Uliweza kuilinda amani!!!!
JK rudisha jeshi nyumbani!
Hatupati chochote huko zaidi ya sifa ya kuitwa"polisi wa Africa"!Nchi zingine waki calculate na wakikokotoa kama hamna any economic gains hawapeleki jeshi!
Rais wangu JK pls warudishe vijana home!
Hapo kwenye red marehemu haombewi mtu anajiombea mwenyewe akiwa hai.
Mkuu shughuli walioenda kufanya askari wetu Sudan ni kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa na sio vinginevyo. Taarifa ya hili zipo kila mahali na kama hili nalo mpaka upewe uhakika basi pole yako.una uhakika gani kuwa walikuwa wanapigani a haki usawa na amani? kwani si juzi tu tumesikia rais akitaka nchi wahusika zifabye mazungumzo? una fikiri kama ni wanyang'anyi wanaweza mazungumzo?
ila kagame alisema "i will hit him at right time and right place"
mimi nilisema kwa kuna mwenzetu kasema wamekufa kwa kupigania haki, nikamuuliza ana uhakika gani kuwa mwenye haki ni hao waasi au serikali iliyoko madarakani?Mkuu shughuli walioenda kufanya askari wetu Sudan ni kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa na sio vinginevyo. Taarifa ya hili zipo kila mahali na kama hili nalo mpaka upewe uhakika basi pole yako.
Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!!