Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
3,039
3,486
Wana jukwaa

Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza.

Dar inategemewa chanzo cha maji yasiyo na chumvi kutoka mto Ruvu na ina mashine zake Ruvu juu na Ruvu chini lakini cha kushangaza inakaribia wiki tatu sasa maji yamekuwa ya shida sana huku wakiuziwa na wajanja usiku wa manane shilingi 1,000 hadi 2,000 kwa dumu moja la ujazo wa lita 20.

Wananchi wanatoa rai kwa mamlaka ya maji DAWASA pamoja na wizara ya maji kushughulika na kero hii mapema kabla majnga hayajaanza kuibuka kifamilia na kijamii.

Ilidaiwa kipindi fulani kuna chanzo kingine kimeanzishwa huko Mkuranga, Pwani lakini jitihada hizo hazionekani na na viwanda vya kutengeneza maji kila kukicha wanapandisha bei mfano huko Kigamboni na Mapinga bei za maji ni juu kuliko hata maji yanayotengezwa Bonite bottlers Kilimanjaro!

Mchango wa maoni yenu wadau ni mhimu kwa wakati sahihi.
 
Maeneo ya Goba Uku maji ni Tabu sana mtaani watu wanapishana na madumu kutafuta yalipo inashangaza kweli na ni kila mwaka.
 
Kwa jinsi tulivyozungukwa na Moto, maziwa, mabwawa, bahari, chemchemu, visima, mikoa mingine wakichimba wa hata jembe maji wanayakuta.

HII KUMAANISHA NCHI HAIKUPASWA KUWA NA MAHANGAIKO YA MAJI
 
Huko huwezi linganisha na kinyerezi mkuu,kila nyumba ina simtank,maji hutoka mara moja kwa mwezi
Matenki huku yapo miaka na miaka ila pamoja na matanki sasa hivi wote tunapata adha ya maji kiasi kwamba hata kwenye tanki yanaisha na bado hayatoki.

Ila nakiri Kinyerezi huko ni case nyingine. Nilisoma kwenye uzi mmoja humu kuwa baada ya kufariki Magufuli ndo huo mchezo wa maji kutotoka kwenye mabomba, ukarudi tena ili wauze maji kwa magari.
 
Kinyerezi no mlimani,fika pale should ya ari uone,so machine haina nguvu kusukuma maji huko,wiki 3 zilizopita walisema wanafunga pampu kwa ajili ya eneo hilo tu,hizo ili wauze maji no cheap politics tu
 
Back
Top Bottom