Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
si bora ingekuwa hvyo slave. Mmh!vp umestuka?maana wewe kila ukijitahidi kuwahi kazini unamkuta yeye kishafika.kumbe siri yamafanikio Ni G-TIDE.
si bora ingekuwa hvyo slave. Mmh!vp umestuka?maana wewe kila ukijitahidi kuwahi kazini unamkuta yeye kishafika.kumbe siri yamafanikio Ni G-TIDE.
husninyo mbona unanitisha. Embu nambie kama vp nami kesho niingie shop nikamenye kitu g.tide au niipotezee.si bora ingekuwa hvyo slave. Mmh!
waindi bana wapo poa bidhaa zao nazo zinaitwa orgnl.sijui wanatumia leseni ya nokia?maana hawajifichi pia hata hizo os zinafanana.Wahindi wametengeneza simu zinzitwa spice zipo saba saba.Moja ina projector.ina onekana vizuri kwenye giza pia ina tv,sh 150,000Nyingine ina android sh 250,000
Alafu watengenezaji sijui wote walikuwa madj maana ringtones ni full kelele
hapana kuna samsung origino ya double lineukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
omari? hahaaaWachina mbona kazi.Basi ni Yutong, simu nayo inaitwa Yutong, pikipiki inaitwa Omari. Wametuweza kweli yaani kila kitu wao, umachinga, uuza mitumba, makahaba, wabeba zege, wauza barafu, kama ni uwekezaji basi tumekwisha. Kama alivyosema mdau mmoja kwamba rasili mali na mali ya asili yoote ikiisha wanatimua wanaachia jangwa tupu
daah hiyo sasa kali.omari? hahaaa