Majeruhi wa Mapenzi (LE)..Now Available in Mlimani City, Kinondoni, Mwanza, Mbeya...etc

....mnh, majeruhi wa mapenzi...!

swahiba...... tuombe sasa MMM atuwekee audio book version. Inapendeza sana kuangalia sura ya wa pembeni yako wakati some paragraphs zinasomwa

hahahaaaaaaaaaaaa WOMAN BRINGS BALANCE IN LIFE.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
swahiba...... tuombe sasa MMM atuwekee audio book version. Inapendeza sana kuangalia sura ya wa pembeni yako wakati some paragraphs zinasomwa

hahahaaaaaaaaaaaaView attachment 59093

...hahaha, labda Mtitu Game aitengenezee film script, kisha unaiangalia kwenye retreat na mamsapu...acha wewe....maumivu ya mapenzi, mnh!
 
Fifty Shades of Grey?!! kama hicho powa, ushindwe wewe kukihimili!!...nataka nichangamkie Majeruhi pia, nina usongo nacho!

...hicho hicho BJ...I hope it wont turn out to be kama script ya "UNFAITHFUL" ya Richard Geere, Oliver Martinez na Diane Lane ile triangle yao...

Halafu wewe, unapeeeeeenda "maumivu ya mapenzi"....bado nasubiria the other side ya https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/92640-ameuteka-moyo-wangu.html au ndio uilijibia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/132280-kumpoteza-mtu-unayempenda.html :loco: (kukuchokoza muhimu!)
 
[h=6]Kwa wakazi wa Mikoani kitabu cha "Majeruhi wa Mapenzi" kitaanza kupatikana kabla ya mwisho wa wiki hii. Kwa vile ni nakala chache kila mkoa (hazitozidi 25) tunaenda kwa mtindo wa "first come, first get". Tafadhali piga simu leo kuweka oda Mwanza (762404820); Songea (754952119) na Mbeya (752055160). Hakikisha unataja na kiasi cha nakala unachohitaji. Bei ni ile ile sehemu zote: 18,000/-[/h]
 
nitafanya utaratibu nikitafute hiki kitabu Majeruhi wa Mapenzi, thanks mkuu!!

Mwanakijiji, umesoma Fifty Shades of Grey?? kama bado kitafute au soma reviews kwanza kama utakipenda(too erotic)!! naendelea na Fifty Shades Darker!!


Nakiogopa hicho... ila just to satisfy my curiosity natarajia kitakuwa my last book for the summer kuna orodha ya vingine kwanza namalizia..
 
Aisee................. nimekimaliza ni kitabu ambacho utakapokosea na kukianza huwezikiweka chini. Nimekisoma kwa muda wa siku moja na nusu tu!

Mwanakijiji, Hongera sana Hakika umethibutu, umeweza.
Ninaomba kujua kama Kumbatio la Mwenye Makosa jamani naomba!

Hiki muhimu; kimeongezewa sura chache na kutengeneza twist ambayo waliosoma mwanzoni hawawezi kufikiria inawezekana!!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom