Majimbo ya Nyamagana na Geita yana nini

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Nimepata tetesi kwamba kuna majimbo ya uchaguzi nchini ambayo kwa awamu mbali mbali toka uhuru hayana historia ya kupitisha wagombea kwa zaidi ya awamu moja, yeyote mwenye takwimu ama historia ya majimbo haya na mengine yenye kufanana na hayo aweke hapa jf
 
wewe unataka kumpandisha presha Masha nini? maana anadai mgombea wa chama fulani siyo raia.
 
Nia yako ni nini unaweza kuuwa bila kukusudia au ukasababisha kutafutiwa sababu ya kutoitwa raia
 
Safi sana maana watanzania tuko zaidi ya 40 million, tukipokezana kila baada ya miaka mitano wengi watafaidi na kujijengea msingi wa kujiajiri
 
Watu wa nyamagana ni kama Tarime Mara, hawataki upuuzi kabisa, kuna wakurya kibao milimani ndo wapiga kura muulize Shomali alimwagiwa Tindikali naye aliwahi kuongoza kwa kipindi kimoja tu akatemwa. Masha afungashe vyake aende kukaa huko Carpri Point kwa vibosile ambako hawajui shida za watanzania wengi.

Dialo ndo kawaweza kidogo naona wanamuona kama senator wa mwanza jamaa maana wanamkubali sana.
 
Back
Top Bottom