Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

nyeelaaa nyelaaaaa....huyu Mwachaula ni mnyalukolo kabisa kabisa wa nyumbani,daahhhhhh....Oswald amekufa?homeboy kabisa huyu,toka kombolela mpaka kugema pamoja ulanzi...UPUMZIKE KWA AMANI CHAULA
 
CECAFA hii ndio amani iliyopo darfur?TENGA NA MOSONYE rushwa tuuuu,viva timu za tanzania kususia mashindano ya secafa yaliyofanyika darfur,kweli hakuna amani
 
Mungu azilehemu Roho za Marehemu Wapiganaji wetu na Waliojeruhiwa Wapate nafuu Mapema.Na kwa Masuala ya ndani ya nchi Chondechonde Viongozi Msilitumie vibaya Jeshi letu.
 
RIP askari wetu. Waliokufa ni watanzania wakiwa wanafanya kazi UN. Hakuna tatizo watanzania kufanyia kazi jumuiya au makampuni ya kimataifa nje ya Tanzania. Halafu tulitaka kupeleka timu huko!
 
Amiri jeshi mkuu wao alisomewa itikafu. Kama hawezi kuwa amiri jeshi wa polisi wanaoua raia ndani ya nchi badala ya kuwalinda sidhani kama anaweza kuwa amiri jeshi imara kulinda usalama wa nchi nyingine. Japo ni jambo la kusikitisha lakini wataendelea kufa tu.
Kama wanawabaka watanzania wenzao mtwara je Mungu anawezaje kuwalinda huko Sudan?
Ngoja tuseme RIP maana ni utamaduni kusema japo sijui kama Mungu anasoma mitandao.
 
Kule sio Mtwara Kama wamepiga na kubaka Mpaka wakachoka hawajajibiwa ndio Mungu anawajibu kwa ushenzi wao Ma-Pinda wakubwa
 
1. Si vyema kibandika majina ya Marehemu.
2. Kama taarifa ni sahihi kuwa walikuwa wanaenda kumwokoa mwenzao, nadhani hili pia ni kosa la kioperesheni. Hao Rebels hawatiishiwi na kapatrol ka gari moja or mbili. Wakimteka mtu au askari wanania yao ambayo inatatuliwa kwa majadiliano na si bunduki.
3. Where are the white plastic bags??????/ na bendera ya UN/AU/Tanzania?
4. Nani aliruhusu kupiga hizo picha na kuziruhusu kusambaa kwenye mitandao?
Please, tujiangalie na kuwaheshimu mashujaa wetu.
RIP
 
attachment.php


Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!!

ahsante kwa ushaur wako kwa hili jeshi letu,,, hakika ukweli ndio huo kuwa atakae ua kwa upanga nae atauwawa kwa upanga,,,, jeshi kujinasi kwa kuua wananchi wa nchini mwao ni laaana mbaya sana
 
This is very sad especially when u shed blood for nothing,for neo-colonialism purposes

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
piga hesabu vizuri mkuu


Kuna kaka yangu alienda DARFUR na Amerudi na hela chin ya million tano!


Hakuna kitu Mimi ninadhani zinatafunwa na akina shimbo wapya, ifike mahala tujue mikataba hiyo na faida zake!


jana nilisikikiza ile famous speech ya kagame alisema at hit us na tutapigwa bila KUJUA nani katupiga, anatamba kuwa whether by land, air we shall never cross the line when we get into the target!!!!!???

let us think twice badala ya kutumia GPA ZA below 2.7 na tamaa ZA utajiri wao
 
Kuna kaka yangu alienda DARFUR na Amerudi na hela chin ya million tano!


Hakuna kitu Mimi ninadhani zinatafunwa na akina shimbo wapya, ifike mahala tujue mikataba hiyo na faida zake!


jana nilisikikiza ile famous speech ya kagame alisema at hit us na tutapigwa bila KUJUA nani katupiga, anatamba kuwa whether by land, air we shall never cross the line when we get into the target!!!!!???

let us think twice badala ya kutumia GPA ZA below 2.7 na tamaa ZA utajiri wao

Na wewe ni msomi!??
 
nani aliwatuma huko? tena hata walionusurika wangeuliwa mbali huko ili waache kiherehere.
 
wanatakiwa kulipwa Insurance isiyopungua $ 40,000.00 kila mmoja. Halafu watoto wao kusoma bure mpaka highschools ikiwa wamefaulu F IV. wake zao watalipwa life pension kila mwezi mpaka kufa. kimnyume cha hayo ni usanii mtupu. Pesa zipo na serikali inajua wazi zinefichwa Uswiss! Bora hili limejulikana hata kabla ya serikali kulificha ficha . Maana miaka ya 80's wanajeshi wetu wengi sana waliuwawa msumbiji kwenda kumsaidia Chizi Samora azidi kueneza unyama kifashisti wa kikomunisti. sijui kama wale wanajeshi wake zao walilipwa chochote. wake wa Kikomunisti msumbiji ya kusini na ya kati. na tena mauaji yao yalifanywa siri mpaka leo!
 
Back
Top Bottom