Maji Marefu aomba radhi kuhusu kauli ya Dk. Ulimboka

Huyu mganga wakienyeji badala akiri alitamka anasema alinukuriwa vibaya.

Tumemshuhudia akisema alaf ana kanusha,sasa anaomba msamaha wa nini?

Unganga na uchawi si kitu kizuri.
 
Samahani ndugu naiba wa Spika, hivi mimi ni Wizi Mkuu au nani, oohh sorry maana jana nilisema ntatoa tamko lakini nikakuta nimeingilia uhuru wa Maha-kama, hivi kweli sikujua kuwa kwa kusema vile naingilia uhuru wao au ilikua ni Hangover tu ndugu wazi-mkuu?

Sorry kumbe mimi ndio wazi-mkuu, I meant ndugu Supika? Hili koti la uwizi kama vile sio langu vile...mana kila siku nalisahau...aaah tuyaache hayo, Hivi unajua wewe dogo Tundu nakushesimu sana, usiniache nikufanye kama nilichomfanya yule jamaa juzi....sorry naona umekoti vibaya!
 
huyu jamaa anakaa nyagwa nini??
na ataanza kufa yeye kabla ya uyo anaemuombea
 
huyu profesa mavi marefu mbwiga na yule mama spika mbwiga, kauli gani za kuzungumza na asichukuliwe hatua yeyote, another silly season.
 
Hili jamaa wiza la kutupwa, pambaf zake, na Mungu atalipiza hapahap duniani. Get well soon Dr. Ulimboka.
 
403882938.jpg


ukimwangalia kwa makini utagundua anaMajini bado.
 
Ivi uyu jamaa alipataje ubunge? Kweli CCM lolote SILLY lawezekana. Maana hadi gagula (mchawi aliyekubuhu) anapata ubunge!! Tusiendelee kumjadili, tutampa "big head"; maana inaelekea amekuja na style yake ya kutafuta umaarufu.
 
Anajiamini kuwa anaweza jitibu pressure, malaria, akipata accident anaweza jiunga fractures zitakazotokea. Kwa ujumla huyu hana mpango wala nia ya kuwa mteja wa Medical Doctors.

Ajiulize kwa nini wenzake wana-walk fine line?. Usicheze na mtu aliyesomea mwili wa mwanadamu kama vile yeye anavyochezea vibuyu na nyungo zake. Madaktari wana-uwezo ambao hata polisi mwenye silaha hana. Nao ni kuhangaika kuokoa maisha ya strangers. Any action demoralise their commitment will be a disaster to the demoraliser.
 
huyu ndio zake,,,kuna kipindi alipiga picha na Nassary , ikatoka gazetini akaja kukana kuwa picha ile hakupiga bali ilitengenezwa na ataifikisha CHADEMA mahakamani! mpaka leo naona kimya! wachawi hawataurithi ufalme wa mungu!!
 
wanasiasa wakichemka kauli husingizia walinukuliwa vibaya. Majimarefu awe jasiri tu wa kusimamia kauli yake kwani aliidhamiria kuitamka.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mimi nilidhani kuwa Ngonyani ni wa huko Songea kumbe ni Korogwe? Mtu huyu aliwahi kukumbwa na skendo fulani ya wizi wa hela za familia fulani huko Kenya, je kesi ile ilikwishakwishaje? au hirizi zilifanya kazi.
 
mnifurahisha kweli, kuna siku moja waziri mkuu alienda huko korogwe vijijini wakaamua kumbana mbunge wao kwa kutotimiza wajibu ahadi yake ambayo alikuwa ameahidi wakati wa kampeni kuwa ATAWASHULIKIA WALE WOTE WANAOUWA WATU KWA KUWAPELEKEA MALARIA KIUSHIRIKINA!!!,

Nnadhani ilikuwa maeneo ya bungu kule mlimani, yeye akawaahidi kuwa waziri mkuu atakapoondoka atavua suti atavaa kaniki aanze kazi ya kuwafukuza hao waleta malaria ambao ni wanadamu na wala si mbu!

WOTE MNAJUA KUWA KOROGWE NDO KIINI CHA MADHALIA YA MBU WANAOLETA MALARIA NA NDO MAANA KUNA VITUO VINGI VYA UTAFITI WA MALARIA KAMA VILE AMANI KULE TANGA!!!!
 
Huyu Prof Maji Marefu anatakiwa afanye jambo moja, arudi pale aliposema hayo maneno yaani bungeni na kuomba msamaha kwa madaktrari wote, nadhani kuna utaratibu wa kuomba msamaha na hata Marehemu Regia Mtema alishawahi kutumia utaratibu huo kurekebisha moja ya kauli zake. Bungeni Prof Maji Marefu.
 
Mhe Maji marefu,ukizaa mtoto huwezi kumrudisha tumbo eti kwa sababu ulitaka wa kiume na amezaliwa wa kike,ukijisaidia haja kubwa huwezi ukarudisha uchafu eti kwasababu umestuka kuwa mahala ulipo ushusha mzigo hapastaili,kaa ukijua katika kinywa kisicho na hekima hakuna "undo",hakuna "back".
wananchi tulikushukuru,tunakushukur,natunazidi kukuombea kwa mungu kwa kuonesha hisia yako
 
Back
Top Bottom