Majimbo ya chadema

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wanabidii naomba tutoe hulka ya wananchi ktk majimbo ambayo chadema imeshida ubunge na udiwani ,wana haiba gani, wenyewe ni washindi ,kimaisha elimu ,mali ,kipi wanacho cha tofauti na watu wa majimbo ambayo si ya cdm na wakotayari kuiondoa cdm isipotimiza waliyohaidiwa??nawakilisha
 
Back
Top Bottom