Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Tunataka Tanzania Yetu Irudi, Tanzania yenye uzalendo isiyouza Askari wake Kwa kipande kidogo Cha mkate, Tanzania isiyojadiliana Na wapuuzi wanaosema linda ila wewe usijilinde, Nyerere wapuuzi hao hakuwasikia eti mtoe amini mpakani mwako ila usimuingilie kwake, Nyerere hakuwa Na mjadala Na sheria Za kipuuzi, alimfukuzia mbali Amini si Tz tu hadi huko Uganda. Mshenzi ni mshenzi tu. Leo HII tuna VIONGOZI wanaochekacheka Na visichana tu, enyway hatuoneani gere laleni Na vibint mpendavyo but chapeni Kazi Basi, huu ujinja wa UN mtauendekeza hadi lini. Kwanini kutowasaka hao mabaradhuli Wa Sudan then Sudan become a peace state forever.. Mijitu michache inaongea upuuzi Kwa Jina la teritorial law. Ujingagani Watoto Na Kinamama wanakufa Kwa ushenzi wa watu wachache.... Upuuzi