Maji Marefu aomba radhi kuhusu kauli ya Dk. Ulimboka

Pole bwana Ngonyani...nakusikitia kwa sababu ujanja wa kutukimbia huna, utakuja tu maana wewe ni mwanadamu na hospitalini utafika tu!! SOLIDARITY FOREVER
 
Kwa hiyo anakanusha nini hapo? Aliyesimama bungeni alikuwa Maji marefu feki?

Penye RED pananifanya niamini kuwa jamaa (Prof - Witch) huwa anapeleka kivuli chake bungeni na yeye huendeleza kazi zake za uchawi a.k.a kuagua na kuwapigia ramli watu kule kwao. Duh! Ipo siku tutaona MAFISI na MAPAKA yamekalia viti vya wabunge........
 
Yaan alidhamiria kusema,,,maana alisema kwa msisitizo sana,sijui nani kamshaur leo aje kwenye media,,,,maana atakanushaje????na hii ni hatar kwake,,,
 
....
lakini alisema madaktar wasimtibu ULIMBOKA wao si wamegoma?????
Sasa kama anasema alinukuliwa vibaya alinukuliwa na nani???na alitaka watu wamnukuu vipi,maana it waz live show kwakweli jaman,na hao waandish kama wamekubali kuhubiriwa bila kumhoj zaidi?????

Ni zaidi ya upuuzi kwa mtu aliyetoka kutibiwa India juzi juzi tu kunyanyua mdomo juu kwenye hili sakata la madaktari. Kitanda usichokilala unawezaje kusema ukali wa kunguni wake?
 
huyu bwana miaka ya nyuma alijizolea umaarufu wa kumfufua binti ambaye katika filamu ile ambayo yeye bila cheche alikuwa starring kuwa alifariki kimazingira wakuu kuna mtu anataarifa za binti huyo? na kama usanii kama kuna mtu anadetails za bint yule ajitokeze tuanze kuchokonoa madudu ya mchawi huyu
 
Ivi uyu jamaa alipataje ubunge? Kweli CCM lolote SILLY lawezekana. Maana hadi gagula (mchawi aliyekubuhu) anapata ubunge!! Tusiendelee kumjadili, tutampa "big head"; maana inaelekea amekuja na style yake ya kutafuta umaarufu.

Huyu jamaa alibahatika kumpata mteja mmoja ambaye mumewe ni tajiri na anakaribia kufa hapo kwa watani wa jadi (Mayor Kirumo). Alikuwa anamfanyia dawa andikiwe urithi (si unajua akina njerii na doo !). Basi akawa anajipigia na pesa pia anapewa. Ndiye aliyempa mtaji wa ubunge !
 
Bongo , bado sana , si huyo mchawi tu..bali wasaniii wa bongo fuleva na taarab kibao bungeni...ndio maana asilimia kubwa ya bajeti inaishia kwenye uendeshaji wa serikali tu na si shughuli za maendeleo

Mh.Naibu wa spika, naunga mkono Miya -kwa-miya
 
Hivi nani alimtuma huyu kwenda bungeni? ninamashaka makubwa na wananchi wa jimbo lake wanaweza kuwa ni vilaza wakutupwa yaani mtu mjinga hana akili hata chembe anawawakiliosha watu bungeni? huyu ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. **** him
 
Back
Top Bottom