanza kelewa kwanini hakuolewa MAKINDA NI MAKAMBA KTK BUNGE
makinda 0, sita 100%

makinda ni zero kabisa-siyo spika ni kada kongwe la ccm linaongoza bunge, kajawa na jazba, hajali maslahi ya taifa, do not think outside the box. Aibu kubwa huyu mama abadilishwe.
 
Makinda -100%Sita +200 Sasa tunaanza kelewa kwanini hakuolewa MAKINDA NI MAKAMBA KTK BUNGE

kwetu tulifundishwa kuwa Katope hatakiwi atembee kwenye mvua; akikaidi atayeyuka. Makinda ni kama Katope na anataka kukimbia kwenye mvua, sidhani kama atafika popote; atayeyuka sasa hivi.
 
Mama Makinda namuonea huruma hili bunge si saizi yake maana benchmark iko very high foe her to reach.....aki jump anafikia 15%....she is even poor....performer
 
Mama Makinda namuonea huruma hili bunge si saizi yake maana benchmark iko very high foe her to reach.....aki jump anafikia 15%....she is even poor....performer
Kuna mifano mingine ni mibaya sana kutumika hapa jamvini hasa kwa kiongozi wetu, ila ni kama watoto wa kike pale Sinza ninaowafahamu waliokuwa wakilalamikia mateso waliyokuwa wamepata jana yake kutokana na pedeshee waliyekwenda naye kwa sababu ya pesa za haraka harak.
 
Usiweke neno, weka tu % ya kila mmoja wao.

BIN BOR Mtake radhi Sita, amekukosea nini mpaka unamtukana. Hivi kweli imefika mahala pa kumfananisha huyu mzee na Anna Makinda? Hata kama amekukosea kitu sidhani kama ulistahili kujichukulia sheria mikononi na kumtukana.
 
Bajaji+na+Abiria+7.JPG

VS

Mercedes-Benz-ML-63-AMG_2.jpg
 
Back
Top Bottom