Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
jaman leo ilitubidi twende Wizara Ya Elimu sehem ya kwanza nmeanzia kwa Waziri wa Elimu na nilikaa faragha na MKURUGENZI WA ELIMU YA JUU na KATIBU MKUU ILI KUJUA NI VIPI WATU WAMEKOSA HUKU HANA WAZAZI ,KACHAGUA COURSE ZENYE PRIORITY imechukuwa saa 5 kukamilisha mazungumzo MAJIBU NDIO HAYA{1}YATIMA ANA HAKI YA KUDAI APEWE MKOPO{2),PRIORITY COURSE INABIDI WAPEW MKOPO (MKURUGENZI WA HESLB AMETAKIWA KUPELEKA MUHTASARI NI JINSI GANI AMETOA MKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU JUU na pia swala la ku-appeal nmelkataa kwakuwa watu wengi hatuna pesa za REGISTRATION na hapo kasema anatuma muhtasari kwa KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ILI WAWEZE KUTATUA TATIZO HILI sasa tumekubaliana tutawasiliana baada ya siku 2 hivyo kasema niwambie Watanzania wote waliokosa MKOPO wasubiri maana ni lazima wafuate utaratibu il wawez kupangilia takwimu maana idadi ni kubwa ya wanaohtaj hiyo mikopo ila kaongezea VIPAUMBELE VYA TAIFA INABIDI WAPEWE MIKOPO ILI WAPATE KUSOMA mfano,EDUCATION{science$arts),DOCTOR{MIFUGO$WANADAM),nk zaid 0759824023
 
Sawa,lakini kusema tusubili isiwe ni njia ya kukwepa,,,,maana viongozi wa nchi hii,,,lanzima tuwe makini hapo.:A S 41:
 
Hv inakuwaje mtu kasoma kata o'level na A'level akapata chuo bugando kusoma medicine ni first year halaf anapewa mkopo 26000 sijakosea ni elfu ishirini na sita tu!!!!
Huku si kukatishana ndoto na tamaa!!!
 
kama unachosema ni kweli, nadhani kuna makosa yamefanyika loan board, nazani ingekuwa 2,600,000(milion mbili na laki sita) ingeeleweka kwa kiasi fulani.
 
I appreciate u all who have gone there and represented our burning tears, I adore ur strength and accountability on this issue, i know it is not easy but u have proved courage, i'll be there.
I tell u my people that i love u and i hope the same with u my brotherhood.
A-lutta continua
 
jaman leo ilitubidi twende Wizara Ya Elimu sehem ya kwanza nmeanzia kwa Waziri wa Elimu na nilikaa faragha na MKURUGENZI WA ELIMU YA JUU na KATIBU MKUU ILI KUJUA NI VIPI WATU WAMEKOSA HUKU HANA WAZAZI ,KACHAGUA COURSE ZENYE PRIORITY imechukuwa saa 5 kukamilisha mazungumzo MAJIBU NDIO HAYA{1}YATIMA ANA HAKI YA KUDAI APEWE MKOPO{2),PRIORITY COURSE INABIDI WAPEW MKOPO (MKURUGENZI WA HESLB AMETAKIWA KUPELEKA MUHTASARI NI JINSI GANI AMETOA MKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU JUU na pia swala la ku-appeal nmelkataa kwakuwa watu wengi hatuna pesa za REGISTRATION na hapo kasema anatuma muhtasari kwa KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ILI WAWEZE KUTATUA TATIZO HILI sasa tumekubaliana tutawasiliana baada ya siku 2 hivyo kasema niwambie Watanzania wote waliokosa MKOPO wasubiri maana ni lazima wafuate

WAZO WANDUGU: Munaonaje Ijumaa wakati munaenda kuchukua majibu mukaenda mob ya watu pale wizarani, nafkiri atleast italetata impact, manaake kuna wengine wapo mkoa wanakuja kesho kudai haki zao
 
Kumnyima mtu aliyeomba mkopo sio haki kabisa. Maana wale ambao walikuwa hawahitaji hawajaomba na watasoma kwa uwezo wa wazazi wao. Hao walionyimwa wapewe mara moja ili kunusuru taifa hili na utitiri wa vijana walinyimwa fursa na sasa wanahasira. Tusizalishe makundi hatari sie wenyewe kwa hapo baadae.
 
kama unachosema ni kweli, nadhani kuna makosa yamefanyika loan board, nazani ingekuwa 2,600,000(milion mbili na laki sita) ingeeleweka kwa kiasi fulani.

sio makosa,kuna wa2 mwaka jana walipewa ada buku2,wengine buku mbili jero na bado wanaendelea kupewa kias hcho mpk leo!bodi huwa hawatabirik km kfo vle!
 
bt jaman tumepanga kuwa kama majibu yao hayataturidhisha basi ijumaa asubuhi yani mapema sanaa tukutane posta ya zamani pale mkabala na NBC Bank kwenye garden ili tuende tena wizarani yani mpaka kieleweke..
 
sio makosa,kuna wa2 mwaka jana walipewa ada buku2,wengine buku mbili jero na bado wanaendelea kupewa kias hcho mpk leo!bodi huwa hawatabirik km kfo vle!

Duuuh! wanautani wa ngumi hawa! khaaaa
 
Nashukuru mdau mimi by ijumaa nakuja kuunga company twende kama timu ili tuthibitishe mliyosema na waone yakwamba tupo waitaji na tutashindwa kwenda Vyuoni maana hata pesa za Registration hatuna so we cant wait for apeal setion.
Tujumuike wote ijumaa wadau who DID NOT SECURE LOAN and THOSE WHO SECURED.
Thanks.
 
jaman leo ilitubidi twende wizara ya elimu sehem ya kwanza nmeanzia kwa waziri wa elimu na nilikaa faragha na mkurugenzi wa elimu ya juu na katibu mkuu ili kujua ni vipi watu wamekosa huku hana wazazi ,kachagua course zenye priority imechukuwa saa 5 kukamilisha mazungumzo majibu ndio haya{1}yatima ana haki ya kudai apewe mkopo{2),priority course inabidi wapew mkopo (mkurugenzi wa heslb ametakiwa kupeleka muhtasari ni jinsi gani ametoa mkopo kwa wanafunzi wa elimu juu na pia swala la ku-appeal nmelkataa kwakuwa watu wengi hatuna pesa za registration na hapo kasema anatuma muhtasari kwa katibu mkuu wa wizara ya elimu ili waweze kutatua tatizo hili sasa tumekubaliana tutawasiliana baada ya siku 2 hivyo kasema niwambie watanzania wote waliokosa mkopo wasubiri maana ni lazima wafuate utaratibu il wawez kupangilia takwimu maana idadi ni kubwa ya wanaohtaj hiyo mikopo ila kaongezea vipaumbele vya taifa inabidi wapewe mikopo ili wapate kusoma mfano,education{science$arts),doctor{mifugo$wanadam),nk zaid 0759824023

asante mdau jana tulikuwa wote heslb nakuaminia ijumaa naungana nawewe (ninyi) kwenda wizarani kupata majibu, ngoja niotafute nauli yakunitoa chalinze nije
 
jaman leo ilitubidi twende Wizara Ya Elimu sehem ya kwanza nmeanzia kwa Waziri wa Elimu na nilikaa faragha na MKURUGENZI WA ELIMU YA JUU na KATIBU MKUU ILI KUJUA NI VIPI WATU WAMEKOSA HUKU HANA WAZAZI ,KACHAGUA COURSE ZENYE PRIORITY imechukuwa saa 5 kukamilisha mazungumzo MAJIBU NDIO HAYA{1}YATIMA ANA HAKI YA KUDAI APEWE MKOPO{2),PRIORITY COURSE INABIDI WAPEW MKOPO (MKURUGENZI WA HESLB AMETAKIWA KUPELEKA MUHTASARI NI JINSI GANI AMETOA MKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU JUU na pia swala la ku-appeal nmelkataa kwakuwa watu wengi hatuna pesa za REGISTRATION na hapo kasema anatuma muhtasari kwa KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ILI WAWEZE KUTATUA TATIZO HILI sasa tumekubaliana tutawasiliana baada ya siku 2 hivyo kasema niwambie Watanzania wote waliokosa MKOPO wasubiri maana ni lazima wafuate

WAZO WANDUGU: Munaonaje Ijumaa wakati munaenda kuchukua majibu mukaenda mob ya watu pale wizarani, nafkiri atleast italetata impact, manaake kuna wengine wapo mkoa wanakuja kesho kudai haki zao

Bodi ya mikopo imekuwa ss ya kisiasa
 
Back
Top Bottom