Makerere University kumuenzi Mkapa kwa uongozi bora

hao ni marafiki zake tu, unajua chuo makini hakiwezi kumtunuku mtu mwenye mapungufu na hatia kadhaa za utumiaji mbaya wa madaraka yake kama mkapa, hizi tuzo za heshima zinatolewaje kwa mtu asie jiheshimu, mwenye kiburi ,asie staha, kama mkapa akitaka aombe ikulu imvue kinga aone heshima yake.

Mkapa hajawahi kutumia madaraka vibaya hata siku moja.

Mkapa anajiheshimu.

Mkapa hana kiburi.

Mkapa ana staha



Mkapa ni Mcha Mungu.
 
Tujiepushe tu KUHUKUMU pasipo ushahidi wa kutosha. Mkapa ni mtu safi kwa kiwango chake. Alishindwa tu kuidhibiti FAMILIA yake na Mwenyezi Mungu hawezi kukujalia yote!
 
Hongera president Mkapa, umeonyesha kwamba wewe ni output oriented.

Uli deliver ulichoweza kasoro ufisadi tuu. labda 2015 rudi tena uongoze kura tutakupa upambane na ufisadi na kukuza uchumi ahahah!
 
Tujiepushe tu KUHUKUMU pasipo ushahidi wa kutosha. Mkapa ni mtu safi kwa kiwango chake. Alishindwa tu kuidhibiti FAMILIA yake na Mwenyezi Mungu hawezi kukujalia yote!

Mpendwa WildCard, hao wote wanaomsema Mkapa vibaya wana chuki binafsi naye.
 
Au wanajaribu kumsafisha na hiyo degree, huyu hasafishiki hata kidogo ana doa kwa WTZ.
 
Ndugu Kilemi,

Una uhakika na uliyo andika?

Angalia, Ijue Kweli nayo Kweli itakuweka huru.

Hongera sana Mzee B. W. Mkapa.

Mbona unaonekana kama mtumishi wa Mungu?? Wewe ni yule askofu aliyechangiwa sadaka nyingi na BWM kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa?
 
Kitanzi ndiyo stahili yake, akihurumiwa sana sana sana, kifungo cha maisha na kunyang'anywa kila kitu na familia yake yote. Wanalindana hawa, i hate that monster.
 
ni kweli usemayo waberoya ..mkapa anastrahiri kufunguliwa mashitaka lakini sijui sheria inasubiri nini kutendeka ??


Ni kweli FirstLady ila wanaotakiwa kumfungulia mashitaka naye anayajua madhambi yao, wamlipue naye awalipue. Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Ni kweli FirstLady ila wanaotakiwa kumfungulia mashitaka naye anayajua madhambi yao, wamlipue naye awalipue. Nani wa kumfunga paka kengele?

hapo ndio pa kuanzia mjadala wa kutatua tatizo hili, kelele za Mkapa kuwa mwizi zimeshachokwa na watu wanaona kawaida kama sio sifa!
 
Hapana jamani let no past ruin the future. Mngemshitaki kwanza kisha mkamchagua Rais kama mheshimiwa Mandela na sii vinginevyo. Mkapa anastahili heshima za pekee na kiongozi aliyetukuka. Ki ukweli vile. Tusiwe wajinga wa kumshitaki ni huyu aliyeko sasa kwa kutokufanya kile ambacho serikali yake inapaswa kufanya.
 
Aisifiaye mvua ujue imemnyea.. Sitashangaa kwa western countries kumsifia huyu jamaa kwani aliwawezesha kutaifisha malighafi zetu kama madini n.k.
Sijui majirani zetu wa Uganda walifaidika kivipi na utawala wa B.W.M mpaka wanafikia hatua hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom