TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,919
- 11,320
Hongera kitabu kizuri sana...ngoja nimalizie kusoma nipate utamu wote.
unaooonnaaaa utaaaaaaaaaaaaaaaamu
Hongera kitabu kizuri sana...ngoja nimalizie kusoma nipate utamu wote.
unaooonnaaaa utaaaaaaaaaaaaaaaamu
swahiba...... tuombe sasa MMM atuwekee audio book version. Inapendeza sana kuangalia sura ya wa pembeni yako wakati some paragraphs zinasomwa
hahahaaaaaaaaaaaaView attachment 59093
hahaaaa kimejaa utamu hasaaa ukianza hukiachii mpaka umalize
Fifty Shades of Grey?!! kama hicho powa, ushindwe wewe kukihimili!!...nataka nichangamkie Majeruhi pia, nina usongo nacho!
...hahaha, labda Mtitu Game aitengenezee film script, kisha unaiangalia kwenye retreat na mamsapu...acha wewe....maumivu ya mapenzi, mnh!
hahaaaa kimejaa utamu hasaaa ukianza hukiachii mpaka umalize
Kitabu hiki knaeeza kuokoa mahusiano ya watu....
Thx nimefanya hivyo mkuu....shukrani kwa sanaoh sasa kwa N. America you can order it from Amazon.com
kamanda tunahitaji kutafuta ritrit moja ila sasa ipigwe ki-kempu-kempu au kifamilia zaidi?
I just love the book yani. Kila nikikisoma kuna kitu kipya ninacho kiona kwa namna tofauti. Binafsi naweza kukisummarize kwa kusema "behind every heartbreaker there is a broken heart, and for every broken heart there is hope". that's it...
self-appointed life coach..mh...(??)Kitabu hiki knaeeza kuokoa mahusiano ya watu....
Thx nimefanya hivyo mkuu....shukrani kwa sana
nitafanya utaratibu nikitafute hiki kitabu Majeruhi wa Mapenzi, thanks mkuu!!
Mwanakijiji, umesoma Fifty Shades of Grey?? kama bado kitafute au soma reviews kwanza kama utakipenda(too erotic)!! naendelea na Fifty Shades Darker!!
Aisee................. nimekimaliza ni kitabu ambacho utakapokosea na kukianza huwezikiweka chini. Nimekisoma kwa muda wa siku moja na nusu tu!
Mwanakijiji, Hongera sana Hakika umethibutu, umeweza.
Ninaomba kujua kama Kumbatio la Mwenye Makosa jamani naomba!
Hongera kitabu kizuri sana...ngoja nimalizie kusoma nipate utamu wote.
Thanks Chauro.. let it be known...