Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,955
- 156,154
Chama changu ni Narea chama cha Kigoma Ally Malimabujibuji unanifurahishaga sana! We ni CCM nini?
Chama changu ni Narea chama cha Kigoma Ally Malimabujibuji unanifurahishaga sana! We ni CCM nini?
Yaani limedharauliwa, watu wanapiga makelele ile mbaya.
Sababu ni nini, je ni jinsia ya kiongozi ndio chanzo au kuongoza bunge kumemshinda?
habari za siku nyingi ndugu zangu? leo hii kagame kaulizwa swali na wanafunzi wanyarwanda wanaoishi ulaya na marekani, kuhusu msimamo wake kwa yale yanayojiri libya, kiukweli amijigongagonga sana na matokeo yake akasema kua ni bora ufunge mlango wa nyumba yako mapema kab;a mwizi hajingia, na kama akiingia uwe tayari kukabiliana nae,
je ****** yeye msimamo wake ni upi? asanteni sana nawasilisha