Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK

Status
Not open for further replies.
baba kikwete ondoa wtu hawa tusijekuwaondoa uswhilini kwa mawe kama wezi wengine tena hawa ni wabaya zaidi wanaibia watanzania miloni alobaini lakini wale wa uswahilini anaibia mtu mmoja na akipatikana anapata kipigo na kuchomwa moto sasa ukifumbia macho watu hawa tutachukua atua
 
Airborne president hawezi kufanya lolote na hao wateule wake, hana ujasiri huo!
Pamoja na kwamba bunge limeweka wazi uovu wa ama mawaziri wenyewe au watendaji walio chini yao, bado sioni uthubutu wa JK kuchukua hatua kwao. Mponda yuko katika red list tangu enzi za mgomo wa madaktari, lakini alimtetea, unadhani atamwajibisha sasa? Mkulo naye yuko katika red list tangu achapishe noti hizi mbovu (isomeke mbofu) lakini hajaadhibiwa. Noti zina mwaka mmoja tu lakini zimechakaa ile mbaya. Nundu kaleta sheria mbovu ya manunuzi ya mitumba na mikweche (isomeke vitu vilivyotumika) na mabongolala wenzake wakapitisha sheria hiyo, lakini Nundu bado yuko madarakani tu. Si rahisi JK kuchukua hatua kwa watendaji wake hawa
 
Mimi sidhani kama kuna la maana litakalofanyika,mmesahau issue ya Jairo and co?Watasubiri watu wasahau then watasonga mbele.
 
Mbona hawa ni wale ambao kikao hiki cha bunge kimewachachamalia lakini kama akina ngeleja na wengine mbona hawamo kwenye orodha
 
Kama atawafukuza hao mawaziri sita, ina maana tayari rais anamaanisha serikali yake sio makini hivo basi avunje bunge zima na ajiuzuru tufanye uchaguzi upya, na asigombee kabisa aende kuishi ughaibuni!


labda kwa pesa zake mi nilifikiri halafu afilisiwe?!!!
maana kachota vya kutosha. tukimsamehe sana jamaa zeke wote warudishe pesa zetu pamoja na mwane anayeendelea kuzimua kila siku.
 
Mimi sidhani kama kuna la maana litakalofanyika,mmesahau issue ya Jairo and co?Watasubiri watu wasahau then watasonga mbele.

nasema hivi wabunge wakishindwa kuwawajibisha hawa wezi basi sisi wananchi TUTAWAWAJIBISHA wao wabunge tumechoshwa kufanywa watoto kutishiwa pipi kila siku.
 
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.


Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.


Tusitarajie chochote hapo!! Akirudi atakuwa na kazi ya kuwatuliza wabunge wa chama chake na akisha watishia wengi watanyamaza na yataishia hapo. ... Kazi kama kawaida.
 
Siyo kuwafukuza tuu, wafukuzwe na kuburuzwa THE HEGY, kwa kuwafanyia jinai watanzania maskin, Ngeleja, Mkullo, Nahodha waongezewe na adhabu ya viboko kumi na viwili
 
Laah! These ar excellency inf. But 4 jk it's nothng & he cant dismiss his fellows but tnzanian we have a handle & they caught the sharpnes let us pull the handle. Peoples....
 
Uh sijui kama wapo watakaosalia kama tukiwa serious. Labda kwa mbali Magufuli na kwa huruma ya kukaangwa Mwakyembe na Mwandosya hawa ni huruma ya ugonjwa lakini Mwandosya kwa kujenga uwanja Mby naye ni wa kuangalia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom