Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

chadema imesambaa nchi nzima kama upepo. kama vichwa sita tu vya wabunge wa chadema walilipelekesha bunge mchakamchaka kwaenye awamuya kwanza ya JK, sembuse vichwa 22 vya sasa. hakika bunge litawaka moto!!! CHADEMA HOYEEEE!!!!!!!!!!!
 
Na CUF tuseme ni Islamic Development Manifesto? Maana wameshinda mikoa ya zanzibar na pwani ya Lindi, hakuna Mkristo hata moja.

La msingi tuzungumzie maendeleo ya nchi yetu, bila kuingiza ukabila na udini, Maana CHADEMA imeshinda Mbeya siyo Mchagga, Imeshinda Mbulu siyo Mchagga, Imeshinda Iringa siyo Mchagga, Imeshinda Nyamagana siyo mchagga, Imeshinda Bukombe Kahigi Siyo Mchagga.
 
soma vizuri, mpanda mjini hawakufanya uchaguzi kwasababu ya ukosefu wa vifaa , watafanya mwezi huu.

Ni kweli uchaguzi haukufanyika Mpanda Mjini, lakini ninachosema ni kuwa Hakuna atakayemzuia Arfi kuingia mjengoni.
 
Halafu wanasema CHADEMA ni Chaga Development Manifesto!!!!!!!! Sijui hio mikoa yote ni ya wachaga?

FUNGUENI MACHO...MNASINDIKIZA TU. HICHO NI CHAMA CHA KIKABILA NA KIKANDA.
Always kitakuwa influenced na Wachagga, taka msitake.
 
Halafu wanasema CHADEMA ni Chaga Development Manifesto!!!!!!!! Sijui hio mikoa yote ni ya wachaga?

UMEONAAA, WEnJE ni mchanga, mr 2 ni mchaga, wabunge wale WAKIGOMA ni wachaga, upuuuzi uliopevuka huo.
 
Joseph Mbilinyi ni mchaga?, Tundu Lissu ni Mchaga? Hezekiah Wenje ni Mchaga?
Huo ni ulimbukeni wa fikra na mgando wa mawazo.

Tatizo CCM wameshawajaza kutu kwenye ubongo kwa hiyo hata akili ya kawaida ya kupambanua mambo hamna. Aibu iliyoje kuwa akili zenu zimeshikiliwa na viongozi wa chama.
 
FUNGUENI MACHO...MNASINDIKIZA TU. HICHO NI CHAMA CHA KIKABILA NA KIKANDA.
Always kitakuwa influenced na Wachagga, taka msitake.

Teh teh teh teh!! Na CCM ni ya KIFISADI fungua macho wewe acha ujinga Kishongo.
 
fact1 kweli hii ni tanzania nzima, mliweka wagombea 179 kati ya 239, = 22 hii waiita tanzania nzima, tutekeleze ilani ya ccm
kidumu chama cha mapinduzi

Hayo yote siyamesababishwa na tume ya ccm ya uchaguzi. Uchakachuaji wa hali ya juu.
 
1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
3.Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
4.Israel Yohana -Karatu/Chadema
5.John Mnyika -Ubungo/Chadema
6.Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
7.Felix Mkosamali -Muhambwe/NCCR Mageuzi
8.Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
9.Agripina Z. Buyogela -Kasulu Vijijini/NCCR-Mageuzi
10.Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
11.Augustine Lyatonga Mrema-Vunjo/TLP
12.Salum Barwani -Lindi/CUF
13.Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
14.Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
15.Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
16.Machali Moses John-Kasulu Mjini/NCCR Mageuzi
17.Joseph Selasini -Rombo/Chadema
18.Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
19.Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
20.Freeman Mbowe -Hai/Chadema
21.Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
22.Godbless Lema -Arusha Mjini/Chadema
23.Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
24.Hayness Samson -Ilemela/Chadema
25.John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
26.Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
27.Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
28. John Cheyo -Bariadi Mashariki/UDP
29. Bungaro Said -Kilwa Kusini/CUF
30. David Kafulila -NCCR Mageuzi

Hongeleni sana Nyinyi ndio tuna waamini kwa asilimia 90% tunataka muka fanye kazi nzito ya kuiendeleza Tanzania ili wakati ujao tuongeze majimbo mengine na tuchukue Uraisi kiulaiiiniiii,,, Kila la gheli wabunge wa Chadema May the lord bless you in the Name of the Father,,,, na hizo asilimia 10 zilizo baki na Wabunge mafisadi waliopita kwa zuluma,,
 
Mungu awajalie Msiogope kwa kuwa hao wa CCM ni wengi.- wao wanalindwa na CCM nyie mnalindwa na Watanzania , Mtang'ara kama nyota ya asubuhi.....
 
Tuwape ushirikiano wa hali bila kujali wanawakilisha chama gani tukianza kuwabagua kwa misingi ya vyama hakika hawataweza kufanikisha malengo na mategemeo ya waTanzania wengi.
 
1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
3.Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
4.Israel Yohana -Karatu/Chadema
5.John Mnyika -Ubungo/Chadema
6.Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
7.Felix Mkosamali -Muhambwe/NCCR Mageuzi
8.Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
9.Agripina Z. Buyogela -Kasulu Vijijini/NCCR-Mageuzi
10.Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
11.Augustine Lyatonga Mrema-Vunjo/TLP
12.Salum Barwani -Lindi/CUF
13.Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
14.Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
15.Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
16.Machali Moses John-Kasulu Mjini/NCCR Mageuzi
17.Joseph Selasini -Rombo/Chadema
18.Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
19.Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
20.Freeman Mbowe -Hai/Chadema
21.Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
22.Godbless Lema -Arusha Mjini/Chadema
23.Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
24.Hayness Samson -Ilemela/Chadema
25.John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
26.Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
27.Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
28. John Cheyo -Bariadi Mashariki/UDP
29. Bungaro Said -Kilwa Kusini/CUF
30. David Kafulila -NCCR Mageuzi

Hongeleni sana Nyinyi ndio tuna waamini kwa asilimia 90% tunataka muka fanye kazi nzito ya kuiendeleza Tanzania ili wakati ujao tuongeze majimbo mengine na tuchukue Uraisi kiulaiiiniiii,,, Kila la gheli wabunge wa Chadema May the lord bless you in the Name of the Father,,,, na hizo asilimia 10 zilizo baki na Wabunge mafisadi waliopita kwa zuluma,,

Hiyo /C kwa Zito Kabwe ina maana gani?
 
Back
Top Bottom