Majina ya simu za Kichina

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,421
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.

Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.

Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).

Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba
 
Wametoa kitu nokia N8 kama wewe sio mjanja hauwezi kugundua kuwa ni ya mjomba mchina angalia juu kuna sehemu ya kuingizia pini ya mini hdmi ukiona wamebandika kilebo tu ujue hiyo sio yenyewe maana hawa jama wamejaribu kuigeza os ya n8 kabisa ukiingia kichwa kichwa umepigwa na bei zake ni laki na nusu na laki mbili wakati original inaanzia laki sita hadi 1milion
 
Haya masimu ya kichechniya na majina yake duh!! Kuna hili jina MBO.
 
ukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
 
Wametoa pia jamii ya iphone inafanana kila kitu ila tofauti ni jina imeandikwa PHONE badala ya iPHONE. wezisana hawa sijui kwanini makampuni hayawashitaki hawa au sheria za hati miliki za majina na makampuni zokoje
 
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.

Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.

Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).

Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba

Huko nyuma nimekuwa nikisoma threads nyingi zenye kuisifu China na maendeleo yake na kuwakandia US, sasa mbona mnaogopa bidhaa zao jamani?
 
kuwashitaki ni ngumu mana anabadilisha herufi alafu ngumu kumkamata anafetua china wabongo unakwenda kununua china mnakutana juu kwa juu kamwe atokuonyesha kiwandani kwake utakutana nae kwa agent wake tu.
 
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.

Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.

Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).

Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba

mkuu vijijini umekwenda mbali sana hapahapa mjini wamelizwa sana tena wengine wajanja kabisa na wanapigwa bei sawa na sapna au mlimani city acha hii k2 mkuu vijijini mbali sana
 
Huko nyuma nimekuwa nikisoma threads nyingi zenye kuisifu China na maendeleo yake na kuwakandia US, sasa mbona mnaogopa bidhaa zao jamani?
akuna atakaeepuka bidhaa ya mchina wote ni waathirika nazo
 
Wametoa pia jamii ya iphone inafanana kila kitu ila tofauti ni jina imeandikwa PHONE badala ya iPHONE. wezisana hawa sijui kwanini makampuni hayawashitaki hawa au sheria za hati miliki za majina na makampuni zokoje
Wachina wamekwenda shule ndio maana wanabadili jina kidooogo! lakini linakuwa ni jina tofauti kabisa, hivyo hawezi kushtakiwa.
 
Wamesaidia sana na wako juu kwetu sisi wenye kipato duni. Nani asiyejua kuwa wamemonopolize soko la simu kwa muda mfupi sana! Kila nilipokuwa napoteza nokia mf. Nilipoteza Nokia 9500 na leo nimenunua GILD yenye line 4 kwa 30 elfu tu na memory card one GB.

Anaye sema zina mionzi hajui kuwa wabongo wanauawa na marelia, njaa, umasikini, nk.

Hongera wachina. Miaka 5 ijayo hakuna tena yamaha pikipiki!
 
Halafu wachina wanatengeneza bidhaa kulingana na uwezo wa mteja. Ndio maana wanafanya biashara dunia nzima. Pengine waTz wengi hawana uwezo wa kununua simu na bidhaa nyingine za mswiss, mjerumani, mwingereza, n.k, ila za mchina special kwa nchi fukara km tz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom