Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,295
21,435
Haijawani tokea;

Nilikuwa nasikia Kwa watu tu hii kadhia.

Leo nimeingia chooni, kwakweli choo nilikuwa nayo, lakini ilikwama kutoka ilikuwa ngumu sana, nimekaa chooni karibia lisaa, choo kimechungulia ila hakitoki, kwakweli maumivu niliyoyapata yalikuwa ni makubwa sana, haijawahi tokea, nilijaribu kukibana kipungue ukubwa lakini wapi, choo kilikuwa kigumu sana, yaani ikabidi nianze kusali tu, maana nilihisi kuchanganyikiwa kabisaa na Yale maumivu makali.

Baada ya mda nikapata wazo la kumogoa kipande kidogo kidogo Kwa vidole, yaan nilikuwa namogoa halafu nasimama kuyabana then nachuchumaa namogoa tena, hivyo tena Kwa maumivu makali sana!

Namshukuru Mke Wangu Kwa kunitia moyo kwamba nijikaze, Mke Wangu alinisisitiza kwamba tatizo hilo huja kutokana na kutokunywa Maji mengi (Constipation). Kanisisitiza sana niwe nakumbuka kunywa Maji mengi, na ni kweli sina kasumba ya kunywa Maji kabisa nikiwa katika kazi zangu, na pengine huwa Niko busy sana kiasi kwamba saingine nikishakunywa chai asubuhi mchana huwa sipati lanchi, kiufupi Mimi ni miongoni mwa watu wavivu kunywa Maji mengi.

Lakini kuanzia sasa nadhani nitakuwa mfano Wa kuigwa, nimeumia sana, ilifika hatua niiaanza kuwaza na yasiyowazika, niliwaza hivi hali ile ingenikuta nikiwa ugenini au kwenye ndege ningefanyeje. Nikazidi kujitisha hivi mfano tetemeko lingetokea kama kule bukoba ingekuwaje, yoote hayo niliyawaza Kwa hofu tu.

Nimejifunza mwenzenu, na nimeweka hii post ili kuwanusuru nanyi msijisahau kunywa Maji balaa hili lisije wakuta ambalo sijui kama hata hospital ukizindiwa wanakusaidiaje
Hapa ********* unauma balaa! Nimemogoa taratibu taratibu hivo hadi choo kikatoka chote, ila nimeumia sana, nimewaza kumbe wanawake wanapojifungua huumia kiasi kile! Maana Mke Wangu kaniambia hayo maumivu niliosikia ni Mara tano kwa maumivu ayapatayo mwanamke.

Kwakweli NIMEKOMA SITASAHAU KUNYWA MAJI MWENZENU TENA,
KUNYWENI MAJI NANYI YASIJE WAKUTA WADAU. Ni ushauri tu msinielewe vibaya.
 
Pia kama huli matunda na nyusi zake (mfano unapokula chungwa kinachotupwa ni yale maganda ya juu na mbegu zake tu) na mboga za majani utapata kinyesi kigumu!..
Unapaswa upate matunda na mboga mboga kwa wingi zina roughage ambayo ndio muhimu zaidi kuzuia constipation
 
Ikifika hapo ndio mimi huwa nashindwa kuamini kama wapo wanaotoa tigo. Kama mavi tu yanaumizaga vile kama hujanywa maji na kula matunda, vipi ile kitu ikiingia na kutoka katika hio sehemu??? Hawa akina God mayunga watakuwa waongo!
 

Attachments

  • upload_2016-9-11_11-6-27.png
    upload_2016-9-11_11-6-27.png
    7.4 KB · Views: 147
  • upload_2016-9-11_11-7-36.png
    upload_2016-9-11_11-7-36.png
    5.2 KB · Views: 123
Back
Top Bottom