Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

Mwaka huu wa kutoana macho lakini haiingii akilini kwamba maofisa wa TPA nao hawahusiki kwa namna moja au nyingine.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa hili suala limekuzwa mno bila sababu. Hili suala ni matokeo ya CAG Audit ya mwaka juzi ambapo aliona baadhi ya mizigo hakulipiwa Port Charges. Kuna mambo kadhaa yametokeza kwenye suala hili na wamelaumiwa mawakala wa forodha hao 210:-
  1. Kuna documents zililipiwa vizuri na mawakala, lakini kutokana na mtandao wa TPA kutokuwa imara malipo yakawa hayaonekani kwenye mtandao. Mawakala wameenda wamefanya reconciliation na malipo hayo yameonekana.
  2. Kuna mawakala wamelipa kwa cheki, cheki zikawa hazionekani kwenye myandao wa malipo ya TPA. Mawakala hao wameenda wamefanya reconiliation na masuala yao yameisha.
  3. Kuna mawakala wamelipa kwa cheki, cheki hizo zimeonekana kwenye statement ya TPA lakini malipo hayo yametumika kutoa mizigo mingime tofuati na ya mwenye cheki. Lakini mzigo wa mwenye cheki pia umetoka. Tujiulize hapa alaumiwe nani?
  4. Kuna mawakala ambao walikuwa wanawapa wafanyakazi wao fedha za kulipia, wakifika wanatia dili na wafanyakazi wa TPA. Mzigo unatoka na fedha zinaliwa. Wakala anabaki na risiti feki au bila risiti kabisa. TPA wamepeleka wafanyakazi wao polisi na wanadai kulipwa na mawakala. Hapa hata mwenye kampuni anakuwa hajui kilichoendelea wakati huo.
Hili suala limetangazwa sana mpaka watumiaji wa bandri ya Dar walioko nje wanajiuliza, bila mawakala watatoaje mizigo? Ni suala ambalo tunatakiwa kuliangalia kwa mapana kuhusu athari zake kiuchumi. TPA imezuia mizigo yote iliyokuwa iko kwenye hatua mbalimbali za kutolewa na mawakala hawahawa, inamuumiza nani? Inapozuia mzigo wa mteja asiyehusika na tatizo hili sasa, inamuumiza nani? Mizigo ni ya waagizaji sio ya mawakala. Mizigo ya Transit, viwandani n.k. Nini mwisho wake.
TPA walimwambia waziri siku ya kwanza kuwa mawakala wamesababisa upotevu wa 47b/=. Je, waliposema walikuwa wamepiga hesabu zao wapi. Nawaambieni mpaka leo TPA hawajui na wala hawawezi kujua kiasi wanachodai mpaka mawakala wapeleke taarifa zao.
Wote ni sehemu ya uozo uliokuwepo.
 
Dk Magu, Rais Wangu Mtukufu ,naomba kazi ya kusimamia na Kuhakikisha hayo makampuni 210, wamiliki wake, wafanyakazi, jamaa na ndugu zao HAWAFANYI KAZI tena/ HAWAFUNGUI makampuni ya namna hiyo Tanzania kwa miaka 10.
 
Kwa hiyo kazi utakayo pewa ni Katibu Mkuu,Waziri ,Takukuru ,Polisi ,Kamishna wa mapato,Brela nk sasa mbona hapo kazi unayo iomba ni ya Magufuli mwenyewe ?? Yaani wewe unataka kuwa raisi kirahisi hivyo ??
 
Kwa hiyo kazi utakayo pewa ni Katibu Mkuu,Waziri ,Takukuru ,Polisi ,Kamishna wa mapato,Brela nk sasa mbona hapo kazi unayo iomba ni ya Magufuli mwenyewe ?? Yaani wewe unataka kuwa raisi kirahisi hivyo ??

Hizo ni Taasisi nitakazofanya nazo kazi kwa ukaribu kabisa, Taasisi ya Urais na wananchi nitawapa taarifa na wataona matokeo ya kazi baada ya muda mfupi.

Nimeamua kujitolea kuomba kazi hii kwa kuwa inaonekani ni ngumu sana, hasa kutokana na maoni ya wafanyabiashara wakwepa Kodi, waajiriwa wa serikali wasio kuwa na vigezo na wananchi waonga wanaamini kuwa haiwezekani kulishughulikia, kulisimamia na kulitokomeza swala hili na wanadiliki kusema wazi wazi kuwa kuyashughulikia hayo makampuni 210 na makampuni ya aina yake, wafanyakazi wa serikali wasio waadilifu na wasio na vigezo kutarudisha maendeleo na uchumi nyuma.

Naomba hiyo kazi ili kuwahakikishia waTanzania kuwa DK Magu na Wazili mkuu wako sahihi kabisa na hakuna uchumi utakao dolola kwa kuyafungia hayo makampuni machache, Ndugu na Jamaa zao kufungua makampuni ya namna hiyo tena.

Mungu alikwisha Ibariki Tanzania.

Asante
 
vipi mzeee hajalalamika bado kwamba hawa ni marafiki zake waliomsaidia wakati wa kampeni kwa hiyo ni kisasi...?
 
Makampuni yafuatayo ya kupitisha mizigo bandarini (Clearing and Forwarding Agents) yamezuiwa kufanya kazi katika bandari zote zinazomilikiwa na TPA pamoja na washirika wake (ICS’s, CF’s na TICTS) tangu 9 Februari 2016. Uamuzi huo umechukuliwa kwa sababu ya kushindwa kuwasilisha vielelezo vya malipo, kama walivyotakiwa na mamlaka ya bandari. Pia wameshindwa kufika bandarini kupokea nyaraka kadhaa kuhusiana na madeni wanayodaiwa na TPA.

Orodha ya Mawakala wa kupitisha Mizigo bandarini (CLEARING & FORWARDING), Waliosimamishwa kutoa huduma katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Kuanzia Februari 9, 2016 ni;

1. 21st Century Freight Forwarders
2. Aristepro Investment Co. Ltd
3. Ace Exim
4. Ally Vay C & F Agency
5. A & D Holdings Ltd
6 A & G Holdings Ltd
7.ACW Investment Ltd
8.Afro Centre (T) Ltd
9.Allmol trading
10.Amico Trading Ltd
11.Avow Holding (T) Ltd
12.Afritel Systems Ltd
13.Afrovision International Co. Ltd
14.Arusha Cargo Clearing & Forwarding Ltd
15.Arusha Freight Transport Agency
16.Bakhresa Food Products Ltd
17.Boston Forwarders Ltd
18.Babylon Freight Ltd
19.Beam Tanzania Ltd
20.Best Ocean Air Ltd
21.Break Through Holdings Ltd
22.Business Service Promotion Ltd
23.B & J Co. Ltd
24.BNM Co. Ltd
25.Boneste General Enterprises Ltd
26.Blue Light Investment Ltd
27.BN Metro ( E.A) Ltd
28.Cad Mulungu Co. Ltd
29.Capital Cargo Removers Ltd
30.Cargo Stars Ltd
31.Car Freight Station ICDV
32.Clear Services Tanzania Ltd
33.Clampek (T) Ltd
34.Classic Choices Investment Ltd
35.Continetal Reliable Clearing Ltd
36.Conanza Express Ltd
37.Cos Africa Logistics Ltd
38.Cosmos Haulage Co. Ltd
39.Chissel C & F Ltd

40.Cusna Investment Ltd
41.Daffor Enterprises Ltd
42.Dynamic Freight Forwarders Ltd
43.Datar & Co. Ltd
44.Dar Es Salaam Global Access Ltd
45.Dar Coast Enterprises Ltd
46.Denilo Freight Ltd
47.Destination Tanzania Cargo Logistics
48.Divine Cargo Services Ltd
49.Dow Elef Ltd
50.Dolusi (T) Ltd
51.Dolphin Sea And Air Ltd
52.E-3 Freight Co. Ltd
53.Eagle Tallons (T) Ltd
54.Econ Consult & Trading Co. Ltd
55.Eltex Investment Ltd
56.Edams Holdings Ltd
57.Efficient Freighters (T) Ltd
58.Equity Agencies
59.Expro Freight Services Ltd
60.Evergreen General Logistics (T) Ltd
61.Enterprises Logistics Ltd
62.East African Fossils Fossils Ltd
63.Fedrol Cargo Ltd
64.Full Cargo Support Ltd
65.Freight 24/7 Ltd
66.Favre Freight Forwarders Ltd
67.Freight Forwarders (T) Ltd
68.Freedom Freight Forwarders Ltd
69.Fifa & Flow Co. Ltd
70.F.K. Farms & Co. Ltd
71.First Choice Clearing & Forwarding Ltd
72.Freight Works Ltd
73.Frafza Freight Forwarders Ltd
74.General Envirocare (T) Ltd
75.General Shami Investment Co. Ltd
76.Glory Freight Ltd
77.Grand Movers Co. Ltd
78.Gwiholoto Impex Ltd
79.GS InterTrade Co. Ltd
80.Hamymack Trading Co. Ltd
81.Hadolin (T) Ltd
82.Hasa Customs Agency (T) Ltd
83.Horizon Freight Forwarders Ltd
84.Hodari Freight Ltd
85.Hardmark Logistics Ltd
86.HK Freight Forwarders Ltd
87.Hotreef Trading Ltd
88.Home Base Tanzania Ltd
89.Ilemela Investment Ltd
90.Impact Trading And Investment Co. Ltd
91.Jambo Freight Ltd
92.Jas Express Ltd
93.Jamaap Co. Ltd
94.Joe Ocean C & F Ltd
95.Juhudi Clearing And Forwarding
96.Juni Trust Freight Tz Ltd
97.Kas Freight Ltd
98.Kahe International Ltd
99.Kassam freight Ltd
100.Kiwaepa International Co. Ltd
101.Khan's C & F Ltd
102.Kams Trading Ltd
103.Kings Freight (T) Ltd
104.K & K Cargo Logistics
105.K&K Company Ltd
106.Kadengere Traders Ltd
107.Korufreight (T) Ltd
108.Lawia (T) Ltd
109.Laz ltd
110.Lesidi General Cargo Ltd
111.Liberal International Ltd
112.LCR Limited
113.LDV Macro Investment Ltd
114.Logistics Efficiency Co. Ltd
115.Lesheti Trading Ltd
116.Lichinga (T) Ltd
117.Mambona freight Ltd
118.Mamba Enterprises Ltd
119.Maxima C & F Ltd
120.Mwaya C & F
121.Marine Air Freight Ltd
122.Maritime Shipping Consultants
123.Mechanised Cargo Systems
124.METL
125.Metrologic C &f F Ltd
126.Minex Logistics Ltd
127.Mpepa Traders Co. Ltd
128.Mogo Forwarders Ltd
129.Mokha Agency Co. Ltd
130.Mwagy Investment Ltd
131.Naito General Supplies Ltd
132.Nal Business Co. Ltd
133.Nemarts Limited
134.Neighbour Trading Co . Ltd
135.Ngaramau Contractors Ltd
136.Nutricare (T) Ltd
137.Nkira Trading Ltd
138.NM Freight Ltd
139.Overseas Hi-Tech Industrial Ltd
140.Orbit Freight Ltd
141.Pasiwa Cargo Ltd
142.P & D Freight Forwarders Ltd
143.Platinum Trading Co. Ltd
144.Palm Swift Tz Ltd
145.Quality Logistics Ltd
146.Runner Co. Ltd
147.Rungwe Trading Ltd
148.Reindeer Investment Ltd
149.Regent (T) Ltd
150.Rukwi Holdings Ltd
151.Royal Freight Ltd
152.Ruma International Ltd
153.R.H.G General Traders Ltd
154.Sky Land Across Freight
155.Sai C & F Ltd
156.Shift Cargo Ltd
157.Sachsen Spedition Ltd
158.Sahara Desert Freighters
159.Sahuse Services & Supplies Ltd
160.Selwek & Solar Forwarders Ltd
161.Sami Agency Ltd
162.Sahe C & F Ltd
163.Sangare Express Ltd
164.Sea Bridge Co. Ltd
165.Sea Air Forwarders Ltd
166.Sea Africa Cargo Freight Ltd
167.Scol (T) Ltd
168.Shakura Trading Services
169.Space Land Logistics
170.Senkondos Import & Export Ltd
171.Smith Freight Forwarders Ltd
172.Sino Logistics Ltd
173.Scanland Shipping Consultants Ltd
174.SpacelandLogistics Ltd
175.Sachsen Spedition Ltd
176.Swiftways International Ltd
177.Stepio Freight Ltd
178.Switch Trade Ltd
179.Sun Fresh Co .Ltd
180.StarVision International Ltd
181.Tanga Cargo & Trust Ltd
182.Trade Waves Investment Co. Ltd
183.Transit Ltd
184.Trident Clearing Ltd
185.Team Freight
186.Trans Net Freighters
187.Three way Shipping Service Ltd
188.Trans Pack Tanzania Ltd
189.Trans African Forwarders Ltd
190.TransBarriers Freight Ltd
191.Transit Ltd
192.Tripple D
193.Twende Freight Forwarders Ltd
194.Ujiji C & F Ltd
195.United Youth Shipping Co. Ltd
196.United family Co. Ltd
197.Uwanji General Tradersb Ltd
198.Uprising C & F Ltd
199.Upland Freight Ltd
200.Vigu Trading Ltd
201.Vamwe Investment Co. Ltd
202.Viccom resources co ltd
203.Way Logistics Ltd
204.West Freight Forwarders
205.Wings Wheels Co. Ltd
206.Walmax Freight Forwarders Co. Ltd
207.Xpress Maritime Agency Co. Ltd
208.Zappex International Ltd
209.Zaihuse C & F Ltd
210.Zzoikos (T) Ltd

F.J. Liundi
For : Port Manager
Dar es Port.

Wanaomhenye JF Boss nao kumbe wamo??
Lisemwalo laja ??
 
Back
Top Bottom