Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Tunaomba Ikulu itoe tamko juu ya mauaji haya ya raia wasiokuwa na hatia, kama taasisi hii nyeti inapoteza muda kukanusha taarifa ambazo hazisaidii jamii basi tunategemea pia itatoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizi nzito kwa chama tawala.
Kama chaguzi zetu zitakuwa zinaendeshwa ka vitisho na mauaji ya namna hii si muda mrefu wengi wetu tukapotea katika mazingira tatanishi kwa kusema bila woga na kuendelea kuunga mkono wanasiasa wa upinzani.
Kamwe sikuwa kudhani tutafika huku lakini inaelekea wenzetu wanataka kutufikisha kwenye ubabe na utemi wa ki-somalia na Congo ambako mwenye siraha na risasi nyingi ndiye hutawala