Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

Sasa nimeelewa kwa nini Sugu na UKAWA walikuwa wakisihi sana Bungeni wakiomba Magufuli asafiri kwenda nje ya nje.Anawaweka roho juu mafisadi akiwa yuko nchini wanajua sasa yoyote kinawaka ndio maana wakamtuma mbunge Sugu kuomba Raisi asafiri kana kwamba bunge ndio lililomzuia asisafiri!!! Wanaweweseka UKAWA na fisadi wao hadi basi.
Nonsense
 
Hamna mtu aliekua anakwepa kodi ni mfumo uliokuepo bandarini ndio ulikua tatizo, mbona nasikia kwa mtu wa kawaida mambo yamekua rahisi sana sasa hivi
 
Nakushangaaa Jukwaa hili wewe peke yako ndio mtetezi wa mambo Kama Haya ...Nani anateetea HSC na Hao silent HUKU zaidi yako ????? So wewe peke yako ndio Uko right .....au umevaa miwani gani ???.
Siwezi kuwa NA wivu NA MTU ambayo wala siwezi kukutana naye....hanijui
Hoja ya kitoto kabisa kama mpo wengi humu JF basi ndiyo mkubarike hata kama mnamwaga pumba, JF Chadema ndiyo wengi kwa hiyo wangepewa nchi?
 
NI UKWELI USIOPINGIKA, PESA ZIMELIWA NA WATUMISHI WA "TPA" WAKUBWA NA WADOGO. SASA WANALINDANA KWA KUWABANA WANYONGE WASIOHUSIKA. KAMA KWELI NA HAKI INATAKIWA IONEKANE IKITENDEKA, NI KWA NINI WASI-WA "IMPLICATE" WAMILIKI WA ICDs KWA KUWEZESHA UTOROSHAJI HUU UNAOSEMEKANA KAMA KUNA UKWELI?
HAWA WANAITWA WAPELELEZI WA SERIKALI WAKO WAPI? TENDENI HAKI NA MUNGU ATALIBARIKI TAIFA HILI. KINACHOFANYIKA SASA NI WIZI WA AINA NYINGINE, TENA MKUBWA, NA SAFARI HII UKISIMAMIWA NA MAMLAKA HUSIKA! Je tutafika?
Taratibu ile 'mizuka' aliyosema Mh. Joseph Mbilinyi itawaishia na baadhi yetu tutaanza kuelewa ukweli.
Hebu fikiria JPM anasafisha ufisadi mkubwa uliofanyika katika awamu iliyomtangulia lakini wanaomsaidia zaidi ya 98% walikuwa sehemu ya ufisadi huo, tuwaamini au tusiwaamini!?
Nimeandika kwenye thread hii kuwa ufisadi ni kweli umefanyika tena huenda zaidi ya huu lakini ni jinsi gani ulifanyika ndilo kila mmoja wetu anatakiwa kujua. Mkuu TERREL umejitahidi kueleza vizuri na kwa uchungu!
 
Makampuni Zaidi ya 200? hii inaonyesha ni jinsi gani mazoea yalivyo kuwa tabia, Usiishie Kuwafungia na kuwanyanganya vibari tu, bari wamiliki, watumishi wa ngazi za juu wahayo makampuni wafungiwe kufanya hizo kazi.
Haya makampuni siyo ya kuyaonea huruma kabisa, kwani yanatabia ya kuuma pande zote mbili, yanawaumiza serikali na pia yanawaumiza wateja wao, Yafutwe kabisaa.[/QUOTEKuna kampuni moja hapo nimefurahi sana kuwemo kwenye hii list maana niliwahi kuagiza mwaka juzi Gari mbili kwa mpigo za moja IST ya mwaka 2004 na nyingine NISSAN EX TRAIL ya mwaka 2005 jamaa wakafanya clearing zao zote nakuja kupewa card za Gari zote mwaka 2009 maana yake hakuna uchakavu ila mie nililipa kama kawaida pamoja na uchakavu nikachukua Gari zangu cha ajabu kuulizia naambiwa nimepigwa...... nikajifariji kua kwa kua budget yangu ilikua pamoja na uchakavu si kuumiza kichwa......... Jamaa wakaibia serikali sijui huu mchezo ulichezwaje tu.....
 
Sasa mbona zote maarufu nazozijua zimefungiwa...kuna zilizobaki kweli??? Jambo freight nae ni mwizi Wa kodi zetu? Duuuh, ulokole ni kaz sana
 
Habari zenu wanaharakati humu JF
Kuna taarifa imetolewa na mamlaka ya usajili wa kampuni za usafirishaji na bandari; kwamba imezifungia kampuni zote 210 zilizoshindwa kuwasilisha nyaraka Mhimu kama zilivoagizwa.
Ninaunga mkono utendaji na uwajibikaji wa serikali katika hilo, LAKINI mi nadhani kampuni hizi wangepewa mda zaidi angalau miezi 6 zaidi ili kutekeleza swala hilo kwa masharti ya tozo lao kuongezeka kadri wanavyochelewa kuwasilisha, kufanyika Hivi hakuwaathili wamiriki wa kampuni peke yao, bali hadi wafanyakazi walioajiliwa na kampuni hizi, ebu mfano kampuni moja tu chukulia inawafanyakazi 10, ukizidisha kwa 210, utaona kwa makadirio ya chini kabisa ni watu 2100 watakosa ajila. Tunahitaji mabadiriko lakin dira ituongoze kutekeleza.
Watu wengi wamekuwa waoga kujikita katika biashara mbalimbali kutokana na kwamba serikali haitoi fursa sawa na heshima kwa wafanya biashara kitu kinachotia uoga kwa watu wengine kuingia ktk biashara Jambo ambalo linaminya wigo wa ajira kuongezeka nje ya taasisi za umma;
Mtakubaliana na mm, hata mikopo mfanya biashara hupewa masharti magumu ukiringanisha na aliyeajiliwa ktk taasisi za umma,
MAJIPU YALIYOTUMBULIWA
Kwa mujibu wa sheria na taratibu za ajira zinavorinda wafanyakazi, MAJIPU yoooote yaliyotumbuliwa na yanayotumbuliwa sasa, wamevuliwa nyasifa tu ila bado wanapokea mshara yao kama kawaida hadi miezi 6 ipite, SASA KWANINI MFANYA BIASHARA ASIANGALIWE NAYE AKAFIKILIWA KUPEWA MDA?
sina maslahi binafsi ya aina yeyote katika kampuni hizi zilizofutwa, bali nataka nao waangaliwe upya maana ni Mhimu sana ktk nchi hii.
Dear All,

Please be informed that the following Clearing and Forwarding Agents have been suspended effectively from 9th February 2016 to operate in all Ports owned by TPA and our Associates (All ICDs, CFS and TICTS) for failure to submit payment evidence, comply with our demand notes and/or failure to collect relevant documents regarding their respective outstanding balances with Tanzania Ports Authority:

LIST OF CLEARING & FORWARDING AGENTS SUSPENDED EFFECTIVELY FROM 09th FEBRUARY 2016.
S/N
COMPANY NAMES
1
21st Century Freight Forwarders
2
Aristepro Investment Co. Ltd
3
Ace Exim
4
Ally Vay C & F Agency
5
A & D Holdings Ltd
6
A & G Holdings Ltd
7
ACW Investment Ltd
8
Afro Centre (T) Ltd
9
Allmol trading
10
Amico Trading Ltd
11
Avow Holding (T) Ltd
12
Afritel Systems Ltd
13
Afrovision International Co. Ltd
14
Arusha Cargo Clearing & Forwarding Ltd
15
Arusha Freight Transport Agency
16
Bakhresa Food Products Ltd
17
Boston Forwarders Ltd
18
Babylon Freight Ltd
19
Beam Tanzania Ltd
20
Best Ocean Air Ltd
21
Break Through Holdings Ltd
22
Business Service Promotion Ltd
23
B & J Co. Ltd
24
BNM Co. Ltd
25
Boneste General Enterprises Ltd
26
Blue Light Investment Ltd
27
BN Metro ( E.A) Ltd
28
Cad Mulungu Co. Ltd
29
Capital Cargo Removers Ltd
30
Cargo Stars Ltd
31
Car Freight Station ICDV
32
Clear Services Tanzania Ltd
33
Clampek (T) Ltd
34
Classic Choices Investment Ltd
35
Continetal Reliable Clearing Ltd
36
Conanza Express Ltd
37
Cos Africa Logistics Ltd
38
Cosmos Haulage Co. Ltd
39
Chissel C & F Ltd
40
Cusna Investment Ltd
41
Daffor Enterprises Ltd
42
Dynamic Freight Forwarders Ltd
43
Datar & Co. Ltd
44
Dar Es Salaam Global Access Ltd
45
Dar Coast Enterprises Ltd
46
Denilo Freight Ltd
47
Destination Tanzania Cargo Logistics
48
Divine Cargo Services Ltd
49
Dow Elef Ltd
50
Dolusi (T) Ltd
51
Dolphin Sea And Air Ltd
52
E-3 Freight Co. Ltd
53
Eagle Tallons (T) Ltd
54
Econ Consult & Trading Co. Ltd
55
Eltex Investment Ltd
56
Edams Holdings Ltd
57
Efficient Freighters (T) Ltd
58
Equity Agencies
59
Expro Freight Services Ltd
60
Evergreen General Logistics (T) Ltd
61
Enterprises Logistics Ltd
62
East African Fossils Fossils Ltd
63
Fedrol Cargo Ltd
64
Full Cargo Support Ltd
65
Freight 24/7 Ltd
66
Favre Freight Forwarders Ltd
67
Freight Forwarders (T) Ltd
68
Freedom Freight Forwarders Ltd
69
Fifa & Flow Co. Ltd
70
F.K. Farms & Co. Ltd
71
First Choice Clearing & Forwarding Ltd
72
Freight Works Ltd
73
Frafza Freight Forwarders Ltd
74
General Envirocare (T) Ltd
75
General Shami Investment Co. Ltd
76
Glory Freight Ltd
77
Grand Movers Co. Ltd
78
Gwiholoto Impex Ltd
79
GS InterTrade Co. Ltd
80
Hamymack Trading Co. Ltd
81
Hadolin (T) Ltd
82
Hasa Customs Agency (T) Ltd
83
Horizon Freight Forwarders Ltd
84
Hodari Freight Ltd
85
Hardmark Logistics Ltd
86
HK Freight Forwarders Ltd
87
Hotreef Trading Ltd
88
Home Base Tanzania Ltd
89
Ilemela Investment Ltd
90
Impact Trading And Investment Co. Ltd
91
Jambo Freight Ltd
92
Jas Express Ltd
93
Jamaap Co. Ltd
94
Joe Ocean C & F Ltd
95
Juhudi Clearing And Forwarding
96
Juni Trust Freight Tz Ltd
97
Kas Freight Ltd
98
Kahe International Ltd
99
Kassam freight Ltd
100
Kiwaepa International Co. Ltd
101
Khan's C & F Ltd
102
Kams Trading Ltd
103
Kings Freight (T) Ltd
104
K & K Cargo Logistics
105
K&K Company Ltd
106
Kadengere Traders Ltd
107
Korufreight (T) Ltd
108
Lawia (T) Ltd
109
Laz ltd
110
Lesidi General Cargo Ltd
111
Liberal International Ltd
112
LCR Limited
113
LDV Macro Investment Ltd
114
Logistics Efficiency Co. Ltd
115
Lesheti Trading Ltd
116
Lichinga (T) Ltd
117
Mambona freight Ltd
118
Mamba Enterprises Ltd
119
Maxima C & F Ltd
120
Mwaya C & F
121
Marine Air Freight Ltd
122
Maritime Shipping Consultants
123
Mechanised Cargo Systems
124
METL
125
Metrologic C &f F Ltd
126
Minex Logistics Ltd
127
Mpepa Traders Co. Ltd
128
Mogo Forwarders Ltd
129
Mokha Agency Co. Ltd
130
Mwagy Investment Ltd
131
Naito General Supplies Ltd
132
Nal Business Co. Ltd
133
Nemarts Limited
134
Neighbour Trading Co . Ltd
135
Ngaramau Contractors Ltd
136
Nutricare (T) Ltd
137
Nkira Trading Ltd
138
NM Freight Ltd
139
Overseas Hi-Tech Industrial Ltd
140
Orbit Freight Ltd
141
Pasiwa Cargo Ltd
142
P & D Freight Forwarders Ltd
143
Platinum Trading Co. Ltd
144
Palm Swift Tz Ltd
145
Quality Logistics Ltd
146
Runner Co. Ltd
147
Rungwe Trading Ltd
148
Reindeer Investment Ltd
149
Regent (T) Ltd
150
Rukwi Holdings Ltd
151
Royal Freight Ltd
152
Ruma International Ltd
153
R.H.G General Traders Ltd
154
Sky Land Across Freight
155
Sai C & F Ltd
156
Shift Cargo Ltd
157
Sachsen Spedition Ltd
158
Sahara Desert Freighters
159
Sahuse Services & Supplies Ltd
160
Selwek & Solar Forwarders Ltd
161
Sami Agency Ltd
162
Sahe C & F Ltd
163
Sangare Express Ltd
164
Sea Bridge Co. Ltd
165
Sea Air Forwarders Ltd
166
Sea Africa Cargo Freight Ltd
167
Scol (T) Ltd
168
Shakura Trading Services
169
Space Land Logistics
170
Senkondos Import & Export Ltd
171
Smith Freight Forwarders Ltd
172
Sino Logistics Ltd
173
Scanland Shipping Consultants Ltd
174
SpacelandLogistics Ltd
175
Sachsen Spedition Ltd
176
Swiftways International Ltd
177
Stepio Freight Ltd
178
Switch Trade Ltd
179
Sun Fresh Co .Ltd
180
StarVision International Ltd
181
Tanga Cargo & Trust Ltd
182
Trade Waves Investment Co. Ltd
183
Transit Ltd
184
Trident Clearing Ltd
185
Team Freight
186
Trans Net Freighters
187
Three way Shipping Service Ltd
188
Trans Pack Tanzania Ltd
189
Trans African Forwarders Ltd
190
TransBarriers Freight Ltd
191
Transit Ltd
192
Tripple D
193
Twende Freight Forwarders Ltd
194
Ujiji C & F Ltd
195
United Youth Shipping Co. Ltd
196
United family Co. Ltd
197
Uwanji General Tradersb Ltd
198
Uprising C & F Ltd
199
Upland Freight Ltd
200
Vigu Trading Ltd
201
Vamwe Investment Co. Ltd
202
Viccom resources co ltd
203
Way Logistics Ltd
204
West Freight Forwarders
205
Wings Wheels Co. Ltd
206
Walmax Freight Forwarders Co. Ltd
207
Xpress Maritime Agency Co. Ltd
208
Zappex International Ltd
209
Zaihuse C & F Ltd
210
Zzoikos (T) Ltd

F.J. Liundi
For : Port Manager
Dar es Salaam Port.
 
Kusimamisha sawa, na wahusika wa hayo makampuni wapate ban ya kujihusisha na shughuli za C&F hapa nchini kabisa. Maana unaweza ukawasimamisha na ama kuwanyang'anya leseni wakaenda nyuma kidogo wakafungua makampuni mengine inakuwa ni kazi bure tuu.
 
Wanafungiwa asubuhi, Jioni wanafungua kampuni nyingine wanaendelea kupiga dili kama kawa.
 
Siku zote za mwizi arobaini!

hawa ndo walikuwa wanaweka ukiritimba bandarini.....

kuwafukuza tu haitoshi, hizo kampuni ziwajibishwe kisheria.
 
Kwanza wengi wao hawajasoma.... Nafkiri huu ni muda wao mwafaka wa kurudi shule na kuacha utapeli waliofanya kwa miaka 10
 
mohamed dewji (MO) Ndani ndiye anayetaka kununua SIMBA SPORT CLUB;

KUMBE MWIZI NO 1

123.Mechanised Cargo Systems
124.METL
125.Metrologic C &f F Ltd

Hata mmliki wa Azam FC naye yumo, Mwenyekiti wa Yanga ndio sijamuona na ile kampuni ya QG.

Vv
 
Back
Top Bottom