Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Mi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha,
haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali.
naanza na haya wajameni........
1. segerea
2.ukonga
3.tarime
4.sumbawanga mjini
5.hanang
6.kilombero
7.kilosa kwa proff wa SUA
8.bokoba mjini
9.kibaha mjini
10.................................
 
Hayo ni kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya CHADEMA, na si kwa mujibu wa NEC YA UKWELIIIIIIIIIIIII.
 
Kwa imani na ukakamavu mbele ya ushahidi mahiri na wa kutosha tutayarejesha kwa wenyewe kupitia mahakama.
 
Segerea ,mbunge wa CCM anajulikana ni fake,ana fake PHD!
Eti bado amechaguliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha, haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali. naanza na haya wajameni........ 1. segerea 2.ukonga 3.tarime 4.sumbawanga mjini 5.hanang 6.kilombero 7.kilosa kwa proff wa SUA 8.bokoba mjini 9.kibaha mjini 10.................................
Mkuu hoja yako ni nzuri lakini ungetaja majimbo yote na sababu ya imani yako
 
Mi naamini kabisa Slaa alipata wabunge wa kutosha na kura za kutosha kabisa za kuunda serikali, ila yalichakachuliwa ili kuonyesha kwamaba hakupata wabunge wa kutosha,
haya ni baadhi tuu ya majimbo yaliyochakachuli, tujaribu kuyaorodhesha hapa ili tujue Chadema walipata majimbo mangapi kialali.
naanza na haya wajameni........
1. segerea
2.ukonga
3.tarime
4.sumbawanga mjini
5.hanang
6.kilombero
7.kilosa kwa proff wa SUA
8.bokoba mjini
9.kibaha mjini
10.................................

watu humu wanaboa ile mbaya, wanachonga sana vitendo hamna.
nilichotegemea:
angejitokeza greater thinker mmoja atumwagie data humu za angalau majimbo matatu, jumla ya kura za mwakala wa chadema ngapi na za tume ngapi kama kuna mpishano tuanze kukasirika! lete lete lete
 
hata kama kungekua na jimbo la halimashauri kuu ya ccm chadema tungechukua, maana wanaipenda kimoyomoyo nani asiyependa elimu bure kwa watoto wake na tiba, cement jeee???? :yield:
 
watu humu wanaboa ile mbaya, wanachonga sana vitendo hamna.
nilichotegemea:
angejitokeza greater thinker mmoja atumwagie data humu za angalau majimbo matatu, jumla ya kura za mwakala wa chadema ngapi na za tume ngapi kama kuna mpishano tuanze kukasirika! lete lete lete
Katika wanaoboa ni pamoja na wewe, maana umeshindwa kufanya hiyo homework!...unataka wishes zako zitimizwe na nani wewe, umemwajiri mtu hapa ndani au?
 
Wakuu naomba ufafanuzi wa kina juzi nilimwona Ole Medeye TBC1 akipongezwa kwa ushindi wa ubunge Arumeru magharibi,ukisoma post no#271 mpiganaji Ole kisambu anaonekana ni mshindi wa jimbo hilo.Ukipitia vyanzo vingine Medeye anaonekana ameshinda kwa utaratibu huu inawezeka yapo makosa mengi yamefanyika pengine maksudi au bahati mbaya.

Back
Top Bottom