Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,139
- 25,415
Akitoka hapo anajikung'uta anapanda v8
Mi huwa wananiacha hoi kujifanya wanajua kila kituMkuu wa mkoa chalamila aliwahi kulalamika mkoa wa Kagera na MAJUNGU huu ndiyo mkoa unaongoza Kwa unafiki kutokana na WENYEJI WA MKOA HUU WA KAGERA..... Omba MUNGU jirani yako asiwe MHAYA hawa jamaa ni za HAMAS
Naunga mkono hoja 👍👏Ni mnafiki tu hana lolote
Ni yeyeHuyu Biteko au mbunge wa Bukoba mjini Byabato
Naibu Waziri amwaga machozi hadharani akiwapigia magoti wapiga kura Bukoba
View: https://x.com/Jambotv_/status/1714142264891465822?t=NUMpuqoiepAIzIWH-Bxdrw&s=09
Wamemkosea sana Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiNi naibu Waziri Byabato sio Biteko!..
Mode do the needful!.
P
Njombe hii iliyojaa ushirikina na kulawiti watoto wadogo kama njia ya kupata mali?Hao 'nshomile' siku hizi choka tu, hata sie wa Njombe na Simiyu tumewazidi mbali....
Ndio mara ya kwanza naona mbunge wa ccm anafanya mkutano bila jukwaa kupambwa na rangi za chama chao. Pia wananchi leo hawajavaa zile sare zao, au wamezifua?Anazunguka tu, aseme Wazi tu kwamba ni CCM wenzake.
Mimi kama ingekuwa ni kuruhusu kuua...Bukoba baadhi ya watu wangeuliwa tu...There is something fishy going on there,sio bure huu mkoa kazi ipo.
Huo ndo ukweli mbio za ubunge zimeshaanzaAnazunguka tu, aseme Wazi tu kwamba ni CCM wenzake.
Yap watu wameshabomoa tuombe wanafiki wasiingilie kati hatuchelewi kusikia wapo mahakamani mradi usitishweNaona bajeti ya mwaka huu....Barabara ya njia nne bukoba kutoka Rwamishenye hadi bandarini...vip walishaanza ujenzi?
Vip watu wamekubali kuvunja nyumba zao?
Kulinganisha na wabunge waliopita bora huyu...at least anaonekana hata hapo Bukoba...
Barabara ya njia nne ikijengwa aiss itaubadilisha completely mji wa Bukoba
Hacha hizo, hao HAMAS hatuwezi kuwafikia.Mkuu wa mkoa chalamila aliwahi kulalamika mkoa wa Kagera na MAJUNGU huu ndiyo mkoa unaongoza Kwa unafiki kutokana na WENYEJI WA MKOA HUU WA KAGERA. Omba MUNGU jirani yako asiwe MHAYA hawa jamaa ni za HAMAS
Mahakamani wataendaje? Wakati nj hifadhi ya barabara?Yap watu wameshabomoa tuombe wanafiki wasiingilie kati hatuchelewi kusikia wapo mahakamani mradi usitishwe