MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Kwakuwa Jamana house iko karibu na quality plaza ambapo kuna askari pale 24 hrs wanaolinda benki ya CRDB nilitarajia hadi muda huu kuambiwa kwamba wamejitokeza kupambana na majambazi hao wanaopora jamana house.
Kama hiyo haitoshi just opposite na jamana house kuna kituo kidogo cha polisi Brush ningetarajia hadi wakati huu wawe wamefika eneo la tukio kupambana na majambazi hao, lakini hadi sasa sijasikia taarifa zozote za polisi kufika eneo la tukio.
Mkuu polisi wetu kwenye vitu kama hivyo sio wakutegemea ku react!