Maisha Yangu na VVU mwilini

funguo

Member
Nov 22, 2011
24
36
baada ya kupimwa na kupewa majibu nimegundulika nina VVU mwilini mwangu.............

mwanzoni ilinipa tabu kidogo ila nilijikaza kiume kuukubali ukweli..huwa ni mtu nisiyependa kuregret in life hasa inapotokea nimeshapoteza kitu.................bado ni kijana; mwanaume mwenye sifa zote.educated.nina biashara zangu zinazoniingizia kipato cha kawaida...........

ila nawaasa ndugu zangu kwamba muda wowote siku yeyote you can be a victim........hakuna anayejipa ugonjwa huu...

nilikua na mtu niliyemrespect na kumuamini kupita kiasi....tulijenga utaratibu wa kucheki afya zetu kila baada ya miezi sita na hii ilisaidia sana kujua afya yangu mapema....mwenzangu alianza kuweka sababu na visingizio nikawa napima peke yangu hadi nilipoujua ukweli...sikumwambia!! huyu mwenzangu tayari tumetengana baada ya kuwa tunapishana sana kauli na vitendo lakini si kwa sababu ya status niliyo nayo maana sikumwambia.......

naendelea na biashara zangu happily n healthier wala hakuna anaefahamu.....

nafeel guilty kuingia kwenye new relationship na binti ambaye ni negative....natumai wote wangekua kama mimi huu ugonjwa tungeutokomeza kabisa...lakini haipo ivyo...........

ombi langu mwisho kabisa ni kuweza kumpata binti anaenikubali na hali yangu hii preferably positive!!

usinipe pole......

2014 Update:

asanteni wapendwa.Hii thread niliipost hapa mwaka 2012

Mungu ni mwema alinitimizia haja ya moyo wangu.Nilimpata mwenzangu,kwa sasa tunaishi pamoja

Natumai nitakua nimejibu inboxes zote.
 
Mungu aendelee kukupa nguvu, am sure atakupa hitaji lako as soon as possible..
 
Mlinde huyo aliye negative, na bora umwambie ukweli kama unampenda.
 
Kaka pole is just a way of showing concerned!Pole sana! Wenye VVU ni wengi sema wengine hawajui, na wengine hawako tayari kupima!My worry is yawezaekana binti alijua kabla yako,ndiyo maana akawa mvivu kwenda kupima.Naomba nitumie fursa hii kuwaomba singles to abtain or get married!
 
Good thread, i hope tutaichangia kwa mtazamo chanya na ushauri wa maana....

Kudos to Funguo
 
Kaka pole is just a way of showing concerned!Pole sana! Wenye VVU ni wengi sema wengine hawajui, na wengine hawako tayari kupima!My worry is yawezaekana binti alijua kabla yako,ndiyo maana akawa mvivu kwenda kupima.Naomba nitumie fursa hii kuwaomba singles to abtain or get married!

kauli yako haijawa na mwisho mwema.kwamba kuoa/kuolewa ndio kutatue tatizo lao??la hasha...usijidanganye royna kwamba hukokwenye ndoa ndio u will be more safe 100%..hapana.chance zote are posible...full solution ni lifetime abstainance...otheryz utakua unaninyanyapaa mimi na wewe mwenyewe.
 
Nani alikwambia ndoa ndiyo kinga ya VVU?
 
baada ya kupimwa na kupewa majibu nimegundulika nina VVU mwilini mwangu.............

mwanzoni ilinipa tabu kidogo ila nilijikaza kiume kuukubali ukweli..huwa ni mtu nisiyependa kuregret in life hasa inapotokea nimeshapoteza kitu.................bado ni kijana; mwanaume mwenye sifa zote.educated.nina biashara zangu zinazoniingizia kipato cha kawaida...........

ila nawaasa ndugu zangu kwamba muda wowote siku yeyote you can be a victim........hakuna anayejipa ugonjwa huu...

nilikua na mtu niliyemrespect na kumuamini kupita kiasi....tulijenga utaratibu wa kucheki afya zetu kila baada ya miezi sita na hii ilisaidia sana kujua afya yangu mapema....mwenzangu alianza kuweka sababu na visingizio nikawa napima peke yangu hadi nilipoujua ukweli...sikumwambia!! huyu mwenzangu tayari tumetengana baada ya kuwa tunapishana sana kauli na vitendo lakini si kwa sababu ya status niliyo nayo maana sikumwambia.......

naendelea na biashara zangu happily n healthier wala hakuna anaefahamu.....

nafeel guilty kuingia kwenye new relationship na binti ambaye ni negative....natumai wote wangekua kama mimi huu ugonjwa tungeutokomeza kabisa...lakini haipo ivyo...........

ombi langu mwisho kabisa ni kuweza kumpata binti anaenikubali na hali yangu hii preferably positive!!

usinipe pole......

Thx bro. Nice msg for us.Nashukuru kwa uelimishaji wako.Mungu atakubariki and u gonna make it.
 
kauli yako haijawa na mwisho mwema.kwamba kuoa/kuolewa ndio kutatue tatizo lao??la hasha...usijidanganye royna kwamba hukokwenye ndoa ndio u will be more safe 100%..hapana.chance zote are posible...full solution ni lifetime abstainance...otheryz utakua unaninyanyapaa mimi na wewe mwenyewe.

give him a solution and not a blame as after all he's still a man with all mans character and desires.. You advice of Abstainism shall make him living forever? What about abastainism without happiness?
 
Pole kaka.

Haitaji pole yako someni kabla ya kupost...kama pole alishapewa na aliempa majibu yake.
ansema hivi
ombi langu mwisho kabisa ni kuweza kumpata binti anaenikubali na hali yangu hii preferably positive!!

usinipe pole......
 
Duh ndugu yangu nashukuru Mungu umekubalina na hali halisi,nakuomba sana jitahidi kutoa elimu kwa walioathirika wajiepushe kuwaambukiza wasioathirika.

Nina rafiki jirani ambae alifiwa na mke wake miaka minne iliyopita kila mtu alijua mama kaondoka na huu ugonjwa wa kisasa mwaka huu jamaa katoka kwa Iringa na mke mpya kipusa cha nguvu tayari ameshakibebesha mimba kila nikikutana na huyo mwanamke roho yangu inalia utadhani tayari kesha kufa.
 
kuna mtu nadhani dada humu nae ana status kama yako, anataka mtu ambaye ni positive pia. hebu search humu utampata. wataalam hebu wekeni hiyo link maana mie si mtaalam kihivyo nisije weka kitu kingine. nakumbuka nilisoma like 2 to 3 weeks ago.
 
Back
Top Bottom