Kampuni zote hizi zilikuwa bandari moja tu na bado kuna nyingine zimebaki, lazima ubabaishaji uwepo loh. sasa waangalie idadi ya kampuni za kufanya kazi hapo si kila mtu anakuja kwa kuwa ana ndugu yake anaenda china au ana mjomba anaishi ulaya ataleta kontena za mitumba basi nae anafungua kampuni.