Majina ya sensa yatoka walimu nafasi chache sana.

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
394
88
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au wameamua tu mimi binafsi na wenzangu wa5 hakuna aliyeona jina lake na walisema hizi ni nafasi za walimu zikibaki ndo wengine watachukuliwa sasa mbona imekua tofauti?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mcjali mshara wenu uko palepale hata kama ni kidogo...tuachieni kidogo wadogo zenu na vijana walio maliza vyoo vikuu angalua wapate hela ya sabuni....
 
Hivi hamjui kwanini walitangaza watu wengine tofauti na Walimu?

¤Waliona kuwa ikiwa Walimu watagoma, mpaka siku ya Sensa Vijana wachukue nafasi zao kuliko zoezi la sensa kuharibika...
 
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au wameamua tu mimi binafsi na wenzangu wa5 hakuna aliyeona jina lake na walisema hizi ni nafasi za walimu zikibaki ndo wengine watachukuliwa sasa mbona imekua tofauti?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu tangu mlipofumbuliwa macho na kuanza kutambua udhalimu wa serikali msidhani urafiki wenu na serikali unaendelea, mkitaka hiyo sensa bas sameheni madai yenu yote na muahidi hamtogoma hata msipolipwa mishahara miaka 2
 
Nahisi wamewachukua wachache ili wasije wakavuruga zoezi zima la Sensa.
 
Hapana shida, kwani miaka yote huwa kuna sensa!??
Kitaeleweka tu,vinginevyo darasani
itakuwa hivi:
a) 1 + 3 = 13
b) 73 - 3 = 7
c) 3 x 3 = 333
d) 7 x 2 = 77
Na kwenye physics usiseme,kila
formula itakuwa reciprocal.
That will be our plan B for us
science teachers.
SIPATI PICHA KWA NDUGU ZANGU
WA HISTORY,'BINADAMU WA
KWANZA ALIKUWA MBWA'...TWENDE
KAZ...!
 
hata kama umeamka vibaya inabidi ucheki tu, asante mkuu umenichangamsha kwa post yako!!!!!!!!!!
 
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au wameamua tu mimi binafsi na wenzangu wa5 hakuna aliyeona jina lake na walisema hizi ni nafasi za walimu zikibaki ndo wengine watachukuliwa sasa mbona imekua tofauti?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Ngoja nimuulize shemeji yako wa chalinze kama kapata,maana aliniaid atanitumia fungu.
 
Wana wasiwasi wakati wa sensa mnaweza kugoma.

sio kugoma tu mkuu, wana wasiwasi hawa ndugu zetu wanaweza wakapotosha takwimu, kwa mfano wanaweza wakaongeza idadi ya watanzania kuonesha kuwa nchi inawalipa kodi wengi!
 
Hata wasipotupa hiyo deal cc hatuachi kugoma kujipendekeza kulishapitwa na wakati we shall fight for our rights no matter what. Tena ndo wanazidi kututia hasira.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Waalimu wengi hatuna habari na hiyo kitu,Mapinduzi daima,mpaka kieleweke
Mnacheza nyie kieleweke wapi wakati mkuu wa nchi kashasema pesa hatoi? kuna kada za kugoma zinazoweza kutikisa kama madaktari, wanajeshi n.k sio walimu, mshajiachia siku nyingi mpaka mkatoa kauli mbinu kuwa ualimu ni kazi ya wito!!!!! acheni kutafuta matatizo!!!!!
 
Hapana shida, kwani miaka yote huwa kuna sensa!??
Kitaeleweka tu,vinginevyo darasani
itakuwa hivi:
a) 1 + 3 = 13
b) 73 - 3 = 7
c) 3 x 3 = 333
d) 7 x 2 = 77
Na kwenye physics usiseme,kila
formula itakuwa reciprocal.
That will be our plan B for us
science teachers.
SIPATI PICHA KWA NDUGU ZANGU
WA HISTORY,'BINADAMU WA
KWANZA ALIKUWA MBWA'...TWENDE
KAZ...!

hahaha umenichekesha hujui tu.
 
Back
Top Bottom