Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

Tunaomba Ikulu itoe tamko juu ya mauaji haya ya raia wasiokuwa na hatia, kama taasisi hii nyeti inapoteza muda kukanusha taarifa ambazo hazisaidii jamii basi tunategemea pia itatoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizi nzito kwa chama tawala.

Kama chaguzi zetu zitakuwa zinaendeshwa ka vitisho na mauaji ya namna hii si muda mrefu wengi wetu tukapotea katika mazingira tatanishi kwa kusema bila woga na kuendelea kuunga mkono wanasiasa wa upinzani.

Kamwe sikuwa kudhani tutafika huku lakini inaelekea wenzetu wanataka kutufikisha kwenye ubabe na utemi wa ki-somalia na Congo ambako mwenye siraha na risasi nyingi ndiye hutawala
 
Wanawake wote Tanzania, unganeni katika hili bila kujali itikadi zenu za kisiasa wala kirangi. Hembu fikiria Mama anayetegemewa Nyumbani anauawa kikatili kiasi hiki eti kwasababu ya mtazamo wake kichama, je huko nyumbani kwake nani atakayeibeba familia? je watoto waliokuwa wanalelewa na mama huyo wanakosa gani? je ni kwa kiasi gani tunapoongea sasa hizo familia zimeathirika kuondokewa na Mama. Na tumekuwa tunaimba ukimuelimisha Mwanamke, umeielimisha jamii. Sasa vipi wanauawa kama kuku hivi? Na kwanini jambo hili linazidi kuzimwa na kuwekwa kuwa siri? ina maana Serikali inahusika? kama haihusiki, si wawatangazie umma wa Watanzania na kulikemea jambo hilo kwa nguvu zote na waanzishe operation maalumu ya kuwakamata waarifu hao? Ukimya wa Serikali ktk hili unatia shaka, tena shaka kubwa. Sihitaji majibu toka kwa mtu yeyote kwa hili, nahitaji Serikali uujibu umma wa watanzania kuhusiana na hili. JK, Pinda, Nahodha, Mwema, hembu acheni utani ktk mambo haya, tunahitaji kuwasikia kwa hili.

Mwisho, nilisha wahi kusema, msifikiri kwakuwa leo mnalindwa na vyombo vyote vya dola, basi hali hiyo itaendelea maishani mwenu milele, kumbukeni pia, mna familia ambazo hamtembei nazo ktk magari yenu yenye misafari mirefu na ulinzi. Ndugu zenu wengi tu na hata watoto wenu, wanaishi na jamii na wamezungukwa na jamii hizi ambazo leo, mama zao wanauawa kikatili. Msijeshangaa ndugu zenu wakaanza kuokotwa nao wameuawa barabarani. SISITIZO: Sifanyi uchonganishi wowote, lakini nadhani mnahitaji kuambiwa kwa maneno yaliyo wazi kama haya labda mtaelewa.
 
Nyie kama mliweza kumfanyia uhuni DC huko igunga tena kwenye ofisi yake basi kuna mangapi mliyo fanya huko maporini. Hizi lawama lazima ziwarudie hao vijana wenu wa Arusha walio kuwa wakilewa mchana kutwa.

Another fool!!
 
Kama Wanawekeana sumu wao kwa Wao Je Unategemea Watakuwa na Huruma na sisi Walalahoi!! Mungu Awapumzishe Marehemu Kwa Amani!! Nadhani Wantumia Ujanja Huo Kusambaza Hofu Kwa Raia Hasa wa Vijijini ili waogope Upinzani!! Rejea Maneno Ya Sumaye kUWA UKITAKA MAMBO YAKUNYOOKEE HAPA NCHINI JIUNGE NA CCCM
 
Wanawake wote Tanzania, unganeni katika hili bila kujali itikadi zenu za kisiasa wala kirangi. Hembu fikiria Mama anayetegemewa Nyumbani anauawa kikatili kiasi hiki eti kwasababu ya mtazamo wake kichama, je huko nyumbani kwake nani atakayeibeba familia? je watoto waliokuwa wanalelewa na mama huyo wanakosa gani? je ni kwa kiasi gani tunapoongea sasa hizo familia zimeathirika kuondokewa na Mama. Na tumekuwa tunaimba ukimuelimisha Mwanamke, umeielimisha jamii. Sasa vipi wanauawa kama kuku hivi? Na kwanini jambo hili linazidi kuzimwa na kuwekwa kuwa siri? ina maana Serikali inahusika? kama haihusiki, si wawatangazie umma wa Watanzania na kulikemea jambo hilo kwa nguvu zote na waanzishe operation maalumu ya kuwakamata waarifu hao? Ukimya wa Serikali ktk hili unatia shaka, tena shaka kubwa. Sihitaji majibu toka kwa mtu yeyote kwa hili, nahitaji Serikali uujibu umma wa watanzania kuhusiana na hili. JK, Pinda, Nahodha, Mwema, hembu acheni utani ktk mambo haya, tunahitaji kuwasikia kwa hili.

Mwisho, nilisha wahi kusema, msifikiri kwakuwa leo mnalindwa na vyombo vyote vya dola, basi hali hiyo itaendelea maishani mwenu milele, kumbukeni pia, mna familia ambazo hamtembei nazo ktk magari yenu yenye misafari mirefu na ulinzi. Ndugu zenu wengi tu na hata watoto wenu, wanaishi na jamii na wamezungukwa na jamii hizi ambazo leo, mama zao wanauawa kikatili. Msijeshangaa ndugu zenu wakaanza kuokotwa nao wameuawa barabarani. SISITIZO: Sifanyi uchonganishi wowote, lakini nadhani mnahitaji kuambiwa kwa maneno yaliyo wazi kama haya labda mtaelewa.

Sikio la kufa?
 
Kuna taarifa ambazo nimethibitisha kuwa za kweli na sasa ziko huko Igunga ambako zinaonyesha CCM wamehusika na vifo vya akina mama wawili waliokuwa washabiki wa Chadema ktk uchaguzi wa igunga na waliuawa siku moja kabla ya uchaguzi na wameokotwa ikiwa miili yao imeharibiwa sana na polisi hawataki habari hii iwafikie wananchi; na habari zinaeleza mabaunsa wa CCM ndio waliohusika na mpango huu dhalimu, katili na wa kimauaji.

Swali ni Je sasa CCM ni dhahiri ni wauaji wa wananchi wake wenyewe wanaowaomba kura? wanataka kutawala nini mwishi wa siku kama wananchi wanaotaka kuwatawala wanawaua; je Salome mbatia; hapa kwetu mwanza je (wamachinga vipi?), Nyerere; kolimba; wananchi wa bulyankulu waliofukiwa; Masoud wa ubungo nae vipi? je chacha wangwe pia si jasusi wao alihusika? North mara ambako walihaha kutofanya post mortem nako; je pemba mwaka 2001 vipi? matukio mbona ni mengi sasa; je naruadia tena tusaidiane huu ukweli lazima uwe wazi; kama CCM wauaji sasa tujue ni mhimu kujua tunaongozwa na watu katili tena wauaji (Nina hasira na mod wamekuwa wakiondoa mada zinazotaka kujua ukweli mchungu; sijui kama nao wanatumiwa au la; ni hatari kwa ustawi kama ukweli utaanza kufunikwa maana kuna mada ya mauaji imefutwa kabisa hata MODS na siwaungi mkono ktk hilo)
mkuu maMods nao wanaroho. wewe unafikiri kupambana na limfumo ni kitu rahisi? Tia akili kichani maadam/sir
 
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!

Wana JF,
Impact ya hili jambo sio sasa ni miaka ijayo kuanzia leo ndio mtakuja kujua ubaya wa hili kwanini yalitokea hayo mauaji?

My Take;

Serikali baada ya kuchukua hatua mathubuti kukimbizana na hili mpaka sasa hatujasikia hizi habari kweny TV zetu na kama zime toka me sijaona bali nazipata hapa kwa JF na blogs zingine.

Tunaanda tabaka la kisiasa na litaleta maafa makubwa sana ni sawa sawa na Udini hakuna tofauti hebu tufike mahali tujitambue na serikali nayo ijitambue
 
Kitendo cha jamaa kupanda jukwaani na bastola mchana kweupe wakati wa kampeni ilikuwa ni ishara tosha kwamba CCM imekwishatangaza vita dhidi ya watanzania. Hayo yanayofuatia ni utekelezaji wake!!! Watanzania tusipoamka CCM itatumaliza!!! Maana hapa tunaelekea kweny GENOCIDE!!!
 
Kutoa tamko ni ngumu kwa sababu wanajua kabisa wakifanya hivyo serikali na ccm watadhalilika maana haya mambo ya kutekwa wanachadema taarifa ziko Polisi Igunga kuna siku Nanyaro Ephata Diwani Wa Levolosi Arusha chadema alitekwa wakiwa na mwenzake usiku tusingekuwa nao leo walipelekwa porini Nanyaro alirukia usukani Wa gari gari likaanza kwenda mrama ndiyo hapo walipotoswa porini usiku walikaa hadi asubuhi kurudi Igunga kwenda Polisi wakawekwa chini ulinzi waliambiwa kuwa waliteka gari la ccm hivo haya mambo ni magumu kueleweka hakuna mtu Wa kutoa tamko hapa labda chadema tu ndiyo inaweza kututegulia kitendawili hiki.

QUOTE=Ntemi Kazwile;2649640]Tunaomba Ikulu itoe tamko juu ya mauaji haya ya raia wasiokuwa na hatia, kama taasisi hii nyeti inapoteza muda kukanusha taarifa ambazo hazisaidii jamii basi tunategemea pia itatoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizi nzito kwa chama tawala.

Kama chaguzi zetu zitakuwa zinaendeshwa ka vitisho na mauaji ya namna hii si muda mrefu wengi wetu tukapotea katika mazingira tatanishi kwa kusema bila woga na kuendelea kuunga mkono wanasiasa wa upinzani.

Kamwe sikuwa kudhani tutafika huku lakini inaelekea wenzetu wanataka kutufikisha kwenye ubabe na utemi wa ki-somalia na Congo ambako mwenye siraha na risasi nyingi ndiye hutawala[/QUOTE]
 
Tumeongea inatosha! Tunataka vitendo, Heri nife napigania nchi yangu kuliko kuishi miaka mingi kama kobe nikiwa mtumwa wa CCM! Chadema andaeni maandamano na mtupatie option zote.
1. Kama maandamano yakikataliwa tufanyeje,
2. Yakikubaliwa tuandamane kisha iweje, hatutaki kurudi nyumbani kabla hatujafanya kitu cha kuwashikisha adabu CCM.
3. Wakituma mbwa wao kuja kutawanya maandamano na magari ya maji ya pilipili tukimbilie wapi, nimeshasema hatutaki kurudi nyumbani hivi hivi
4. Watu wakikimbilia vichochoroni wajimobilize vipi na waanzie wapi wakiwa makundi hayo madogo madogo,
5. Tuje na vitu gani, kama na chupa za petrol na utambi au magrunet ya wakimbizi ama chuma ili tuende kwenye vituo vya mbwa wao na ofisi zao.
6. Mtuambie kabisa kila option ili watumie jeshi na vifaru lakini washindwe na nguvu ya umma.

Hatuwezi kukaa kimya wakati wanatuibia na kutuua bila kosa, jameni mnatuchelewesha-CDM toeni tamko!
 
hivi mnadhani zile bastora walienda nazo kama maonyesho au!!!! CCM ni genge la watu wauwaji na wako tayari kutoa roho za watu ili waendelee kutawala. Mwisho wao unakaribia Mungu anajua. :hatari:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom