Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

mwenyewe natamani watajwe, kwani wanaifilisi nchi yetu na kuipa sifa mbaya!
 
Mimi ninaona ni afadhali yatajwe hadharani ili hiyo kamba imtoke shingoni. Na kama anaogopa awafukuzie kwa madog. Madog watawakamata na huku upepelezi ukiendelea kama kawaida yao ndio utapata taarifa za kweli na ushahidi unaoutafuta. Hawa mapolice wako wanakudanganya kuwa hawana ushahidi lakini inawezekana na wao wameshaingiza huko mikono. Na wao wanavitengo vyao vya kuchukulia mshahara mwisho wa mwezi.
 
mmh, sasa Mjomba wangu hayo majina unayafanyia nini? si useme tu...

Mjomba, I know you are a good soldier and worked with a very respected army (TPDF) :majani7: I believe "Utailinda na Kuitetea nchi yako ya Tanzania, kwa moyo wako wote na hata tone lako la mwisho litadondoka ukiitetea nchi yako...TANZANIA" Si useme tuuu!!!

Kama kiongozi wetu ukaaye kwenye OVAL office, mwenye kiti cha enzi kihamishwacho kwa ajili ya UTUKUFU wa Taifa hili, tutakulinda na kukutii mpaka tone la mwisho la damu yetu sisi watanzania; Si useme tuuu!

Jamani ni akina nani haooooo!!! eti, na mimi nimo kwani? Si useme jamaniiii....sema basi!

Zamani tuliimba: "Nyerere sema seeema usiogope seeema, sisi... hatuogopiii vibaraka seeema"

Nyimbo hizi zi wapi tena jamani?

Basi mie naimba: "Mjomba sema, seeema usiogope sema...sisi wazalendo hatuogopii wauza unga sema"

Mjomba pole sana. Usidanganyike kaa la moto hilo, nenda nalo polepole...

ALL DA BEST MJOMBA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JK si alishasema orodha ya wauza unga anayo na anawapa muda wajirekebishe! Huyu rahis vipi huyu, anataka orodha ya nini tena wakati aliyonayo, anawabembeleza badala ya kuamuru vyombo vya usalama viwashughulikie!
 
hata akipelekewa hayo majina sidhani kama kuna kitu atafanya,
aliwahi kusema anawajua wala rushwa,anawapa muda,
alishasema anawajua wauza madawa ya kulevya,akawapa muda,
aliwasamehe wezi wa EPA waliorudisha pesa,hata kuwataja akaogopa,
aliazisha kwa kasi msako wa majambazi sugu alipoingia madarakani,lakini zoezi liliisha kimyakimya,ujambazi unaendelea
juzi hapa amesema maaskofu wanajihusisha na uuzaji wa madawa,kwahiyo anawajua pia,hajafanya lolote
 
Katiba mpya ndio jibu.rais atashitukia tu watu fulani wamekatwa na hana uwezo wa kuwatoa.watanzania lieni ,togangame e na katiba mpya.acheni hizo bla bla zao.tushikilie katiba mpya .na kila mtu hataiogopa ikiwa pamoja na rais mwenyewe.mungu ibariki tanzania
 
Majina ambayo yanatajwa ni pamoja na:

  • Dewji (Mo'hd Enterprise) mbunge huyu,
  • Yusuf Manji,
  • Mrema (mmliki wa Ngurdoto lodge na Impalla Hotel Arusha),
  • kuna madiwani kama watano wa Dar, mmoja wao akiwa ni Meya wa Ilala na msaidizi wake (majina yamenitoka),
  • mume wake Amina Chifupa (Mpakanjia)... Na hili balaa alilianzisha huyo huyo Amina Chifupa,sasa sijui hakujua kuwa mume wake yumo au vipi, maana yeye ndiye aliyehoji bungeni kuwa hawa watu wanafaamika sasa kwa nini wasikamatwe?
Raisi akalivalia njuga.Wengi wao wamekimbia nchi,na inasemekana hawa walikuwa wanashirikiana sana na polisi,kitengo cha madawa ya kulevya.

Hao Manji na Dewji, inasemekana kuna mzigo wao uliibiwa Tanga juzijuzi hapa na wajanja,na ukauzwa. Kinachosemekana ni kuwa hawa watu wanafanya hii biashara kiujanja sana kiasi cha kwamba kuwashika sio rahisi kabisa kwa kuwa they can justify their means thru the legal businesses, lakini wengi walitajwa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya wadogo,ambao wengi wao hutumwa na hawa jamaa..

Heheheheh!! Na bado wamekomba Kagoda tunajichekea tu sie wadanganyika!
 
yaani huyu rais bora angekaa kimya tuu badala ya kutugeresha kila siku kama malimbukeni.. Anaonyesha jinsi hajiamini kabisa. Kila siku ninayo majina ya wala rushwa.. Ooh nina majina ya wakwepa kodi.... Ooh nina majina ya wauza madawa... Hawezi hata kidogo kuchukua hatua yeyote ya maana zaidi ya kuwafunga watu wadogodogo kama akina maranda. Tumechoka sasa na longolongo.. Bora akae kimya tujue moja nadhani madaraka aliyo nayo hajui hata nguvu yake.
 
Ina maana bwana mdogo jerry william slaa naye yumo? Hapo umesema na meya wa ilala pia lol kazi ipo



majina ambayo yanatajwa ni pamoja na:

  • dewji (mo'hd enterprise) mbunge huyu,
  • yusuf manji,
  • mrema (mmliki wa ngurdoto lodge na impalla hotel arusha),
  • kuna madiwani kama watano wa dar, mmoja wao akiwa ni meya wa ilala na msaidizi wake (majina yamenitoka),
  • mume wake amina chifupa (mpakanjia)... Na hili balaa alilianzisha huyo huyo amina chifupa,sasa sijui hakujua kuwa mume wake yumo au vipi, maana yeye ndiye aliyehoji bungeni kuwa hawa watu wanafaamika sasa kwa nini wasikamatwe?
raisi akalivalia njuga.wengi wao wamekimbia nchi,na inasemekana hawa walikuwa wanashirikiana sana na polisi,kitengo cha madawa ya kulevya.

Hao manji na dewji, inasemekana kuna mzigo wao uliibiwa tanga juzijuzi hapa na wajanja,na ukauzwa. Kinachosemekana ni kuwa hawa watu wanafanya hii biashara kiujanja sana kiasi cha kwamba kuwashika sio rahisi kabisa kwa kuwa they can justify their means thru the legal businesses, lakini wengi walitajwa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya wadogo,ambao wengi wao hutumwa na hawa jamaa..
 
Ni ujinga kwa mtu mwenye mzima mwenye nguvu na mamulaka kikatiba kuongea vitu ambavyo hana ushaid navyo"DONT DARE TO TALK IF AT ALL U HAVE GOT NO EVIDENCE",Nadhan hata mfa maji huwa anatapatapa,Kaheri nch ni CHDM 2015.
 
Hivi tunaposimama jukwaani na kusema tunapambana na rushwa, madawa ya kulevya na ufisadi nchini; ndio hivi jamani. Mbona makosa mengine madogo madogo yanashikiwa bango tena kwa kutumia gharama kubwa ambazo ni kodi za walalahoi? Kulikoni kwenye madawa ya kulenvya na mafisadi???????? Polisi mko wapi kwa hili????????? Kwa nini hawa mafisadi na wauza madawa ya kulevya wasishughulikiwe mara moja????????????? Kiukweli siwezi kudanganyika kwa hili. Ni vema viongozi wetu wawe wazi na kutenda haki wa wote!!!!!!!! Inaniuma sana kuona mafisadi na wauza madawa ya kulevya walivyo na nguvu. Hivi kweli mpango wa maendeleo utawezekana bila kusafisha uchafu huu?????????????????????
 
Back
Top Bottom