Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

Duh! kaaaazi kweli kweli majambazi wameshasepa
muda mreeefu ndo police wanaingia
:hat::hat::hat:

Hii sio sawa kabisa. Uwekwe utaratibu kuwa majambazi wawe wanaomba ruhusa ya polisi kabla ya kufanya uhalifu wao, ili polisi waweze kusema kama wataweza kuweka ulinzi, au kama watakuwa na askari wa kutosha.
Vinginevyo, RPC awapige marufuku kukusanyika eneo la tukio.
 
Haujui kabisa maana ya ''feedback'' wewe! Hicho ulichoeleza wala hakina uhusiano na hilo neno ''feedback.'' Kama hujui maana halisi ya neno ni bora na busara kutolitumia kabisa kwenye maongezi au maandishi yako. Watu wengine bwana.

Feedback kwa tafsiri nyepesi ni "mrejesho" na kuna aina mbili za mrejesho: mrejesho hasi na mrejesho chanya
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia jamana house kuna benki ya CBA, sikumbuki kama kuna benki ya NBC.
Benki ya NBC iko karibia na Tazara next to Willy enterprises.

kwani wewe umechakachuaje hapo mbona mleta mada kasema CBA na hiyo NBC wewe umeipata wapi!!au macho yangu yamezeeka!
 
Buriani Mwangosi

Wale waliokuua wameshindwa kuwadhibiti majambazi yaliyovamia benki iliyoko barabara ya Nyerere mapema leo asubuhi badala yake wamekula kona.
 
waache wakimbie tu, mana majambazi skuizi wamegundua kuwa polisi wanawaadhibu watu wasio na hati na kuwaacha watu wenye hatia mfano hao majambazi, tena nawashangaa hao majambazi kwenda na silaha zote izo, kisu tu kilikuwa cha tosha.
 
Mabomu yaliishia kwenye mikutano ya siasa!!! Chezeiya polisi wa Tz!!!

wangekuwa wanatumia nguvu hizi kwenye maswala ya kulinda usalama wa nchi, mbona tanzania tungekuwa pepo ya amani ndugu, ila ndo ivyo wanafanya vice versa
 
kinachonishangaza ni kuwa haya mabomu na maji ya kuwasha yanaingizwa na kununliwa kwa bei ya juu. alfu yanaenda kutumika kwa watu wasio na hatia na kuwaacha wenye hatia, eeeh mungu ivi nilini utaimaliza hii dunia wote tusimame mbele yako utuhukumu tu.
 
hahahaa halafu mnaniambia tuna serikali kweli hapa? Huyu nchimbi mwenyewe anauza sharubu tu hapa hana lolote
 
Back
Top Bottom