Makinda aunda tume ya bunge kwenda Mtwara

ooooophuuuu!!!!!!!!!!! 'imechoka jamani kama hawataki kuwa sikiliza chomeni tena ka mjengo kengine
 
Makinda hana jipya anafanya zimamoto kwa mazoea,safari hii imekula kwake mazima!angeomba wasubiri majibu ya Pinda,ona sasa anaonekana amekurupuka na hana hoja wala jipya!tume kumaliza pesa na kodi za wananchi bure kila tume anayounda huwa inaleta upuuzi tu maana akazichakachua!Pinda amemaliza sakata lote na yeye kesho avunje tume kabla hajaiteua!aibu!
 
Sasa jamani PM alienda kule kufanya nini?!Wakati tayari Spika ana mawazo yake tayari?!Wanachezea kodi zetu hawa.IGP na Mkubwa wa JWTX na ndani ya nyumba.
 
Sasa jamani PM alienda kule kufanya nini?!Wakati tayari Spika ana mawazo yake tayari?!Wanachezea kodi zetu hawa.IGP na Mkubwa wa JWTZ nao ndani ya nyumba.
 
Serikali dhaifu mnategemea jipya bora tuendelee na harakati za ukombozi wa pili. Serikali legelege inayoongozwa na viongozi dhaifu Tume kwao ndio kichaka cha kujificha.
 
kweli tuna utawala holela. Spika anaunga tume. Waziri mkuu na wanajeshi na polisi nao wako kule. Tangu lini tume inayoundwa na serikali au wale wanaoishi kwa kuitegemea ikaleta matokeo tarajiwa?

Nadhani makinda anatafuta umaarufu wa dezo.si wakiri kuwa nchi imewashinda kiasi cha kila mtu kujifanyia atakalo huku nchi ikiwa kwenye autopilot. Yuko wapi mtalii?

Usishangae kesho ukasikia akijisifu alivyoongea na sepp blatter utadhani ni mwenyekiti wa club ya mpira. Kweli rais hatuna na tusirudie kuchagua rais kufuata sura au jinsia.

naunga mkono hoja"
 
makinda hana jipya anafanya zimamoto kwa mazoea,safari hii imekula kwake mazima!angeomba wasubiri majibu ya pinda,ona sasa anaonekana amekurupuka na hana hoja wala jipya!tume kumaliza pesa na kodi za wananchi bure kila tume anayounda huwa inaleta upuuzi tu maana akazichakachua!pinda amemaliza sakata lote na yeye kesho avunje tume kabla hajaiteua!aibu!

kihele hele champoza huyu bibi.
 
Kwa bahati mbaya sana madam speaker anatuambia wananchi kuwa baadhi ya wawakilishi wetu hawafahamu issues kiundani kabla hata hajaruhusu open discussion, isn't this prejudice!!!???

Sarakasi zinaendelea ndani ya Jamhuri.....
 


..nikuibie mimi mwenyewe kwako then mimi mwenyewe ni kuundie TUME kuja kuchunguza kwako kujua kama uliibiwa au la...

ndio maana kuna kitu kinachoitwa TUME HURU..Haichaguliwi na Mtuhumiwa


....Hurumieni kodi zetu zina kazi nyingi muhimu za kufanya!!!!!!!!!!

 
upuuzi mtupu!tume so what?waliunda tume kufuatilia issue ya mgomo wa madaktari mpaka leo majibu ni kimya.

Hapo umeniwahi hili lilikuwa alilini mwangu mkuu meningitis.... Hii nchi kichefuchefu kabisa! Hiyo tume itatumia pesa nyingi kusafiri na per diem wakiwa huko Mtwara na hawatakuja na jibu la msingi...
 
Last edited by a moderator:
Hizi Tume sasa ni nyingi.

Polisi waunde Tume.

serikali iunde Tume.

Mkoa wa Mtwara uunde Tume.

Waziri Mkuu, IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani walikuwa Mtwara zote ni gharama kwa jambo moja.

kuna kamati ya bunge ya Nishati nayo inafanya kazi hiyo hiyo.

Tume zinahitajika kufikia kikomo.
Baada ya kuona mmesha poteza majimbo 2015 sasa mnataka kuja kutulamba miguu sio? Ina maana mnaona uhai wa ndugu zetu uliopotea wakati wa harakati za kuwataka msikilize madai yetu sasa unaonekana hauna thamani tena zaidi ya kupata kwenu eee?
 
Hizi Tume sasa ni nyingi.

Polisi waunde Tume.

serikali iunde Tume.

Mkoa wa Mtwara uunde Tume.

Waziri Mkuu, IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani walikuwa Mtwara zote ni gharama kwa jambo moja.

kuna kamati ya bunge ya Nishati nayo inafanya kazi hiyo hiyo.

Tume zinahitajika kufikia kikomo.
Wakati mwingine ni vema kujifunza nchi zingine hufanyaje inapotokea mambo kama haya au yanayofanana na haya! Kwa mfano, Je, hakuna njia nyingine ya kushughulika na masuala kama haya pasipo na TUME? au Je, mbinu nzuri sio kutatuta tatizo kabla halijatokea na kukomaa! ni gharama sana kama kila kitu kitaundiwa TUME maana uelewa wa watu unazidi kuongezeka na uchumi wa watu binafsi unazidi kuporomoka na hivyo sheria ya mbuga(law of the jungle) ikishika kasi migogoro itaibuka mahali mahali kwa kuwa watu wanakosa uvumilivu. Katika hali hii, Tume zitakuwa ngapi?

NI HERI KINGA KULIKO TIBA.
 
Mheshimiwa Makinda, hiyo tume kama ni ya CCM haitaleta la maana. You are always extremely biased. Huwezi kumwangusha aliyekuweka madarakani. Kupoteza hela tu,waambie wananchi kwa nini leo hujatangaza majadiriano ya Bunge.

This is a bad indication!!!!!! hata makanisa waliwahi kukwambia kuwa uko biased to the love of ruling party!
another ulaji. kweli kufa kufaana,
 
Back
Top Bottom