Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
hao ni marafiki zake tu, unajua chuo makini hakiwezi kumtunuku mtu mwenye mapungufu na hatia kadhaa za utumiaji mbaya wa madaraka yake kama mkapa, hizi tuzo za heshima zinatolewaje kwa mtu asie jiheshimu, mwenye kiburi ,asie staha, kama mkapa akitaka aombe ikulu imvue kinga aone heshima yake.
Mkapa hajawahi kutumia madaraka vibaya hata siku moja.
Mkapa anajiheshimu.
Mkapa hana kiburi.
Mkapa ana staha
Mkapa ni Mcha Mungu.